Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Kama CCM haikupasuka 2015 sidhani kama watakuja kupasuka tena.
Jumapili watamaliza mkutano wao salama hakuna kitisho kabisa.
Mkuu kwa hali ilivyo na mpambano ulivyo ccm itatoka salama kinafiki na sikutoka moyoni! Matokeo ya unafiki wao yatakuja jitokeza siku si nyingi usoni mwa wa Tanzania.Jamaa kabana ulaji mpaka hata wenyeviti huku vijijini wanajuta.
 
Sasa wewe mpuuzi YERIKO unaeshindwa kuhoji ALIPO SAANANE unajifanya kuja huku kutetea lichacjma lisilo jali na kuthamini michango ya watu wanao kipigania CHAMA....HIVI kipi kinachokuuma IWAPO TRUMP akimsifia MAGUFULI?????.....tatzo lenu hapa mnataka kusikia MABAYA tuu juu ya MAGUFULI......Let me remind you this.....KWA SASA HAKUNA RAIS BORA AFRIKA aliye kwenye midomo ya WAAFRIKA kama MAGUFULI na hili nyie hmataki kabsa kulisikia...
Na hakuna CHAMA KICHAFU kwa propaganda chafu za mitandaoni kama CHAMA CHENU.....
Refer uchaguzi wa 2015 mlivyokuwa walaghai kwa mipicha picha ya mafuriko YA VYUMBANI KWENU

Mmh,umeishia darasa la ngapi mkuu??
Ni wewe kabisa,au ni mwanao ndiyo amekuibia simu then akapost??
Mbona SHETANI mwenyewe yupo midomoni mwa waafrika,lakini si mzuri
hata kidogo kwao,sembuse Rais.
 
Sasa wewe mpuuzi YERIKO unaeshindwa kuhoji ALIPO SAANANE unajifanya kuja huku kutetea lichacjma lisilo jali na kuthamini michango ya watu wanao kipigania CHAMA....HIVI kipi kinachokuuma IWAPO TRUMP akimsifia MAGUFULI?????.....tatzo lenu hapa mnataka kusikia MABAYA tuu juu ya MAGUFULI......Let me remind you this.....KWA SASA HAKUNA RAIS BORA AFRIKA aliye kwenye midomo ya WAAFRIKA kama MAGUFULI na hili nyie hmataki kabsa kulisikia...
Na hakuna CHAMA KICHAFU kwa propaganda chafu za mitandaoni kama CHAMA CHENU.....
Refer uchaguzi wa 2015 mlivyokuwa walaghai kwa mipicha picha ya mafuriko YA VYUMBANI KWENU
Muulize Dikteta Uchwara anaijua vizuri M4C na alivyojipendekeza kwa jina hilo
 
Tbc walirusha hiyo Habari bila kuonyesha video ya trump akiongea hivo Ili tuamini, uongo mtupu
 
Kwa watz hilo la kulishwa uongo ndio zetu kila aletae porojo kwetu kawaida tu,kama kasifia au hakusifia,faida anaijua alieanzisha hiyo habari!
 
Sasa wewe mpuuzi YERIKO unaeshindwa kuhoji ALIPO SAANANE unajifanya kuja huku kutetea lichacjma lisilo jali na kuthamini michango ya watu wanao kipigania CHAMA....HIVI kipi kinachokuuma IWAPO TRUMP akimsifia MAGUFULI?????.....tatzo lenu hapa mnataka kusikia MABAYA tuu juu ya MAGUFULI......Let me remind you this.....KWA SASA HAKUNA RAIS BORA AFRIKA aliye kwenye midomo ya WAAFRIKA kama MAGUFULI na hili nyie hmataki kabsa kulisikia...
Na hakuna CHAMA KICHAFU kwa propaganda chafu za mitandaoni kama CHAMA CHENU.....
Refer uchaguzi wa 2015 mlivyokuwa walaghai kwa mipicha picha ya mafuriko YA VYUMBANI KWENU
Kunywa maji mwanangu upoze koo kwanza
 
Ccm inayoongoza nchi ni ipi? Maana Magufuri ndo yuko madarakani
 
Usitukane Mamba wakati mto hujavuka kazi kwake mzee wa Mwafwaaa
 
Hiy

TBC ccm nao wameingia kichwakichwa kuirusha hiyo habari ya uongo
Rafiki yangu Dr. Rioba amenisikitisha sana kwa kweli. Chombo cha Taifa kinatangaza habari ya uongo? No wonder kwenye vikao vyetu pale UDASA na MIGOMBANI haonekani,aibu ya kulamba miguu inamsuta.
 
Japo sina uhakika na andiko lako na la kwao, lakini kuna logic itakuwaje Trump amsifu JPM kwa swala la kuto kung'ang'ania madarakani wakati ndio kwanza kaingia madarakani? Wanao stahili sifa hiyo ni wale waliomtangulia, sababu wao waliachia madaraka kwa hiari na hawa kulazimisha kubaki madarakani, au aisifie Tanzania kwa kwa ujumla japo tayari tuna doa kule Zanzibar mambo haya kwenda sawa na hilo wamarekani wamelisema pia, na lingine ni sheria ya mitandao na vyombo vya habari hilo pia wamelipigia kelele na limetokea chini ya uongozi wa JPM. JPM kupata sifa toka mataifa ya western ni bado kabisa. Labda ubalozi wa USA Tanzania utatoa tamko kuhusu hilo.
Vijana wa CCM wakikirupuka wanasahau vitu vidogo kama hivi kuwa vinaweza kuwa outsmart
 
Back
Top Bottom