Taifa starz inatumiwa na CCM kisiasa.

Asante sana kwa taarifa mkuu , nimekwishaanza uchunguzi huru , nikibaini kuna Ukweli , nitahakikisha hii timu inapoteza mechi zote zilizosalia , tena kwa idadi kubwakubwa ya magoli !
 
akili yako ndogo sana.inasikitisha.hivi hukumbuki kuwa timu hizi zilikuwa na njaa hadi kuchanguiwa unga na wanchi?hivi hukmbuki kuwa hadi mpishi wa taifa z=starz aliwahigi kugoma?au hujui kuwa ccm ndo ilikuwa ikulu hata enzi hizo?

Wewe mwenye akili kubwa inayofurahisha, kwa hiyo unataka waendelee kuchangiwa unga? waendelee kuwa na wapishi wanaogoma? Ilishatokea na tatizo likarekibishwa ndio maana kwa sasa hata wachezaji wanafurahia kuitwa kwenye timu ya Taifa. Yote hayo yamefanywa na serikali ya CCM. Pengine wamejirekebisha kwa makosa yaliyofanywa nyuma ndio maana sasa Taifa Stars mambo yao safi. Ni serikali ya CCM ndio inaiboresha Timu ya Taifa. Subiri Chadema au chama kingine nacho kikiingia madarakani na kuiboresha tutaita Serikali ya Chadema au chama chochote kile ndio kinaboresha timu. Kwa sasa huwezi kuitenganisha CCM na Serikali. Chochote kinachofanywa na serikali ni credit kwa CCM.
 
Watu waache ulimbukeni katika siasa, kila kitu siasa ha! Siku nchi hii ikiingia vitani bado kuna watu watshangilia adui, nyie madogo tenganisheni mambo ya siasa na mambo ya nchi
 
huuu ipuuzi wa ushabiki wa vyama naomba Mungu hii rasimu ya katiba mpya ipite
 
mm nitampa tabu sana shemeji yenu mana wangeshinda hata hii rasimu ya katiba isingejediliwa.mm naomba tufungwe gemu zooooooooooooooooooooote zilizobaki watanzania wasijedanganywa 2015 kuwa tumeendela hadi tukaenda kombe la dunia.

kwani lengo ni kuendelea au lengo ni lazima watu flani washike badaraka? Naona sikuelewi.
 
mm nitampa tabu sana shemeji yenu mana wangeshinda hata hii rasimu ya katiba isingejediliwa.mm naomba tufungwe gemu zooooooooooooooooooooote zilizobaki watanzania wasijedanganywa 2015 kuwa tumeendela hadi tukaenda kombe la dunia.

watanzania ni watu wa ajabu sana, ebu angalia jitu kama hili linaombea timu yake ya Taifa ifungwe! ujinga na umaskini wa Tanzania unaletwa na watu kama nyie, bila shaka ndio nyie mnaopinga miradi ya maendeleo katika maeneo yenu kisa eti serikali itapata cha kuongea
 
kuna taarifa za ccm kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina mwigulu waliopanga kuja kuipokea timu hapa dar na kuifanyia party ili kuipongeaza na kujionyesha kuwa wanaijali.

Yamekuwa kama mazuzu vile...ccm ni dudu baya kabisa,kama ni mnyama wa polini basi ni fisi
 
Kwa uchezaji ule na afya zile kombe la dunia ni ndoto na ikitokea tukaenda basi mechi ya kwanza lazima tupigwe goli 12...
 
watanzania ni watu wa ajabu sana, ebu angalia jitu kama hili linaombea timu yake ya Taifa ifungwe! ujinga na umaskini wa Tanzania unaletwa na watu kama nyie, bila shaka ndio nyie mnaopinga miradi ya maendeleo katika maeneo yenu kisa eti serikali itapata cha kuongea
Bora ifungwe kwani kwenye kombe la dunia tutapigwa 20
 
Leo ntakunywa bia mpaka basi. Nimefurahi sana kufungwa.
Wangekua na nyodo sana na vi dreads vyao, wanataka eti tuwashangilie! badala ya yao kucheza mpira.

Mwenyewe timu za tz hasa taifa star, simba na yanga huwa siwapendi na furaha yangu ni kipigo kwao, yani badala ya kuendeleza soka wanakuza matumbo yao na kuishia kwenye maneno mengi cjui hayo maneno ndo yataingia uwanjani kucheza?
 
Wewe mwenye akili kubwa inayofurahisha, kwa hiyo unataka waendelee kuchangiwa unga? waendelee kuwa na wapishi wanaogoma? Ilishatokea na tatizo likarekibishwa ndio maana kwa sasa hata wachezaji wanafurahia kuitwa kwenye timu ya Taifa. Yote hayo yamefanywa na serikali ya CCM. Pengine wamejirekebisha kwa makosa yaliyofanywa nyuma ndio maana sasa Taifa Stars mambo yao safi. Ni serikali ya CCM ndio inaiboresha Timu ya Taifa. Subiri Chadema au chama kingine nacho kikiingia madarakani na kuiboresha tutaita Serikali ya Chadema au chama chochote kile ndio kinaboresha timu. Kwa sasa huwezi kuitenganisha CCM na Serikali. Chochote kinachofanywa na serikali ni credit kwa CCM.

Wewe mwenye akili kubwa inayofurahisha, kwa hiyo unataka waendelee kuchangiwa unga? waendelee kuwa na wapishi wanaogoma? Ilishatokea na tatizo likarekibishwa ndio maana kwa sasa hata wachezaji wanafurahia kuitwa kwenye timu ya Taifa. Yote hayo yamefanywa na serikali ya CCM.
NIMEAMINI UNA LAANA.
 
watanzania ni watu wa ajabu sana, ebu angalia jitu kama hili linaombea timu yake ya taifa ifungwe! Ujinga na umaskini wa tanzania unaletwa na watu kama nyie, bila shaka ndio nyie mnaopinga miradi ya maendeleo katika maeneo yenu kisa eti serikali itapata cha kuongea

kajisaidie ulale.
 
Na si kisiasa tu bali hata madawa ya kulevya ya mawaziri taifa star wanatumika kuyabeba na kusafirisha kwa kuwa hawakaguliwi airport. Huwa mipira ya mazoezi inapasuliwa na kuwekwa madawa then inashonwa upya na yanasafirishwa. Kaka yangu ni mchezaji wa Simba na wa taifa star pia na mara nying anasema wanabebeshwa hyo mizgo na mawaziri katka mipira ya mazoezi.
 
Usishughulike sana, 2015 hakuna Taifa starz, kutakuwa na Tanganyika Stazs Na Zanzibar starz
kuna taarifa za ccm kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina mwigulu waliopanga kuja kuipokea timu hapa dar na kuifanyia party ili kuipongeaza na kujionyesha kuwa wanaijali.
 
kuna taarifa za ccm kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina mwigulu waliopanga kuja kuipokea timu hapa dar na kuifanyia party ili kuipongeaza na kujionyesha kuwa wanaijali.

Ujauzito wako ni wa miezi mingapi?
 
Leo ntakunywa bia mpaka basi. Nimefurahi sana kufungwa.
Wangekua na nyodo sana na vi dreads vyao, wanataka eti tuwashangilie! badala ya yao kucheza mpira.

Ama Kweli wewe Huna Utanzania au Uzalendo wowote, Wewe ni Hasara kwa taifa na hata chama chochote kile.
 
Mtoa mbupu na mngese sio kila muda unapost kisinye chako. Si lazima kupost kama huna afu wangese wengine mnaunga mkono Ujinga wa huyu mwanamke. We utakuwa wale wa viroba.
 
Wewe mwenye akili kubwa inayofurahisha, kwa hiyo unataka waendelee kuchangiwa unga? waendelee kuwa na wapishi wanaogoma? Ilishatokea na tatizo likarekibishwa ndio maana kwa sasa hata wachezaji wanafurahia kuitwa kwenye timu ya Taifa. Yote hayo yamefanywa na serikali ya CCM.
NIMEAMINI UNA LAANA.

Endelea kuamini hivyo hivyo wewe mwenye akili kubwa.
 
Back
Top Bottom