Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Miss you too Bro.............karibu basi, kwani katika operesheni hamtapita kanda ya ziwa kamanda?
nlidhani mtajikausha niwape makavu live! chezeiya mie.. . . Nicas Mtei na elibeth Dominic!
Nicas Mtei niliachana nayo bana magumu kama ninihvi Mr Rocky ulishamaliza yale masono yako ya QT?
Cjajikausha. Wewe mbona hujasema yako?
Nicas Mtei niliachana nayo bana magumu kama nini
bora niendelee kuuza karanga na ubuyu hapa kijijini kwenye kibanda changu
Na napataje wateja aise
Hahahahahaaaa The secretary ukijapata wa kibamia inakula kwako itabidi uwe na magazeti ya kutosha ili wakati yeye anahangaika we uwe unaendelea kujiupdate na News lol
kwa raha zetu, tukifika darasani tunaheshimikaje! "shikamoo mwaaaaaliiiiiiiiiiimmuuuuuuuuuu" na dole gumba kwenye paji la usoam sore am gladi!
mi kisomo changu UPE
kwa raha zetu, tukifika darasani tunaheshimikaje! "shikamoo mwaaaaaliiiiiiiiiiimmuuuuuuuuuu" na dole gumba kwenye paji la uso
chezea mwl wa darasa la 3Bahahhahahahahh mlongo wangu umenikumbusha mbali wangu!kha wacha kabisa
kwa raha zetu, tukifika darasani tunaheshimikaje! "shikamoo mwaaaaaliiiiiiiiiiimmuuuuuuuuuu" na dole gumba kwenye paji la uso
uongo huo, nilimaliza, ila tuliofeli ndo tulipelekwa UPE ili tufundishe vilaza wenzetuhe he, naskia wewe hata la saba hukumaliza.
Mwalimu Hamisi alikutia mimba ukiwa darasa la tano.
uongo huo, nilimaliza, ila tuliofeli ndo tulipelekwa UPE ili tufundishe vilaza wenzetu
bora mwenzetu uliendelea. sisi tuliishia upe, lolHe he he, mie nilichaguliwa kwenda mido skuli afu nikajiunga sekendari