Taifa teule na mataifa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,904
Israel ndio inajulikana kama taifa teule la Mungu na kuna ushahidi mwingi mitandaoni kuwa dunia ilianzia mashariki ya kati....

Mengi yanayoandikwa kuhusu hizi dini mbili zinazomtambua Mungu mmoja... Yana asili na mashariki ya kati... Mitume manabii masinagogi, historia na kumbukumbu nyingi za ulimwengu wa imani na kwa sehemu historia chimbuko lake ni mashariki ya kati....

Rejea mada ya Je dunia ilianzia mashariki ya kati? ... Kuanzia maisha ya Eden mpaka gharika ya Nuhu na kuangamizwa kwa sodoma na gomora... Haya yote hayatoki nje ya hapo

Unapoendelea kusoma historia ya dunia kiimani na vitabu vya dini.. Kuna kaliba inapewa nafasi ya 'wa mataifa'.... Yaani kwa tafsiri rahisi wale wa nje ya mashariki ya kati...! Nje ya Israel!

Tuna hizi dini tulizoletewa Afrika na wazungu na waarabu.. Uislam bado una asili na mashariki ya kati... Ukristo ulifikaje ulaya kwa wageni wa dunia (wazungu)? Kisha pengine wakauchakachua kishapo ndio wakatuletea sisi? Hili hojaji linahitaji mjadala wake tofauti?

Lakini kwa sasa kuna maswali yanahitaji majibu ili kujiridhisha na hizi imani zetu

. Je wale wote walio nje ya mashariki ya kati ndio wa mataifa?

. Je kwanini kwenye Biblia takatifu China inatajwa kipekee? Katika kitabu cha mithali kwenye kutafuta maarifa watu wanaaswa wafike hata China?

. Je mpango mkakati wa Injili kwa watu wote (wa mataifa) ya kuwahubiria neno la Mungu watubu na kuokoka... Tafsiri yake ni ipi? Je hawa hawakuwa sehemu ya uumbaji wake?

. Je wapagani wanaohitaji kuhubiriwa injili.. Si wakazi wa dunia hii?
Historia ya Israel...

Nguvu waliyo nayo utabiri wa kurejea nyumbani... Namna yao ya kuabudu nakuamini tofauti na imani nyingine ni kama vile inatoa picha kuwa hata wazungu ni watu wa mataifa na si sehemu ya taifa teule! ?
 
Israel ndio inajulikana kama taifa teule la Mungu na kuna ushahidi mwingi mitandaoni kuwa dunia ilianzia mashariki ya kati....
Mengi yanayoandikwa kuhusu hizi dini mbili zinazomtambua Mungu mmoja... Yana asili na mashariki ya kati... Mitume manabii masinagogi, historia na kumbukumbu nyingi za ulimwengu wa imani na kwa sehemu historia chimbuko lake ni mashariki ya kati.... Rejea mada ya Je dunia ilianzia mashariki ya kati? ... Kuanzia maisha ya Eden mpaka gharika ya Nuhu na kuangamizwa kwa sodoma na gomora... Haya yote hayatoki nje ya hapo
Unapoendelea kusoma historia ya dunia kiimani na vitabu vya dini.. Kuna kaliba inapewa nafasi ya 'wa mataifa'.... Yaani kwa tafsiri rahisi wale wa nje ya mashariki ya kati...! Nje ya Israel!
Tuna hizi dini tulizoletewa Afrika na wazungu na waarabu.. Uislam bado una asili na mashariki ya kati... Ukristo ulifikaje ulaya kwa wageni wa dunia (wazungu)? Kisha pengine wakauchakachua kishapo ndio wakatuletea sisi? Hili hojaji linahitaji mjadala wake tofauti?
Lakini kwa sasa kuna maswali yanahitaji majibu ili kujiridhisha na hizi imani zetu
. Je wale wote walio nje ya mashariki ya kati ndio wa mataifa?
. Je kwanini kwenye Biblia takatifu China inatajwa kipekee? Katika kitabu cha mithali kwenye kutafuta maarifa watu wanaaswa wafike hata China?
. Je mpango mkakati wa Injili kwa watu wote (wa mataifa) ya kuwahubiria neno la Mungu watubu na kuokoka... Tafsiri yake ni ipi? Je hawa hawakuwa sehemu ya uumbaji wake?
. Je wapagani wanaohitaji kuhubiriwa injili.. Si wakazi wa dunia hii?
Historia ya Israel... Nguvu waliyo nayo utabiri wa kurejea nyumbani... Namna yao ya kuabudu nakuamini tofauti na imani nyingine ni kama vile inatoa picha kuwa hata wazungu ni watu wa mataifa na si sehemu ya taifa teule! ?
Ni sehemu gani ya mithali imeizungumzia China? Na ilizungumziwa kwa jina gani? Msaada hapo Mkuu kuna kitu nataka nikajifunze
 
Daah! Yaani upendeleo kumbe umeanzia mbinguni kabisa.

Israel wako favoured kweli...what about us God?

Ushaidi mwingi wa ujanja ujanja mtandaoni kuhus maisha ya Duniani kuasisiwa pale mashariki ya kati then baadae wanajikanganya kwa ugunduzi wa fuvu la mtu wa kale kabisa kupata kuishi Duniani linapatikana Tanzania Olduvai gorge..hii ikimaanisha afrika, Tanzania ndio sehemu ambapo maisha yalianzia hivyo technically bustani ya Eden inaweza kuwa ilikuwa Arusha au Mbeya for that case...then baadae middle East wanaiba show na kusema kwao ndio maisha yalianzia tena...C'moooon!
 
Daah! Yaani upendeleo kumbe umeanzia mbinguni kabisa.

Israel wako favoured kweli...what about us God?

Ushaidi mwingi mtandaoni then baadae fuvu la mtu wa kale kabisa kupata kuishi Duniani linapatikana Tanzania Olduvai gorge..ikimaanisha afrika, Tanzania ndio sehemu ambapo maisha yalianzia...then baadae middle East wanaiba show na kusema kwao ndio maisha yalianzia tena...C'moooon!
Hapa kuna mkanganyiko mkubwa isije kuwa tunadhulumiwa ukweli bila kujua
 
Israel walilaaniwa the moment walipokengeuka na kukufuru neema walizopewa kupitia kwa Nabii Musa...laana ile iliendelea mpaka kufikia kipindi cha Nabii Issa na bado waliendelea kukufuru na kumtishia kumuua Nabii Issa. Laana hiyo iliendelea na mpaka sasa inaendelea. ISRAEL ni Taifa lililolaaniwa.
 
Hapa kuna mkanganyiko mkubwa isije kuwa tunadhulumiwa ukweli bila kujua
Ukiangalia kwa undani zaidi haya masuala utagundua kuna watu wametuzidi kete sisi weusi kwenye kuandika haya mambo maana kitaalamu inafahamika its the one with pen who control the story.

Waliopata fursa ya kuandika juu ya haya mambo wamewamba sana hii ngoma kuvutia kwao.

Ila when you check it in your sense unagundua hata Dunia ilivyo watu walioanza walikuwa weusi then watu weupe wakapatikana kutokana na environment factors... Wazungu wamekuwa wazungu kwa kukaa sehemu yenye baridi sana. But probably walikuwa weusi mwanzoni then kutokana na kusafiri zaidi na kufika Europe miaka maelfu iliyopita wakajikuta wako weak in melanin and hair ambao ndio uzungu na mazingira ya ulaya yalivyo yanakushape uwe hivyo.

Ndio maana watu wa afrika wana nywele ngumu na ngozi ngumu ili kuzuia jua kuwadhuru that's wako afrika kwenye mazingira yanayowa favour Ku exist hivyo.. Thus maisha yalianzia afrika then watu walipotawanyika wakaadapt kulingana na environmental reasons.

Kuna mengi sana hatuyajui kwenye hii Dunia. Sema waliopata nafasi ya kuandika ndio wametu control story nzima kwa matakwa yao via maandishi yao.
 
Ukiangalia kwa undani zaidi haya masuala utagundua kuna watu wametuzidi kete sisi weusi kwenye kuandika haya mambo maana kitaalamu its the one with pen who control the story.

Waliopata fursa ya kuandika juu ya haya mambo wamewamba sana hii ngoma kuvutia kwao.

Ila when you check it in your sense unagundua hata Dunia ilivyo watu walioanza walikuwa weusi then watu weupe wakapatikana kutokana na environment factors... Wazungu wamekuwa wazungu kwa kukaa sehemu yenye baridi sana. But probably walikuwa weusi mwanzoni then kutokana na kusafiri zaidi na kufika Europe wakajikuta wako weak in melanin and hair.

Ndio maana watu wa afrika wana nywele ngumu na ngozi ngumu ili kuzuia jua kuwadhuru. Thus maisha yalianzia afrika then watu walipotawanyika wakaadapt kulingana na environmental reasons.

Kuna mengi sana hatuyajui kwenye hii Dunia. Sema waliopata nafasi ya kuandika ndio wametu control kwa maandishi yao.
Yeah hii scientifically imekaa sawa kabisa that's why watu weusi wanaweza kukaa mahala popote duniani...niliwahi kufuatilia baadhi ya watu waliokua masikini kabla ambavyo walikua weusi tiiiiii then maisha yalipowanyookea maybe kuishi nchi za baridi na ngozi zao zikanawiri na ule weusi haukua weusi kama wa awali so probably enzi hizo that's what happened

Hata huko China si kuna wakati wanadai mchina asilia alikua mtu mweusi so what happened I don't know either
 
Hongera! Umenielewa kirahisi utafika mbali mkuu.

Kule Australia kuna watu wanaitwa Maori hawa ni purely weusi but wana nywele za kizungu zile blond hair but sura zao utafikiri shambuku wa pale maneromango. Inawachanganya racial classifiers Hadi wanaamini jamaa bado wako kwenye transformation ya kuwa wazungu, wakiukacha uafrika kutokana na mazingira.
 
Yeah hata huko India si kuna wale wahindi weusi tiiiii ila wana nywele kama za kihindi ila wanatengwa na wahindi weupe

So scientifically point yako imekaa sawa
 
waisraeli walibarikiwa sababu ya uchamungu wa Abraham. Alimthawabisha kwa kufanya kizazi chake kuwa teule na watu wake. Hata aliwachukia na kuwafukuza wakaanani si bila sababu bali kwa vile waliabudu miungu ya uongo. Na aliwaonya waisraeli kuwa nao anaweza kuawakataa.
Kwa sasa waisraeli si taifa teule sababu walimkataa Yesu ambacho kinamaanisha walikataa muongozo wa Mungu. Kama waisaraeli wangekuwa taifa teule Yesu asingewahubiria wayahudi habari za wokovu.
 
Na kama kuna watu wanamkataa yesu kwa nguvu zote Duniani basi ni waisrael wale Jewish. Sijui kwanini bado wanaqualify kuwa taifa teule then watu wa pale Mbeya waliokoka mkoa mzima wanakuwa watu wa mataifa? Inanivuruga kichwa hii!

Its injustice!
 
Na kama kuna watu wanamkataa yesu kwa nguvu zote basi ni waisrael. Sijui kwanini bado wanaqualify kuwa taifa teule then watu wa pale Mbeya waliokoka mkoa mzima wanakuwa wa mataifa? Inanivuruga kichwa hii!

Its injustice!

SOMA HII:-
Yesu akamjibu, "Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akaalika watu wengi.

17 Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, Njoni, kila kitu ni tayari. 18 Lakini wote, kwa namna moja, wakaanza kuomba radhi. Wa kwanza akamwambia mtumishi: Nimenunua shamba, kwa hiyo sina budi kwenda kuliangalia; nakuomba uniwie radhi. 19 Mwingine akasema: Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima; sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi. 20 Na mwingine akasema: Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja. 21 Mtumishi huyo akarudi na kumwarifu bwana wake jambo hilo. Yule mwenye nyumba alikasirika, akamwambia mtumishi wake: Nenda upesi kwenye barabara na vichochoro vya mji, uwalete hapa ndani maskini, viwete, vipofu na waliolemaa. 22 Baadaye, mtumishi huyo akasema: Bwana mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.

23 Yule bwana akamwambia mtumishi: Nenda katika barabara na vichochoro vya mji uwashurutishe watu kuingia ili nyumba yangu ijae. 24 Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeonja karamu yangu."
 
Sijakuelewa kabisa..afu ni vyema ukafafanua kuliko kuniqotia mlolongo wa maandishi haya mkuu.

Fafanua sasa nikuelewe!
 
Back
Top Bottom