Taifa limechanganyikiwa?

Taifa limechanganyikiwa?

Jadili kwa heshima la sivyo hatutawezana, huyo unayejaribu kumtetea ndio anatusababishia upuuzi wote huu unaotokea sasa
Kungekuwa na mgawanyo wa madaraka na weledi kwenye kuteua na kuchagua taifa lisingefika hapa tulipo sasa
Mungu aliamua ugomvi mkubwa sana kilichofutikwa chini ni uvundo hata kimwagiwe pipa la marashi hakitaacha kunuka na harufu yake inaenda maili nyingi sana
Kwani yeye ndo alizuia huo mgawanyo wa madaraka
 
Sio bure nadhani kuna kipapai tumepigwa ama la tumemkosea Muumba wetu ama mizimu yetu! Vyovyote iwavyo kuna mahali tumekosea ama kupungukiwa na kitu kikubwa sana!

Maumivu ya bando wala hayaumi tena, bei za bidhaa na vyakula kupaa wala sio habari ya kuumiza kichwa tena, maji kudra zimeokoa jahazi.

Sasa haya mengine hata hizo fafanuzi zake kama ukiamua kuziweka kwenye jarida moja unaweza kutengeneza bonge la comedy show ama ukapata homa ya vipindi.

Fafanuzi za umeme usio imara.
Fafanuzi za mikopo ya matrilion.
Fafanuzi za deni la taifa.
Fafanuzi za miradi iliyojaa vinguzumkuti na upigaji wa kufa mtu.
Kiboko msheli ni fafanuzi za treni ya umeme, mabehewa ya SGR, gharama zake, aina zake n.k.
Kuna nini Mungu baba wa mbinguni!?

Wafafanuzi siyo wamoja, wafafanuzi hawaelewani kila mmoja anatoa kioja chake kisha anapotea. Taifa linaumwa!

Huko chawala wanasagiana kunguni, huko ndiko wamechanganyikiwa kabisa. Hotuba zao zilizochafua hali ya hewa nazo zimekodishiwa wafafanuzi, wakifafanua sasa unaweza ukavua nguo ukimbie. Ni mahututi wanahudumia wagonjwa[emoji2827].

Ukikaa pembeni na kupiga taswira haya matukio yote ni kama vile taifa liko kwenye wodi ya wanaougua uchizi.. Inauma sana!

Tukiona humu kila uchao watu wanatangaza kutaka kujiua basi tambua taifa linaumwa na limechanganyikiwa kabisa...![emoji1544][emoji2827].
giphy.gif
Chama langu chadema linaniweka katika halingimu saana.... wamekatushwa tamaa na wanao waoigania
 
Niliwahi soma ushuhuda wa Prof. Iyke Nathan Uzorma The grand master now in Christ.( Mkuu wa wachawi amrudia Kristo). Sikukumbuki ni part ya ngapi ila kwenye huo ushuhuda kuna sehemu alieleza kuwa kuna:-

1.Uchawi wa kuroga mtu mmoja,
2.Kuna uchawi wa kuroga familia,
3 Uchawi wa kuroga ukoo mzima na
4.Uchawi wa kuroga nchi nzima.

Watu wengi wanashangaa kwanini kuna nchi hazina rasilimali za kutosha lakini zimeendelea kuliko nchi zenye ardhi nzuri,maji,misitu,wanyama na madini ya kila aina?

Si bure Mshana tumerogwa akili ndio maana tunakuwa km mazombi tu. Haiwezekani mafuta juu,chakula juu,umeme hamna,maji hamna, deni la taifa juu na bado raia tupo kimya tu![emoji15][emoji15][emoji15].
Hatupo kimya bali tunafanya tunacho kiweza kulalamika
 
Na hizi fafanuzi je?
Yeye (The Boss), kapiga kivyake alivyoelewa mada. Bila shaka na yeye huo ndio "ufafanuzi" wa mada!

Inawezekana "ufafanuzi" utahitajika hapa. Hili la "ufafanuzi" nalo litaanza kuwa jadi yetu.
 
Are you blind?huoni mambo ya ovyo yanatokea Tanzania?
Naona sana,tulivyokuwa tunasema huyu mama hafai since day one ya uongozi wake chadema wao walikuwa wanasema mama anaupiga mwingi nyie sukuma gang kaeni kwa kutulia anueni matanga jpm kafa, nashukuru leo tunaimba wimbo mmoja[emoji23][emoji23].
 
Naona sana,tulivyokuwa tunasema huyu mama hafai since day one ya uongozi wake chadema wao walikuwa wanasema mama anaupiga mwingi nyie sukuma gang kaeni kwa kutulia anueni matanga jpm kafa, nashukuru leo tunaimba wimbo mmoja[emoji23][emoji23].
nyie sukuma gang kaeni kwa kutulia anueni matanga jpm kafa,[emoji2827]
 
Naona sana,tulivyokuwa tunasema huyu mama hafai since day one ya uongozi wake chadema wao walikuwa wanasema mama anaupiga mwingi nyie sukuma gang kaeni kwa kutulia anueni matanga jpm kafa, nashukuru leo tunaimba wimbo mmoja[emoji23][emoji23].
nyie sukuma gang kaeni kwa kutulia anueni matanga jpm kafa,[emoji2827]

Mimi ni kweli kabisa nilimpongeza kwa post nyingi mpaka nikaanza kuitwa chawa! Ange maintain standard yake angefika mbali sana ila ndani ya circle kuna mengi na kuna mengi na sharubu ni nyingi
 
Mshana Jr nyamaza kabisa tena funga domo lako mlaba asali mkubwa. Wewe ni moja ya watu mliofanya sherehe kuwaunga mkono waliofanikisha mauaji ya Dkt Magufuli, na mlijipambanua kuwa mnashukuru kwa ujio wa Rais Samia. Nadhani mtulie tu maana laana ya mkuu wa nchi siyo jambo dogo na yule mdau aliyesema rais akifa akiwa madarakani nchi inakuwa kwenye hali ya tahadhari hata kwa miaka 30 ni kweli. Kibaya viongozi wetu waliotekeleza hayo mauaji ya rais aliyekuwa madarakani hawana aibu, yaani wamekuwa wakijiweka wazi kabisa bila kifichao mara Mungu kaamua ugomvi mara nimekuwa rais kwa Kudra za Mwenyezi mungu mara watu wazuri hawafi etc. Kikubwa pamoja na tofauti zetu tusiruhusu mauaji mengine yatokee, sisi wazalendo tulishakubali wauaji walifanikiwa na mtu wetu hayupo so tusonge mbele ila waache dharau na majigambo
Umeandika kwa hisia kali sana.

Tanzabia ya leo ina misukule wengi kulikk watu wazima wenye akili.

Tuenddlee kumuomba Mungu
 
Back
Top Bottom