Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

Rafiki yangu Dr. Rioba amenisikitisha sana kwa kweli. Chombo cha Taifa kinatangaza habari ya uongo? No wonder kwenye vikao vyetu pale UDASA na MIGOMBANI haonekani,aibu ya kulamba miguu inamsuta.

Yaani Hawa TBC nao wanatia huruma aisee!
Jana wamebugi sana
Fake news
 
Kuna upuuzi unaendelea mitandaoni na wabana pua kwamba oooho Trump ampongeza rais wetu kipenzi. Ikulu ya Marekani ndio inaandika kiingereza kibovu vile na inatumia wasapu siku hizi badala ya njia sahihi toka White House Kiingereza kile kina sura na mfanano kabisa wa mwandiko wa ndugu yangu Humphrey Polepole, labda siku hizi amekuwa mwandishi na msemaji wa Donald Trump wa Chamwino pale Dodoma...Lakini Trump yule wa Marekani sijui kama anajua kuwa kuna Tanzania ya Magufuli, ninachofahamu anajua kuna Afrika ya Nyerere, Nkurumah, Mandela, Lumumba, Mugabe, Museven nk.....

Hotuba ya Donald Trump wakati akisaini sheria ya kuzuia wahamiaji kuingia nchini mwake hakuna mahali alipotamka neno Magufuli, wala hakuna alipomsifu... Nilifuatilia hotuba ile, lakini mtandao wa radio ya Ufaransa ya kiswahili umechomekea maneno hayo nakufanya habari kuwa tofauti kamia propagsnda za aona hii bisa, Ukweli Rais wetu tutamsifu wenywe kwa mazuri yake sio kwakutumia propaganda za aina hii, Bahati mbaya vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotumia lugha ya kiswahili vingi vimejaa watanzania wenye ushabiki wa vyama (makada) ambao muda mwingi wanatumika vibaya.

Rais asifiwe kwa mazuri yake mfano mimi namuunga mkono kwa 100% Zanzibar ibebe msalaba wake, Muda wa kubebwa Zanzibar umekwisha ilipe deni la tanesco ili shirika letu liweze kujiendesha... Tumewabeba kwenye bajeti ya Masuala ya Muungano ambapo Bajeti huwa kati ya trilion 2-2.5 lakini Zanzibar huchangia sifuri katika Mfuko huo wa Muungano uitwao JVC committee. Wakati huo bajeti ya Zanzibar ni kati ya 500b hadi 550b lakini pato la Zanzibar ni 150b, hivyo kiasi cha zaidi ya 350b huwa tunawachangia sisi tani kodi zetu zinakwenda kuwahudumia wao kule... Baada ya hapo katika baje ya Muungano hutengwa 34b kwaajili ya Rais wa Zanzibar, hii huitwa pesa maalumu ikitumika kwa shughuli maalumu za kiusalama na mengineyo... Hii inatoka pia kwa walipa kodi wa Tanganyika, Je Zanzibar inachangia nini kwa Tanganyika? Jibu ni sifuri..... Zaidi ni ulinzi wa Bahari na UDUGU.
Hili ndilo linanifanya nimuunge mkono rais wangu kipenzi...

Tukirejea kwenye siasa zetu chafu, Mahangaiko ya vijana wa Lumumba ni makubwa na yanasikitisha sana, Chama kimepasuka mapande matatu hapo Dodoma ambayo hayana refa kabisa,

Ipo ccm ya JPM hawa wanaangalia ugali unapotoka tu (wafanya biashara), Ipo ccm ya JK hawa wanalia kuumizwa baada ya JMP kufunga mirija yao, na Ipo ccm ya The Don hii ndio inayoendesha nchi...

Nyie parulaneni huko Dom, badilisheni katiba kwamba mnajenga ccm imara kumbe mnaivunja cm, lakini sisi ni timing tu, furaha yetu ni kuona uchaguzi ujao katiba inazuia mwanaccm kumpinga rais aliyepo madarakani.

Taarifa zote zinazomhusu Rais Trump hata akipiga chafya tu hutolewa kupitia hapa Statements and Releases. Nje ya hapa hizo ni kahawa za vibarazani TBCccm.

Twendeni....twendeniii tukamkabe Bashite....
  • Katika thread yako nzima naunga mkono msimamo wako kuhusu Zanzibar
  • Kwenye huu muungano Zanzibar ni free rider, Zanzibar ni parasite, Zanzibar ni kupe
 
mimi ningeamini ikulu ya Tanzania imetoa hiyo taarifa za pongezi kutoka kwa Trump
 
Poleni sana.

Hivi huwa mnafikiri kwa kutumia viungo gani? Mara mseme Magufuli ana haribu nchi nara mseme Lowassa ndio anaongoza nchi.

Kwa hiyo anaeharibu nchi si Magufuli ni Lowassa?
Kaka kuishi na nyumbu inahitaji moyo sana
 
Asante kwa mtazamo wako.

Mitandao ya habari za uongo.
Wanaandika ni Wanaijeria. Kuna shule maalumu za kujifundisha uongo na utapeli huko Naijeria, ikiwa pamoja na kutengeneza umaarufu wa mtu, mwanasiasa na mhubiri wa dini au mfanya biashara au anayetafuta mchumba nk.
Mitandao mingi ya kijamii yameanza kupiga vita "habari za uongo".

Trump ni mfanya biashara sio muuza maadili na anaangalia faida na masilahi ya nchi yake kwanza.

Hakuna nchi imetofautiana na sera za nchi za nje za Marekani kama Afrika Kusini lakini katika simu zilizopigwa za kwanza hapa barani Afrika, alipigiwa Bwana Jacob Zuma na wote wawili walizungumza na kukubaliana kuendelea na ushirikiano. Kuna zaidi ya Makampuni 600 ya Kiamerika yanayofanya biashara huko Afrika ya Kusini.

Kabla ya kuzungumza na kujiridhisha tuu, tuijue Washington vizuri. Tanzania inajulikana vizuri sana na kuna ofisi maalum huko Marekani zinazoiangalia Tanzania usiku na mchana. Kusifiwa kwa viongozi wetu, inategemea jinsi Marekani itakavyopata faida kutoka kwenye Taifa hili. Saudi Arabia na Israel ni nchi zisizo heshimu kabisa haki za Kibinaadamu, lakini ndio rafiki wa kwanza wa Marekani.
Hatupendwi au kushangiliwa au kusifiwa kwa ushabiki tuu kama akina Sepetu au Lema.

Suala la Zanzibar, leo hii kama Bara wanalipia umeme Zanzibar, basi ni sawa na kulipia ada ya ulinzi. Kwanini tunasema hivi?
Siku tutakapo idhinisha talaka ya Zanzibar, kuna wachumba zaidi 10 wenye uwezo mkubwa sana kutoka Magharibi, Asia na Uarabuni wako tayari kufunga ndoa mpya (Muungano),na wana uwezo mkubwa wa kuvifanya visiwa hivi viwe na maendeleo ya kiuchumi kama Japan au Taiwan. Kuna nchi zina uwezo wa kununua nchi zingine.

Utafiti unaonyesha maendeleo ya Zanzibar yanazuiwa na ndoa ya Muungano. Bado Zanzibar ni mrembo sana na anatamaniwa sana Kimataifa. Tabia za kuisimanga Zanzibar au kuiona Zanzibar ni duni au ni wanyonge au ni mtoto yatima, tunafanya makosa makubwa sana. Faida ya visiwa hivi waulizeni Wajerumani, wakati walipotaka kutumia ardhi ya Zanzibar kufanya mazoezi yao ya kijeshi, Mwalim Nyerere akapinga.

Tusiwe kama kuku, anayewacha Almasi akafuata pumba, mwana Usalama yeyote mzuri aliyebobea kwenye uchumi atakubali Bara inahitaji Zanzibar kuliko Zanzibar vinavyohitaji Bara.
 
SIJAWAI SIKIA WAZANZIBARI WAKING'ANG'ANIA MUUNGANO.
MTU AKISIKIKA ANASEMA TUNAWABEBA NADHANI ANA KACHUKI KAKE AMBACHO NI NGUMU YEYE KUKASEMA. LAKINI TUNAOFAHAM TUNAKAJUA AKO KACHUKI.
 
Kuna upuuzi unaendelea mitandaoni na wabana pua kwamba oooho Trump ampongeza rais wetu kipenzi. Ikulu ya Marekani ndio inaandika kiingereza kibovu vile na inatumia wasapu siku hizi badala ya njia sahihi toka White House Kiingereza kile kina sura na mfanano kabisa wa mwandiko wa ndugu yangu Humphrey Polepole, labda siku hizi amekuwa mwandishi na msemaji wa Donald Trump wa Chamwino pale Dodoma...Lakini Trump yule wa Marekani sijui kama anajua kuwa kuna Tanzania ya Magufuli, ninachofahamu anajua kuna Afrika ya Nyerere, Nkurumah, Mandela, Lumumba, Mugabe, Museven nk.....

Hotuba ya Donald Trump wakati akisaini sheria ya kuzuia wahamiaji kuingia nchini mwake hakuna mahali alipotamka neno Magufuli, wala hakuna alipomsifu... Nilifuatilia hotuba ile, lakini mtandao wa radio ya Ufaransa ya kiswahili umechomekea maneno hayo nakufanya habari kuwa tofauti kamia propagsnda za aona hii bisa, Ukweli Rais wetu tutamsifu wenywe kwa mazuri yake sio kwakutumia propaganda za aina hii, Bahati mbaya vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotumia lugha ya kiswahili vingi vimejaa watanzania wenye ushabiki wa vyama (makada) ambao muda mwingi wanatumika vibaya.

Rais asifiwe kwa mazuri yake mfano mimi namuunga mkono kwa 100% Zanzibar ibebe msalaba wake, Muda wa kubebwa Zanzibar umekwisha ilipe deni la tanesco ili shirika letu liweze kujiendesha... Tumewabeba kwenye bajeti ya Masuala ya Muungano ambapo Bajeti huwa kati ya trilion 2-2.5 lakini Zanzibar huchangia sifuri katika Mfuko huo wa Muungano uitwao JVC committee. Wakati huo bajeti ya Zanzibar ni kati ya 500b hadi 550b lakini pato la Zanzibar ni 150b, hivyo kiasi cha zaidi ya 350b huwa tunawachangia sisi tani kodi zetu zinakwenda kuwahudumia wao kule... Baada ya hapo katika baje ya Muungano hutengwa 34b kwaajili ya Rais wa Zanzibar, hii huitwa pesa maalumu ikitumika kwa shughuli maalumu za kiusalama na mengineyo... Hii inatoka pia kwa walipa kodi wa Tanganyika, Je Zanzibar inachangia nini kwa Tanganyika? Jibu ni sifuri..... Zaidi ni ulinzi wa Bahari na UDUGU.
Hili ndilo linanifanya nimuunge mkono rais wangu kipenzi...

Tukirejea kwenye siasa zetu chafu, Mahangaiko ya vijana wa Lumumba ni makubwa na yanasikitisha sana, Chama kimepasuka mapande matatu hapo Dodoma ambayo hayana refa kabisa,

Ipo ccm ya JPM hawa wanaangalia ugali unapotoka tu (wafanya biashara), Ipo ccm ya JK hawa wanalia kuumizwa baada ya JMP kufunga mirija yao, na Ipo ccm ya The Don hii ndio inayoendesha nchi...

Nyie parulaneni huko Dom, badilisheni katiba kwamba mnajenga ccm imara kumbe mnaivunja cm, lakini sisi ni timing tu, furaha yetu ni kuona uchaguzi ujao katiba inazuia mwanaccm kumpinga rais aliyepo madarakani.

Taarifa zote zinazomhusu Rais Trump hata akipiga chafya tu hutolewa kupitia hapa Statements and Releases. Nje ya hapa hizo ni kahawa za vibarazani TBCccm.

Twendeni....twendeniii tukamkabe Bashite....

Unameza sabuni mbona povu zimezidi kunywa maji ya chumvi ukate povu .
 
Rais wa Marekani Donald Trump amempongeza rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kwa kuwa mfano mzuri wa viongozi wa Afrika.

Wakati akisaini sheria ambayo itakuwa ikizuia waafrika kutoka nchi ambazo marais wake hawafanyi lolote na wale ambao wamegoma kuondoka madarakani, Trump amesema rais Magufuli ni mfano wa viongozi bora wa Afrika na nchi yake inastahili kutendewa kipekee.

Trump ameongeza kuwa sheria hiyo itaziathiri nchi kama Zimbabwe, Uganda na nyingine za Afrika ambazo marais wake wamekataa kuondoka madarakani wakiwa hawafanyi lolote na kusema kuwa Tanzania si miongoni mwazo kwa kuwa wajina wake rais John Pome Magufuli anafanya kazi nzuri.

Kwa mujibu wa Rais Trump , Watanzania hawatazuiwa kwenda Marekani na watapewa upendeleo maalum kwa hisani ya rais Magufuli.

Trump amehitimisha kwa kumpongeza Rais Magufuli kwa uongozi wake akisema "Hongera wajina wangu John Magufuli, wewe ni shujaa wa Afrika".

Rais wa Marekani ampongeza rais Magufuli wa Tanzania
tusipende kumeza tu tuchakate pia na kutafuna
 
Nawe nu yaleyale tu, kuthibisha hoja yako ungetuwekea hotuba ya DJT
 
Magufuli nae ni wajina wa Trump hahaha awa wahuni wa Lumumba kweli wamedata
 
Kuna upuuzi unaendelea mitandaoni na wabana pua kwamba oooho Trump ampongeza rais wetu kipenzi. Ikulu ya Marekani ndio inaandika kiingereza kibovu vile na inatumia wasapu siku hizi badala ya njia sahihi toka White House Kiingereza kile kina sura na mfanano kabisa wa mwandiko wa ndugu yangu Humphrey Polepole, labda siku hizi amekuwa mwandishi na msemaji wa Donald Trump wa Chamwino pale Dodoma...Lakini Trump yule wa Marekani sijui kama anajua kuwa kuna Tanzania ya Magufuli, ninachofahamu anajua kuna Afrika ya Nyerere, Nkurumah, Mandela, Lumumba, Mugabe, Museven nk.....

Hotuba ya Donald Trump wakati akisaini sheria ya kuzuia wahamiaji kuingia nchini mwake hakuna mahali alipotamka neno Magufuli, wala hakuna alipomsifu... Nilifuatilia hotuba ile, lakini mtandao wa radio ya Ufaransa ya kiswahili umechomekea maneno hayo nakufanya habari kuwa tofauti kamia propagsnda za aona hii bisa, Ukweli Rais wetu tutamsifu wenywe kwa mazuri yake sio kwakutumia propaganda za aina hii, Bahati mbaya vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotumia lugha ya kiswahili vingi vimejaa watanzania wenye ushabiki wa vyama (makada) ambao muda mwingi wanatumika vibaya.

Rais asifiwe kwa mazuri yake mfano mimi namuunga mkono kwa 100% Zanzibar ibebe msalaba wake, Muda wa kubebwa Zanzibar umekwisha ilipe deni la tanesco ili shirika letu liweze kujiendesha... Tumewabeba kwenye bajeti ya Masuala ya Muungano ambapo Bajeti huwa kati ya trilion 2-2.5 lakini Zanzibar huchangia sifuri katika Mfuko huo wa Muungano uitwao JVC committee. Wakati huo bajeti ya Zanzibar ni kati ya 500b hadi 550b lakini pato la Zanzibar ni 150b, hivyo kiasi cha zaidi ya 350b huwa tunawachangia sisi tani kodi zetu zinakwenda kuwahudumia wao kule... Baada ya hapo katika baje ya Muungano hutengwa 34b kwaajili ya Rais wa Zanzibar, hii huitwa pesa maalumu ikitumika kwa shughuli maalumu za kiusalama na mengineyo... Hii inatoka pia kwa walipa kodi wa Tanganyika, Je Zanzibar inachangia nini kwa Tanganyika? Jibu ni sifuri..... Zaidi ni ulinzi wa Bahari na UDUGU.
Hili ndilo linanifanya nimuunge mkono rais wangu kipenzi...

Tukirejea kwenye siasa zetu chafu, Mahangaiko ya vijana wa Lumumba ni makubwa na yanasikitisha sana, Chama kimepasuka mapande matatu hapo Dodoma ambayo hayana refa kabisa,

Ipo ccm ya JPM hawa wanaangalia ugali unapotoka tu (wafanya biashara), Ipo ccm ya JK hawa wanalia kuumizwa baada ya JMP kufunga mirija yao, na Ipo ccm ya The Don hii ndio inayoendesha nchi...

Nyie parulaneni huko Dom, badilisheni katiba kwamba mnajenga ccm imara kumbe mnaivunja cm, lakini sisi ni timing tu, furaha yetu ni kuona uchaguzi ujao katiba inazuia mwanaccm kumpinga rais aliyepo madarakani.

Taarifa zote zinazomhusu Rais Trump hata akipiga chafya tu hutolewa kupitia hapa Statements and Releases. Nje ya hapa hizo ni kahawa za vibarazani TBCccm.

Twendeni....twendeniii tukamkabe Bashite....
Kwa akili hizi ndio maana Wema ni 'lulu'hapo Chadema.Tatizo sI wewe ni sacrament ya bange
 
Sasa wewe mpuuzi YERIKO unaeshindwa kuhoji ALIPO SAANANE unajifanya kuja huku kutetea lichacjma lisilo jali na kuthamini michango ya watu wanao kipigania CHAMA....HIVI kipi kinachokuuma IWAPO TRUMP akimsifia MAGUFULI?????.....tatzo lenu hapa mnataka kusikia MABAYA tuu juu ya MAGUFULI......Let me remind you this.....KWA SASA HAKUNA RAIS BORA AFRIKA aliye kwenye midomo ya WAAFRIKA kama MAGUFULI na hili nyie hmataki kabsa kulisikia...
Na hakuna CHAMA KICHAFU kwa propaganda chafu za mitandaoni kama CHAMA CHENU.....
Refer uchaguzi wa 2015 mlivyokuwa walaghai kwa mipicha picha ya mafuriko YA VYUMBANI KWENU
Mkuu,hivi uzi huu kweli unausishanaje ma swala la ben[emoji3] [emoji3]
 
hivi Trump angeweza kutamka huo mjina labda alishwe dona ya mtama !!
 
Ayubu ryoba popote ulipo kama taarifa hii ni kweli hii ni aibu yako,brother si ungebaki tu pale mlimani ukifundisha.

Wakuu nisaidieni kujua,hivi mtu anapoteuliwa na mkulu wa inchi na akakataa uteuzi ni kosa kisheria?au ndo hofu tuu na njaa hua zinawafanya wakubali kila uteuzi.
 
Asante kwa mtazamo wako.

Mitandao ya habari za uongo.
Wanaandika ni Wanaijeria. Kuna shule maalumu za kujifundisha uongo na utapeli huko Naijeria, ikiwa pamoja na kutengeneza umaarufu wa mtu, mwanasiasa na mhubiri wa dini au mfanya biashara au anayetafuta mchumba nk.
Mitandao mingi ya kijamii yameanza kupiga vita "habari za uongo".

Trump ni mfanya biashara sio muuza maadili na anaangalia faida na masilahi ya nchi yake kwanza.

Hakuna nchi imetofautiana na sera za nchi za nje za Marekani kama Afrika Kusini lakini katika simu zilizopigwa za kwanza hapa barani Afrika, alipigiwa Bwana Jacob Zuma na wote wawili walizungumza na kukubaliana kuendelea na ushirikiano. Kuna zaidi ya Makampuni 600 ya Kiamerika yanayofanya biashara huko Afrika ya Kusini.

Kabla ya kuzungumza na kujiridhisha tuu, tuijue Washington vizuri. Tanzania inajulikana vizuri sana na kuna ofisi maalum huko Marekani zinazoiangalia Tanzania usiku na mchana. Kusifiwa kwa viongozi wetu, inategemea jinsi Marekani itakavyopata faida kutoka kwenye Taifa hili. Saudi Arabia na Israel ni nchi zisizo heshimu kabisa haki za Kibinaadamu, lakini ndio rafiki wa kwanza wa Marekani.
Hatupendwi au kushangiliwa au kusifiwa kwa ushabiki tuu kama akina Sepetu au Lema.

Suala la Zanzibar, leo hii kama Bara wanalipia umeme Zanzibar, basi ni sawa na kulipia ada ya ulinzi. Kwanini tunasema hivi?
Siku tutakapo idhinisha talaka ya Zanzibar, kuna wachumba zaidi 10 wenye uwezo mkubwa sana kutoka Magharibi, Asia na Uarabuni wako tayari kufunga ndoa mpya (Muungano),na wana uwezo mkubwa wa kuvifanya visiwa hivi viwe na maendeleo ya kiuchumi kama Japan au Taiwan. Kuna nchi zina uwezo wa kununua nchi zingine.

Utafiti unaonyesha maendeleo ya Zanzibar yanazuiwa na ndoa ya Muungano. Bado Zanzibar ni mrembo sana na anatamaniwa sana Kimataifa. Tabia za kuisimanga Zanzibar au kuiona Zanzibar ni duni au ni wanyonge au ni mtoto yatima, tunafanya makosa makubwa sana. Faida ya visiwa hivi waulizeni Wajerumani, wakati walipotaka kutumia ardhi ya Zanzibar kufanya mazoezi yao ya kijeshi, Mwalim Nyerere akapinga.

Tusiwe kama kuku, anayewacha Almasi akafuata pumba, mwana Usalama yeyote mzuri aliyebobea kwenye uchumi atakubali Bara inahitaji Zanzibar kuliko Zanzibar vinavyohitaji Bara.

Ni ukweli usiopingika mrima tunaibania sana Zanzibar
Muungano unaisababishia Zanzibar kutoendelea
 
Back
Top Bottom