Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

1)Forbidden kingdom
2)Ong bak 1 na 2
3)Spl 1,2,3
4)Chenzhen the return of Chenzhen.
5)Wuxia.
6)Dragon tiger gate.
7)Born to fight
8)Jetli fist of legend.
9)Flash point Donnie yen
10)kiss of the dragon.
11)Raging Phoenix.
12)Bleeding steel

Yani hizi movie nimezitizama zaidi ya mara kumi napenda sana action za Tonny jaa,Donnie yen,Jetli na Jackie Chan.
Hawa jamaa hunikosha sana
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.

Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.

Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
 
1)Forbidden kingdom
2)Ong bak 1 na 2
3)Spl 1,2,3
4)Chenzhen the return of Chenzhen.
5)Wuxia.
6)Dragon tiger gate.
7)Born to fight
8)Jetli fist of legend.
9)Flash point Donnie yen
10)kiss of the dragon.
11)Raging Phoenix.
12)Bleeding steel

Yani hizi movie nimezitizama zaidi ya mara kumi napenda sana action za Tonny jaa,Donnie yen,Jetli na Jackie Chan.
Hawa jamaa hunikosha sana
IP MAN HUJAZIWEKA MKUU ?

VILE VITU HATARI SANA
 
IP MAN HUJAZIWEKA MKUU ?

VILE VITU HATARI SANA
Mkuu IP MAN ni nyoko jamaa anachapa ila km uliitizama Chenzhen mchizi yuko brutal kushinda ndan ya IP MAN.
Yani ndani ya Chenzhen Donnie Yen yuko brutal mpk mwisho bro.
Au flash point tizama ile fight scene ya mwisho anapigana na yule jamaa anaitwa Tonny uone mivunjano ya humo.
 
the night come for us... na the raid... za yule dogo nan cjui...
asee mweny zijua movies za dogo au zinazoemdana na hz pls naomben majina if pocble nizishushe leo night
 
the night come for us... na the raid... za yule dogo nan cjui...
asee mweny zijua movies za dogo au zinazoemdana na hz pls naomben majina if pocble nizishushe leo night
Huyo wa the raid anaitwa Iko Uwais kuna the raid 1na 2 kaigiza movie inaitwa Head shot itafute.
 
Mkuu IP MAN ni nyoko jamaa anachapa ila km uliitizama Chenzhen mchizi yuko brutal kushinda ndan ya IP MAN.
Yani ndani ya Chenzhen Donnie Yen yuko brutal mpk mwisho bro.
Au flash point tizama ile fight scene ya mwisho anapigana na yule jamaa anaitwa Tonny uone mivunjano ya humo.
chenzhen ndo ipi mkuu ?
mana huwenda nimeiyona. ebu nip summary kidogo huwenda naikumbuka
 
IMG_0565.JPG
siwezi zichoka

Cc Kingsmann
 
Back
Top Bottom