Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Afrika nzima inamsifia Magufuli. Sasa mpaka Trump kaona ubora wa Magufuli. CHADEMA hawakubali kila siku mbinde.

Hivi mabadiliko wanayoyataka CHADEMA ni yapi wakipewa nchi leo watafanya nini cha maana kwa watanzania.

Mafisadi wa CCM wamekimbilia CHADEMA. Kesi za kuvuta na kuuza unga na bangi zipo kwao.
Lissu alitoa hotuba kumlaumu Magufuli hajanunua chakula. Li inchi kubwa hivi na ardhi yenye rutuba ya kutosha CHADEMA wanataka chakula kinunuliwe kutoka nje eti kisa ni ukame na mafuriko. Ni mwaka ambao hauna ukame na mafuriko katika sehemu mbali mbali za Tanzania.

Magufuli anapiga vita uzembe, wizi na rushwa. Anasimamia ukusanyaji wa kodi. Anapambana na upendeleo hakuna cha kusema mimi mkubwa siguswi. Ana mipango ya maendeleo. Hii mijitu ya upinzani kuna mpaka aliyelaumu kwanini rais hafanyi safari za nje.

Wapinzani wanafanya uchochezi wa kisiasa kuliko uliofanywa na mashehe halafu wakiwekwa ndani wanajifanya ni kina Mandela wanagoma kula. Mandela hakugombea upumbavu unaogombewa na hawa wapinzani.

Ewe Mungu washushie wapinzani laana ambayo hata kuifikiria hawajaifikiria watawanyike washindwe kwa kipigo maradufu ya walichokwisha kukipata. Mijitu yenyewe imekaa kiulaji ulaji tu midomo haifungi kama mamba.
Unatumia mtandao lakini hujui kuutumia. Una uhakika Trump kazungumza kuhusu hilo??
 
Mkuu hawa makamanda ukibishana nao sometimes utawehuka tu maana saiv wako na arosto za kukosekana kwa viroba

Ndo maana atakwambia haamini chanzo cha hbr kilichoandika kuhusu trump AF anaamini chanzo cha hbr kinaitwa gwajima na anakifanya reference yake kbs
 
Kuna upuuzi unaendelea mitandaoni na wabana pua kwamba oooho Trump ampongeza rais wetu kipenzi. Ikulu ya Marekani ndio inaandika kiingereza kibovu vile na inatumia wasapu siku hizi badala ya njia sahihi toka White House Kiingereza kile kina sura na mfanano kabisa wa mwandiko wa ndugu yangu Humphrey Polepole, labda siku hizi amekuwa mwandishi na msemaji wa Donald Trump wa Chamwino pale Dodoma...Lakini Trump yule wa Marekani sijui kama anajua kuwa kuna Tanzania ya Magufuli, ninachofahamu anajua kuna Afrika ya Nyerere, Nkurumah, Mandela, Lumumba, Mugabe, Museven nk.....

Hotuba ya Donald Trump wakati akisaini sheria ya kuzuia wahamiaji kuingia nchini mwake hakuna mahali alipotamka neno Magufuli, wala hakuna alipomsifu... Nilifuatilia hotuba ile, lakini mtandao wa radio ya Ufaransa ya kiswahili umechomekea maneno hayo nakufanya habari kuwa tofauti kamia propagsnda za aona hii bisa, Ukweli Rais wetu tutamsifu wenywe kwa mazuri yake sio kwakutumia propaganda za aina hii, Bahati mbaya vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotumia lugha ya kiswahili vingi vimejaa watanzania wenye ushabiki wa vyama (makada) ambao muda mwingi wanatumika vibaya.

Rais asifiwe kwa mazuri yake mfano mimi namuunga mkono kwa 100% Zanzibar ibebe msalaba wake, Muda wa kubebwa Zanzibar umekwisha ilipe deni la tanesco ili shirika letu liweze kujiendesha... Tumewabeba kwenye bajeti ya Masuala ya Muungano ambapo Bajeti huwa kati ya trilion 2-2.5 lakini Zanzibar huchangia sifuri katika Mfuko huo wa Muungano uitwao JVC committee. Wakati huo bajeti ya Zanzibar ni kati ya 500b hadi 550b lakini pato la Zanzibar ni 150b, hivyo kiasi cha zaidi ya 350b huwa tunawachangia sisi tani kodi zetu zinakwenda kuwahudumia wao kule... Baada ya hapo katika baje ya Muungano hutengwa 34b kwaajili ya Rais wa Zanzibar, hii huitwa pesa maalumu ikitumika kwa shughuli maalumu za kiusalama na mengineyo... Hii inatoka pia kwa walipa kodi wa Tanganyika, Je Zanzibar inachangia nini kwa Tanganyika? Jibu ni sifuri..... Zaidi ni ulinzi wa Bahari na UDUGU.
Hili ndilo linanifanya nimuunge mkono rais wangu kipenzi...

Tukirejea kwenye siasa zetu chafu, Mahangaiko ya vijana wa Lumumba ni makubwa na yanasikitisha sana, Chama kimepasuka mapande matatu hapo Dodoma ambayo hayana refa kabisa,

Ipo ccm ya JPM hawa wanaangalia ugali unapotoka tu (wafanya biashara), Ipo ccm ya JK hawa wanalia kuumizwa baada ya JMP kufunga mirija yao, na Ipo ccm ya The Don hii ndio inayoendesha nchi...

Nyie parulaneni huko Dom, badilisheni katiba kwamba mnajenga ccm imara kumbe mnaivunja cm, lakini sisi ni timing tu, furaha yetu ni kuona uchaguzi ujao katiba inazuia mwanaccm kumpinga rais aliyepo madarakani.

Taarifa zote zinazomhusu Rais Trump hata akipiga chafya tu hutolewa kupitia hapa Statements and Releases. Nje ya hapa hizo ni kahawa za vibarazani TBCccm.

Twendeni....twendeniii tukamkabe Bashite....






Huna jipya bahati mbaya viroba havipo au ungeenda depot mtaa wa ufipa wakupe carton .
 
Kwa akili hizi ndio maana Wema ni 'lulu'hapo Chadema.Tatizo sI wewe ni sacrament ya bange
Njoo umpinge tena mleta mada. Leo umedhihirisha uchumia tumbo tu, hauna hoja yoyote ya maana. Kazi yako kubwa ni upiga filimbi wa hamelin tu basi. Nadhani ulicomment ukiwa umevimba kichwa kweli, sasa imedhihirika mleta mada yuko sawa. Haya comment yako na iwe juu yako sasa.
 
Mkuu hawa makamanda ukibishana nao sometimes utawehuka tu maana saiv wako na arosto za kukosekana kwa viroba

Ndo maana atakwambia haamini chanzo cha hbr kilichoandika kuhusu trump AF anaamini chanzo cha hbr kinaitwa gwajima na anakifanya reference yake kbs
Haujajidharau tu kwa ugoro huu uliouandika. Maana ukweli umeshajulikana. Naona ulikuwa ukipigania usajiri katika kundi la Lumbumba book 7 hahahahah! sasa umebuma.
 
Taifa kulishwa uongo ni kitu cha kila siku na cha kawaida sana. Habari tunazopatiwa na media za ndani na hata za nje asilimia 50% ni uwongo. Kwa mfano habari za uwongo zinazoenezwa na mchungaji wa chadema Nd Gwajima kuwa ana vyeti kanisani kwake za vyeti vya kughushi vya RC wa Dar. Kwamba mtu anaweza kudahiliwa vyuo mbali mbali kwa kutumia photocopy ya vyeti vya mtu mwingine na birth certificate ya mtu mwingine huku yule mtu mwingine naye akitumia vyeti hivyo hivyo vilivyopo kanisani kudahiliwa kwenye vyuo vingine na central.admission systems za nacte na tcu.kushindwa ku detect udanganyifu wa wakuu wa vyuo hivyo. Hata juzi tulilishwa uwongo kuwa Bashe alienda kwenye mkutano mkuu wa ccm akiwa na mabegi 4 yaliyojaa manoti kwa madhumuni ya kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu kukwamisha mabadiliko pendekezwa ya chama. Kwamba kuna kanisa la Ufufuo wa watu wakati halijawahi kufufua hata panya.
 
Mimi huwa sielewagi kabisa dhumuni la mtu kujikunja kabisa na kupika uongo..

Mbona haya hayakutokea kwa JK hata kutengenezewa vijisifa vya hapa na pale?? Au ndio tuseme wameshamjulia anapenda sana kusifiwa??
labda wanajua jamaa yai halipand ndio maana wanamdanganya
 
Kwenye huu uzi nimepata misukule & Bashitean 36. Kwa idadi ya wachangiaji wa huu uzi,hakika ni hasara kubwa sana kwa familia,ndugu,jamaa,marafiki na Taifa kwa ujumla kwa kuwa na watu wanaotumia vichwa kufugia nywele na kutumia viungp vingine kufikiri. Ulemavu wa akili
 
Mkuu hawa makamanda ukibishana nao sometimes utawehuka tu maana saiv wako na arosto za kukosekana kwa viroba

Ndo maana atakwambia haamini chanzo cha hbr kilichoandika kuhusu trump AF anaamini chanzo cha hbr kinaitwa gwajima na anakifanya reference yake kbs





Njoo uatamie yai lako,umelitaga mwenyewe halafu unalikimbia unataka aliatamie nani?Kila kiletwacho mitandaoni mnakimeza kizima mithiri ya kinda la ndege limezalo kila kiletwacho na mama yake.Pumbavu sana!
 
Back
Top Bottom