Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Afrika nzima inamsifia Magufuli. Sasa mpaka Trump kaona ubora wa Magufuli. CHADEMA hawakubali kila siku mbinde.

Hivi mabadiliko wanayoyataka CHADEMA ni yapi wakipewa nchi leo watafanya nini cha maana kwa watanzania.

Mafisadi wa CCM wamekimbilia CHADEMA. Kesi za kuvuta na kuuza unga na bangi zipo kwao.
Lissu alitoa hotuba kumlaumu Magufuli hajanunua chakula. Li inchi kubwa hivi na ardhi yenye rutuba ya kutosha CHADEMA wanataka chakula kinunuliwe kutoka nje eti kisa ni ukame na mafuriko. Ni mwaka ambao hauna ukame na mafuriko katika sehemu mbali mbali za Tanzania.

Magufuli anapiga vita uzembe, wizi na rushwa. Anasimamia ukusanyaji wa kodi. Anapambana na upendeleo hakuna cha kusema mimi mkubwa siguswi. Ana mipango ya maendeleo. Hii mijitu ya upinzani kuna mpaka aliyelaumu kwanini rais hafanyi safari za nje.

Wapinzani wanafanya uchochezi wa kisiasa kuliko uliofanywa na mashehe halafu wakiwekwa ndani wanajifanya ni kina Mandela wanagoma kula. Mandela hakugombea upumbavu unaogombewa na hawa wapinzani.

Ewe Mungu washushie wapinzani laana ambayo hata kuifikiria hawajaifikiria watawanyike washindwe kwa kipigo maradufu ya walichokwisha kukipata. Mijitu yenyewe imekaa kiulaji ulaji tu midomo haifungi kama mamba.
 
ona sasa nimetapikia simu yang kwasababu ya huu utumbo! Hivi mirembe Pamejaa enhee
 
Mtu aniambie ni mwaka gani hakuna ukame na mafuriko Tanzania. Mshua kawaambia watu walime magimbi badala ya kutegemea ndizi kila siku CHADEMA wamepata pointi ya kupigia kampeni. Siwasikii tena CHADEMA wakipiga vita ufisadi.
 
Mwanzo ni mgumu Magufuli akipata sapoti ya wananchi mambo yatanyooka na wananchi watanufaika mwisho wa siku.
 
Mafisadi wamekimbilia cdm? Ni wapi hao mkuu, ebu niorodheshee
 
Kwanzaa achaaa kulaani usije ukalaniwa alafuu hoja yako ujaipanga ipasavyo kwani umekuwa mtuu wa kulaumuu Upinzani,kwanza inatakiwa ulielewe neno lenyewe "UPINZANI"
Ukilielewa nazani utapanga upyaa uzii wako!!!!
 
Mtu aniambie ni mwaka gani hakuna ukame na mafuriko Tanzania. Mshua kawaambia watu walime magimbi badala ya kutegemea ndizi kila siku CHADEMA wamepata pointi ya kupigia kampeni. Siwasikii tena CHADEMA wakipiga vita ufisadi.
Ufisadi umeshaisha Tanzania na mahakama imefungwa, hukusikia?
 
Back
Top Bottom