taja elimu yako........

Bishanga nimetumwa kwako na Asprin kuwa pale ulipoanza andika thread hii ulikosea jina lake na ana hasira sana ndio sababu kaniomba nikujulishe na nishakwambia halafu MJUMBE HAUAWI NA HAOJIWI. Just edit it!
 
Last edited by a moderator:

x wangu vile vyeti vyako si ulikwapua kule harua wakati ule ukiwa mstari wa mbele kumfukuza nduli au umesahau.
 
Elimu yangu ni Nursery. Najivunia haswaa sababu masters yako hainisaidii kitu chochote

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ugomvi wewe! Hivi ile phd yako ya kujamiiana ulishaimaliza? Nataka madesa
Hahahahahaaaa The secretary ukijapata wa kibamia inakula kwako itabidi uwe na magazeti ya kutosha ili wakati yeye anahangaika we uwe unaendelea kujiupdate na News lol
 
Last edited by a moderator:
Ugomvi wewe! Hivi ile phd yako ya kujamiiana ulishaimaliza? Nataka madesa
Hahahahaaa King'asti huna haja ya kukomaa na madesa....mi tayari ni mwalimu kama hujui Kujamiiana njoo ntakufundisha na utalipenda sana somo....yan utakuwa utakuja kwenye kipindi saa nzima kabla ya kipindi kwa mshawasha wa somo.
Muulize BADILI TABIA na Remmy wakati nawafundisha watakuambia. Kipipi kasema ukianza kusoma anaomba nae ajumuike na wewe so kama utaweza wataarifu na akina cacico Madame B Kongosho Remmy YNNAH marejesho Yummy Catherine ummu kulthum
 


Nitamwambia.
 

Mimi ni Sista Mstaafu.
Nadhani inafaa nijifunze hlo somo la kujaamiana mapema.
 
Bishanga nimetumwa kwako na Asprin kuwa pale ulipoanza andika thread hii ulikosea jina lake na ana hasira sana ndio sababu kaniomba nikujulishe na nishakwambia halafu MJUMBE HAUAWI NA HAOJIWI. Just edit it!
kwani jina lake sio asprinA? eiespienai?
 
Last edited by a moderator:
Hokay...
Mi kama sio kuangalia muvi ata kutumia simu nsingeweza.
 

Waje waje mkuu Erickb52 tutawafundisha bure hao ila maswali watalipia, afu mie ndo profeshno wa practical,
 
Last edited by a moderator:

Bishanga nilikuonya kuhusu wake za watu hukuskia, umeona sasa wamekuchezea akili kila ukiamka unakuja na kioja kipya, jiangalie kuna siku utakuja hapa utasema wewe ndo baba ake Rizmoja,
 
Last edited by a moderator:
mgaagaa na upwa! Hali wali mkavu! Mzima wewe erick?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…