Taifa starz inatumiwa na CCM kisiasa.

Kwani hapo ilipofikia ni nani kaifikisha kama sio serikali ya CCM? Hata wasipofanyiwa party unadhani wakishinda nani watapewa pongezi kama si serikali ya CCM? Mbona ikifanya vibaya huwa mnailaumu CCM na serikali yake iweje ikifanya vinzuri mseme inatumika kisiasa? Vitu vingine manavifanya kuipaisha CCM bila kujijua. Wewe unapokosoa CCM na serikali yake kuipongeza Taifa Stars ndipo unawafungua macho wananchi wadadisi kwa nini CCM inaipongeza Taifa Stars. Mwishowe wananchi wanagundua kuwa Taifa Stars inafanya vinzuri kutokana na huduma inazopewa na serikali inayoundwa na CCM.

Mawazo kama hayo ndio yanasababisha wasioipenda CCM wachukie na Timu yao ya Taifa.CCM inatakiwa ijenge Umoja wa Kitaifa na sio kugawa watu kivyama kwa kauli mbovumbovu kama hizi.Kwa mwendo huu itafikia hatua wasioipenda CCM wamsapoti Joyce Banda kama akitangaza Vita na Tanzania ili tushindwe na CCM iadhirike.Hata kwenye Vita vya Kagera baadhi ya Waganda waliisapoti Tanzania kwa sababu ya chuki waliyokuwa nayo kwa Idd Amin.Tuombe Mungu Tanzania tusifike huko.
 
Wewe mwenye akili kubwa inayofurahisha, kwa hiyo unataka waendelee kuchangiwa unga? waendelee kuwa na wapishi wanaogoma? Ilishatokea na tatizo likarekibishwa ndio maana kwa sasa hata wachezaji wanafurahia kuitwa kwenye timu ya Taifa. Yote hayo yamefanywa na serikali ya CCM. Pengine wamejirekebisha kwa makosa yaliyofanywa nyuma ndio maana sasa Taifa Stars mambo yao safi. Ni serikali ya CCM ndio inaiboresha Timu ya Taifa. Subiri Chadema au chama kingine nacho kikiingia madarakani na kuiboresha tutaita Serikali ya Chadema au chama chochote kile ndio kinaboresha timu. Kwa sasa huwezi kuitenganisha CCM na Serikali. Chochote kinachofanywa na serikali ni credit kwa CCM.

Unakaribisha hujuma.Hii ni Timu ya Tanzania,Inayoundwa na Watanzania kwa Manufaa ya Watanzania fullstop.
 
2X7=15
7+7=77.Hii hesabu ni sahihi kwa wanafunzi wa Tz tu.Hivi haya mambo mpaka lini?Nimefurahi kufungwa ili tuendelee kujadili hili la elimu,gesi,rasimu ya katiba.
 
Hapana sikubaliani na Hoja..kiemba ni rafiki yang wa karibu sana na hua anaizungumzia sana chadema ata kaseja pia ni mtu wa karibu sana na Zitto
 
Dah tumepotea sana hivi ccm ikitoka madarakani kila kitu kitakuwa safiiii? Cdm, cuf, tlp, nccr.... Wote wanasiasa tu.
 
Basi na sie upinzania tungefanya ya kwetu ya kuwapongeza. Akili za Mwigulu ni za kiliberali,
 
Bora ilivyofungwa maana MAKADA ya CCM ilitoka hata nchi za Ulaya wakisema wanakwenda kuishangiria timu ya CCM
 
SIJAWAHI kuona siasa za ajabu kama hizi! Kwamba kuna watu wanaotamani kuona serikali ikishindwa vibaya kabisa ili wao wapate nafasi ni jambo ambalo tushalizoea! Lakini kumbe kuna wengine mnachukizwa na kila jambo zuri ndani ya nchi hii kwavile tu itakuwa credit kwa CCM?! Yaani kwa hapa tulipofika si ajabu kuna wengine wanatamani kabisa siku moja Uwanja wa Taifa u-collapse wakati mashabiki wamejazana ili waichane vizuri serikali! omg...NAKULILIA TANZANIA, Jukwaa ambalo members wake wengi ni wasomi lakini kwao SIASA KWANZA, TANZANIA BAADAE!
 
Kwani hapo ilipofikia ni nani kaifikisha kama sio serikali ya CCM? Hata wasipofanyiwa party unadhani wakishinda nani watapewa pongezi kama si serikali ya CCM? Mbona ikifanya vibaya huwa mnailaumu CCM na serikali yake iweje ikifanya vinzuri mseme inatumika kisiasa? Vitu vingine manavifanya kuipaisha CCM bila kujijua. Wewe unapokosoa CCM na serikali yake kuipongeza Taifa Stars ndipo unawafungua macho wananchi wadadisi kwa nini CCM inaipongeza Taifa Stars. Mwishowe wananchi wanagundua kuwa Taifa Stars inafanya vinzuri kutokana na huduma inazopewa na serikali inayoundwa na CCM.

Hivi wanahudumiwa na serikali ya CCM au TBL au kampuni ya TBL ni ya CCM pengine sijui.
 
Mawazo kama hayo ndio yanasababisha wasioipenda CCM wachukie na Timu yao ya Taifa.CCM inatakiwa ijenge Umoja wa Kitaifa na sio kugawa watu kivyama kwa kauli mbovumbovu kama hizi.Kwa mwendo huu itafikia hatua wasioipenda CCM wamsapoti Joyce Banda kama akitangaza Vita na Tanzania ili tushindwe na CCM iadhirike.Hata kwenye Vita vya Kagera baadhi ya Waganda waliisapoti Tanzania kwa sababu ya chuki waliyokuwa nayo kwa Idd Amin.Tuombe Mungu Tanzania tusifike huko.

Mkuu akili yako iko fanya kazi %100,vle umetaja uganda hapo cko na neno,one day Tanzanian waipinga ccm iko msaidia Banda kama vle kipindi ya kagera war,nakumbuka pale napewa medal baada ya kuvuka kagera bridge na kukuta 2kipewa support na wauganda kumtoa dada amin.
 
Ndiyo tatizo la watanzania tunapenda mafanikio ya muda mfupi bila kuwekeza ; kama huna mpango mzuri wa kuibua vipaji vya soka toka chini kabisa miaka 8 hadi 18 na ukawaweka kwenye soccer academy sahau kucheza kombe la dunia. Kama tunaanza kuwekeza leo kwenye soka la watoto basi nawaambieni tunaweza kucheza kombe la dunia baada ya miaka 10 hadi 15 toka leo; Kifupi Brazil hatuendi sababu kuu hatujawekeza kwenye soka.
 
Back
Top Bottom