safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,848
Ya akili kubwa ni ipi mkuu nitajie mana napenda dizaini ya movie kama hiziHii sio movie ya akili kubwa.
Ya akili kubwa ni ipi mkuu nitajie mana napenda dizaini ya movie kama hiziHii sio movie ya akili kubwa.
Fake pastorsWanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.
Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
Mr and mrs smithWanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.
Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
The wireWakuu mimi napenda movie za mablack zenye mazafanta kila saa wekeni nizipakue
Za kutisha Alien Covenant, Life, The Nun, The CollectorPlease anae jua move ya kutisha kuanzia mwaka 2016 kuendele 2019
Pamoja na love story nzuri ya kuhuzunisha na, kusisimua