Huyu dogo Mimi naona anaongea ongea tu lakini haleti evidence yoyote.Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/
Anasema vijana wasifuate mkumbo wakati huo huo anasema watu walichukuliwa majumbani na hata yeye alikua tu kwenye harakati zake anyway kwa hilo namsamehe nadhani akili bado haijatulia
Hapa hata mimi kanishangaza Sana.. Inaelekea hapo ni maelekezo maalumAnasema vijana wasifuate mkumbo wakati huo huo anasema watu walichukuliwa majumbani na hata yeye alikua tu kwenye harakati zake anyway kwa hilo namsamehe nadhani akili bado haijatulia
Binafsi nashkuru sana kwa kuona tatizo hili kwasababu siri za Taifa zinazovuja baadae zitatumika na wahalifu kama fimbo ya kuchapa TaifaKama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/
Sasa kama mifumo ya ulinzi inapimwa uimara wake kwa kushambulia rais wasio na silaha, hapo unategemea nini?Wameshajua mifumo yetu kiulinzi ni dhaifu mno!
Sana. Swala la Data ni zito sana duniani limeingiza Kampuni ya META kwenye adhabu za mara kwa mara zinazogharimu mabilion ya fedha. Pamoja na META kujitahidi kuficha taarifa za watumiaji bado wameendelea kuadhibiwa. Sipati picha kwa kijana huyu anatenda kosa kubwa kiasi gani, kama kampuni ya META imekuwa ikiadhibiwa kiasi hiki kwake sijui itakuwaje!Wameshajua mifumo yetu kiulinzi ni dhaifu mno!
Machawa wanataka dawa ya panya watowekeNchi imejaza machawa na UVCCM kwenye sehemu iliyopaswa wakae wasomi, unategemea nini?
Wengi wa Hao Polisi ni makada wa CCM waliofeli primary school, wengine ni Kama huyu muuwaji Haji Omar Kheri , wamefeli kila kitu , wakaokotwa na CCM na kufanywa ni UVCCM na kupewa vyeo. Utegemee nini Kama si ujinga na uuwaji na kuteka watu ?Polisi wa Tanzania hawajui jukumu lao la usalama wa raia na mali zao; mara zote wanajiona kama wanajeshi walioko vitani dhidi ya jeshi la nchi.nyingine.
https://www.facebook.com/Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/%5B/UR