Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Ahahahahaaaaaa eti hajang'ang'ania madaraka wakati kaingia juzi tu,Tanzania ya viwanda hii
 
Sasa wewe mpuuzi YERIKO unaeshindwa kuhoji ALIPO SAANANE unajifanya kuja huku kutetea lichacjma lisilo jali na kuthamini michango ya watu wanao kipigania CHAMA....HIVI kipi kinachokuuma IWAPO TRUMP akimsifia MAGUFULI?????.....tatzo lenu hapa mnataka kusikia MABAYA tuu juu ya MAGUFULI......Let me remind you this.....KWA SASA HAKUNA RAIS BORA AFRIKA aliye kwenye midomo ya WAAFRIKA kama MAGUFULI na hili nyie hmataki kabsa kulisikia...
Na hakuna CHAMA KICHAFU kwa propaganda chafu za mitandaoni kama CHAMA CHENU.....
Refer uchaguzi wa 2015 mlivyokuwa walaghai kwa mipicha picha ya mafuriko YA VYUMBANI KWENU
Mjinga namba moja wewe, huna upeo wala akili ya kujilinganisha na Yericko, wewe ni mpiga deki wa vyoo vya Lumumba tu.
Soma mada uelewe siyo kukurupuka Kwa mihemko ya ukada mavi.
Trump hajamsifia Magufuli na wala hawezi, English iliyotumika ni mbovu haina hadhi ya Kimarekani, na Trump yupo bize na ishu za North Korea, na mambo ya Middle East na mengine ndani ya taifa lake eti amsifie Dikteta anayebaka demokrasia na kuua Uhuru wa habari na kila kukicha anazidi kuua uchumi.
Mnapenda sifa msizostahili shwaini.
 
Taarifa ni kwamba walioripoti hiyo taarifa TBC wamewekwa kitimoto.

Yani sijawahi kuona shirika la habari la ovyo kama TBC.....unaripoti habari kama hizo bila kujiridhisha na vyanzo vya habari yenyewe!!!
 
Rais wa Marekani Donald Trump amempongeza rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kwa kuwa mfano mzuri wa viongozi wa Afrika.

Wakati akisaini sheria ambayo itakuwa ikizuia waafrika kutoka nchi ambazo marais wake hawafanyi lolote na wale ambao wamegoma kuondoka madarakani, Trump amesema rais Magufuli ni mfano wa viongozi bora wa Afrika na nchi yake inastahili kutendewa kipekee.

Trump ameongeza kuwa sheria hiyo itaziathiri nchi kama Zimbabwe, Uganda na nyingine za Afrika ambazo marais wake wamekataa kuondoka madarakani wakiwa hawafanyi lolote na kusema kuwa Tanzania si miongoni mwazo kwa kuwa wajina wake rais John Pome Magufuli anafanya kazi nzuri.

Kwa mujibu wa Rais Trump , Watanzania hawatazuiwa kwenda Marekani na watapewa upendeleo maalum kwa hisani ya rais Magufuli.

Trump amehitimisha kwa kumpongeza Rais Magufuli kwa uongozi wake akisema "Hongera wajina wangu John Magufuli, wewe ni shujaa wa Afrika".

Rais wa Marekani ampongeza rais Magufuli wa Tanzania
Hata Sizonje mwenyewe akisoma hii "fake news" atagundua kabisa ni "fake news" kwa jinsi ilivyo ilivyo tu.

Aliyeandaa huo uzushi hajui hata kutumia lugha ya ushawishi ili habari yake ionekane ya kweli.
 
Ninahisi aliyeandika hiyo statement ni PhD holder kama bwana yule. Na kuhusu kusambaratika kwao ni kwa interest za nchi maana they are so old that their reasoning capacity has dwindled to zero degree
 
Edward Ngoyayi Lowassa!!!
Poleni sana.

Hivi huwa mnafikiri kwa kutumia viungo gani? Mara mseme Magufuli ana haribu nchi nara mseme Lowassa ndio anaongoza nchi.

Kwa hiyo anaeharibu nchi si Magufuli ni Lowassa?
 
Taarifa ni kwamba walioripoti hiyo taarifa TBC wamewekwa kitimoto.

Yani sijawahi kuona shirika la habari la ovyo kama TBC.....unaripoti habari kama hizo bila kujiridhisha na vyanzo vya habari yenyewe!!!
Ndio maana wanaoitwa TBC CCM. Ninashangaa hata mdogo wangu Ryoba kukubali ile appointment ya kwenda kufukua marehemu. Ni Yesu pekee aliueweza kufufua akina Lazaro
Kuna upuuzi unaendelea mitandaoni na wabana pua kwamba oooho Trump ampongeza rais wetu kipenzi. Ikulu ya Marekani ndio inaandika kiingereza kibovu vile na inatumia wasapu siku hizi badala ya njia sahihi toka White House Kiingereza kile kina sura na mfanano kabisa wa mwandiko wa ndugu yangu Humphrey Polepole, labda siku hizi amekuwa mwandishi na msemaji wa Donald Trump wa Chamwino pale Dodoma...Lakini Trump yule wa Marekani sijui kama anajua kuwa kuna Tanzania ya Magufuli, ninachofahamu anajua kuna Afrika ya Nyerere, Nkurumah, Mandela, Lumumba, Mugabe, Museven nk.....

Hotuba ya Donald Trump wakati akisaini sheria ya kuzuia wahamiaji kuingia nchini mwake hakuna mahali alipotamka neno Magufuli, wala hakuna alipomsifu... Nilifuatilia hotuba ile, lakini mtandao wa radio ya Ufaransa ya kiswahili umechomekea maneno hayo nakufanya habari kuwa tofauti kamia propagsnda za aona hii bisa, Ukweli Rais wetu tutamsifu wenywe kwa mazuri yake sio kwakutumia propaganda za aina hii, Bahati mbaya vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotumia lugha ya kiswahili vingi vimejaa watanzania wenye ushabiki wa vyama (makada) ambao muda mwingi wanatumika vibaya.

Rais asifiwe kwa mazuri yake mfano mimi namuunga mkono kwa 100% Zanzibar ibebe msalaba wake, Muda wa kubebwa Zanzibar umekwisha ilipe deni la tanesco ili shirika letu liweze kujiendesha... Tumewabeba kwenye bajeti ya Masuala ya Muungano ambapo Bajeti huwa kati ya trilion 2-2.5 lakini Zanzibar huchangia sifuri katika Mfuko huo wa Muungano uitwao JVC committee. Wakati huo bajeti ya Zanzibar ni kati ya 500b hadi 550b lakini pato la Zanzibar ni 150b, hivyo kiasi cha zaidi ya 350b huwa tunawachangia sisi tani kodi zetu zinakwenda kuwahudumia wao kule... Baada ya hapo katika baje ya Muungano hutengwa 34b kwaajili ya Rais wa Zanzibar, hii huitwa pesa maalumu ikitumika kwa shughuli maalumu za kiusalama na mengineyo... Hii inatoka pia kwa walipa kodi wa Tanganyika, Je Zanzibar inachangia nini kwa Tanganyika? Jibu ni sifuri..... Zaidi ni ulinzi wa Bahari na UDUGU.
Hili ndilo linanifanya nimuunge mkono rais wangu kipenzi...

Tukirejea kwenye siasa zetu chafu, Mahangaiko ya vijana wa Lumumba ni makubwa na yanasikitisha sana, Chama kimepasuka mapande matatu hapo Dodoma ambayo hayana refa kabisa,

Ipo ccm ya JPM hawa wanaangalia ugali unapotoka tu (wafanya biashara), Ipo ccm ya JK hawa wanalia kuumizwa baada ya JMP kufunga mirija yao, na Ipo ccm ya The Don hii ndio inayoendesha nchi...

Nyie parulaneni huko Dom, badilisheni katiba kwamba mnajenga ccm imara kumbe mnaivunja cm, lakini sisi ni timing tu, furaha yetu ni kuona uchaguzi ujao katiba inazuia mwanaccm kumpinga rais aliyepo madarakani.

Taarifa zote zinazomhusu Rais Trump hata akipiga chafya tu hutolewa kupitia hapa Statements and Releases. Nje ya hapa hizo ni kahawa za vibarazani TBCccm.

Twendeni....twendeniii tukamkabe Bashite....

Hata Sizonje mwenyewe akisoma hii "fake news" atagundua kabisa ni "fake news" kwa jinsi ilivyo ilivyo tu.

Aliyeandaa huo uzushi hajui hata kutumia lugha ya ushawishi ili habari yake ionekane ya kweli.
 
Mi huwa nawashangaa sana viwavi wa Lumumba ktk kutafuta sifa!! Hao hao waliwatukana wazungu mbaka kufikia kusema hatuna haja nao leo hao hao wanazitamani sifa zao...

Magufuli amefeli kwenye uchumi hivyo hastahili sifa!!
Si Nyerere amesema ccm ya Lowassa ndio inaendesha nchi?
 
Upikaji uongo kwa Tanzania au kwa siasa za Tanzania umeshazoeleka, kwaiyo ili sio jambo geni kwetu na CDM ndio mabingwa wa upikaji wataarifa za uongo.Sijui CDM wamesahau
 
TBC ni kituo cha televesion cha hovyo zaidi duniani ni aibu kufanya kazi huko pia. Jana wanatangaza kuwa Trump kamppnheza mkuu wetu, ukifuatilia habari haina ukweli. Basi tuamini chanzo cha habari kikuu cha habari cha tbc ni nini kama si whatsapp groups za ccm??
 
JPM kusifiwa na Trump ni vibaya au ni ajabu? Je kwanini iwe ni issue ya kuhangaika kuandika mambo meengi jf?
 
Skip to main content
the WHITE HOUSE


Enter your search term "Magufuli congratulations"

Clear
Custom range
From
To
Search results
Sorry, no results found for 'magufuli congratulations'. Try entering fewer or broader query terms.
 
Back
Top Bottom