Taifa starz inatumiwa na CCM kisiasa.

Taifa starz inatumiwa na CCM kisiasa.

Hapana sikubaliani na Hoja..kiemba ni rafiki yang wa karibu sana na hua anaizungumzia sana chadema ata kaseja pia ni mtu wa karibu sana na Zitto

kiemba sio timu nzima.kinachotumiwa hapa ni timu sio mtu moja moja.
 
Si SHANGILII STARS TENA;KAMA HAYA NITAGUNDUA NAKUAMIN YANAUKWELI;BORA AKINA DROGBA WAJE WATUCHAPE 7 SERA ZA CC ZFE
 
Back
Top Bottom