Muda umeanza kuongea wenyewe.nyie sukuma gang kaeni kwa kutulia anueni matanga jpm kafa,[emoji2827]
Mimi ni kweli kabisa nilimpongeza kwa post nyingi mpaka nikaanza kuitwa chawa! Ange maintain standard yake angefika mbali sana ila ndani ya circle kuna mengi na kuna mengi na sharubu ni nyingi
Kwa mfano Lissu,Mbowe na Lema wangekuwa bado wanatutetea ni nini kingekaa sawa katika haya masuala? Au ndio ingekuwa kuna watu wa kutuongelea tu kisha hakuna kinachobadilika?Watanzania walitegemea Mbowe, Lema na Lissu wawatetee kila siku, sasa tupambane na hali yetu, Mh. Mbowe endelea kakaa kimya - kwa sasa watanzania wamegeuka na kusema ati kapewa bahasha na CCM
Tena napenda kilo ya mchele ifike 5000, mgawo napenda ufikie masaa 24 kwa siku na mshahara wa kima cha chini usipande ili tutie adabu.
Mh Mbowe, Lissu Lema na wengine tuacheni kwanza watanzania tutie adabu.
Mimi kwa yooooote, nashangaa ukimya wa kigogo 2014Iko hivii? Dhambi hufanywa ufichoni lakini kuna nguvu ya Mungu hutokeaga na kisha kuifanya dhambi hiyo kubumburuka!
Mf:mtu anafanikisha kuvunja na kuiba, lakini anadondosha kitambulisho eneo la tukio!
Mtu anamsaliti mkewe, lakini anafumaniwa "anaye" sehemu tena ghafla bila ya mkewe huyo kupanga kupitia eneo hilo la mafichoni kona kona vichochoroni huko!
Mifano hiyo ya mambo madogo, hutenda hata kwa mambo makubwa.
Sasa na hili genge limekula na kusahau kufuta midomo na kubakiza mabaki ya wali videvuni mwao kupelekea kila mtu kuelewa kuwa wametoka kula.
Wanapokuja kujiangalia kwenye kioo na kujifuta, haisaidii sababu kila mtu kaona
mabaki midomoni mwao na kishajaji!
Tunaomwamini Mungu tunaelewa kuwa nguvu ya kudhalilisha waovu ipo na inafanya kazi daima.
Ninachochukia mimi ni kampeni ya kichawa inayofanywa na Mawaziri, Wabunge na kila aina ya wateuliwa kusifia bila kukosoa mpaka anayesifiwa mwenyewe kushitukia!
Ninadhani kipindi hiki cha mpito kinachoibua mambo ya hovyo hovyo na ya kukera namna hii, yaweza kuwa ni njia ya kusudi la Mwenyezi Mungu kutuonesha ya sirini ambayo watawala hawataki tuyajue ili sasa maamuzi yabakie kwetu wenyewe!
Asali haina cha Kigogo wala nani, akilambishwa ile ya nyuki wadogo wa Nyahua Tabora lazima aunge juhudi.Mimi kwa yooooote, nashangaa ukimya wa kigogo 2014
Mwenyez Mungu tumemkosea sana na hakuna anayetaka toba hali ni mbaya seriouslySio bure nadhani kuna kipapai tumepigwa ama la tumemkosea Muumba wetu ama mizimu yetu! Vyovyote iwavyo kuna mahali tumekosea ama kupungukiwa na kitu kikubwa sana!
Maumivu ya bando wala hayaumi tena, bei za bidhaa na vyakula kupaa wala sio habari ya kuumiza kichwa tena, maji kudra zimeokoa jahazi.
Sasa haya mengine hata hizo fafanuzi zake kama ukiamua kuziweka kwenye jarida moja unaweza kutengeneza bonge la comedy show ama ukapata homa ya vipindi.
Fafanuzi za umeme usio imara.
Fafanuzi za mikopo ya matrilion.
Fafanuzi za deni la taifa.
Fafanuzi za miradi iliyojaa vinguzumkuti na upigaji wa kufa mtu.
Kiboko msheli ni fafanuzi za treni ya umeme, mabehewa ya SGR, gharama zake, aina zake n.k.
Kuna nini Mungu baba wa mbinguni!?
Wafafanuzi siyo wamoja, wafafanuzi hawaelewani kila mmoja anatoa kioja chake kisha anapotea. Taifa linaumwa!
Huko chawala wanasagiana kunguni, huko ndiko wamechanganyikiwa kabisa. Hotuba zao zilizochafua hali ya hewa nazo zimekodishiwa wafafanuzi, wakifafanua sasa unaweza ukavua nguo ukimbie. Ni mahututi wanahudumia wagonjwa[emoji2827].
Ukikaa pembeni na kupiga taswira haya matukio yote ni kama vile taifa liko kwenye wodi ya wanaougua uchizi.. Inauma sana!
Tukiona humu kila uchao watu wanatangaza kutaka kujiua basi tambua taifa linaumwa na limechanganyikiwa kabisa...![emoji1544][emoji2827].
![]()
UMENITOA MACHOZI. HAKI YA MUNGU KUNA SIKU INA KUJA,SIKU ISIYO NA JINA,NCHI HII NI LAZIMA KIUMANE.Mshana Jr nyamaza kabisa tena funga domo lako mlaba asali mkubwa. Wewe ni moja ya watu mliofanya sherehe kuwaunga mkono waliofanikisha mauaji ya Dkt Magufuli, na mlijipambanua kuwa mnashukuru kwa ujio wa Rais Samia. Nadhani mtulie tu maana laana ya mkuu wa nchi siyo jambo dogo na yule mdau aliyesema rais akifa akiwa madarakani nchi inakuwa kwenye hali ya tahadhari hata kwa miaka 30 ni kweli. Kibaya viongozi wetu waliotekeleza hayo mauaji ya rais aliyekuwa madarakani hawana aibu, yaani wamekuwa wakijiweka wazi kabisa bila kifichao mara Mungu kaamua ugomvi mara nimekuwa rais kwa Kudra za Mwenyezi mungu mara watu wazuri hawafi etc. Kikubwa pamoja na tofauti zetu tusiruhusu mauaji mengine yatokee, sisi wazalendo tulishakubali wauaji walifanikiwa na mtu wetu hayupo so tusonge mbele ila waache dharau na majigambo
Nakuheshimu sana mshana,tena wewe ni mwlm wangu kwenye mambo mengi sana,lkn kwenye hili,umebugi,au unajizima data,jpm ndio alikuwa mwarobaini wa yoote hayo,acha kujidanya,Jadili kwa heshima la sivyo hatutawezana, huyo unayejaribu kumtetea ndio anatusababishia upuuzi wote huu unaotokea sasa
Kungekuwa na mgawanyo wa madaraka na weledi kwenye kuteua na kuchagua taifa lisingefika hapa tulipo sasa
Mungu aliamua ugomvi mkubwa sana kilichofutikwa chini ni uvundo hata kimwagiwe pipa la marashi hakitaacha kunuka na harufu yake inaenda maili nyingi sana
Mshana ni bonge la mtu mnafiki na mbabaishaji tu,hana lolote,hata hiyo sifa unayompa,haimfai,yeye aende akapige ramli tu.Mshana Jr wewe siyo mtu wa low IQ kiasi hicho. Dkt Magufuli alikuwa na dhamira njema na nchi yetu. Najua unafahamu kabisa hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa na msimamo wa kuondoa tofauti. Ndiyo maana hata Ulaya wanawafundisha watoto wao na kuwaambia waafrica ni wajinga na hawana akili na ni wakutawaliwa. Ndiyo maana likija suala la maslahi ya kitaifa wanaungana. Sisi watanzania baadhi yetu wasiokuwa na uelewa unakuta kipindi kile Dkt Magufuli anapigania uwajibikaji serikalini kuna watu wakamuona mbabe, na ushahidi vyetu feki wamelipwa, na bado wafanyakazi hewa wanaweza kurudi. Kibaya kabisa kibaya kabisa ni wewe unalalamika wakati kipindi cha JK ulimtukana mzee wa watu, na alipokuja Dkt Magufuli ulikuwa mpinzani na kwa rais Samia hutaki kuwa chawa
Kwa hilo alaumiwe jomIla kweli hivi ilikuwaje akachagua makamu wa vile ambaye kabisa kigogo alishawahi andika ni msagaji?? Na mtumia spirit kwa sana??? Yaani dah ni noma. Ni afadhali awamu ya pili angechagua hata Lukuvi au Majaliwa tungepona kabisa. Ila kwa sasa inasikitisha sana
Hoja aliwapola jpm.Kila kitu ulikuwa mkakati, kwa sababu wewe huijui serikali na mifumo yake basi kamwe hutaweza kujua hasa kwa nini serikali ilifanya hivyo na wala hakuwa Dkt Magufuli. Na unajua kabisa kuna sheria ambayo rais akijaribu kuua upinzani anaweza kuondolewa madarakani. Dkt Magufuli hakuua upinzani ila kilichotokea ni hawa hawa walamba asali akina Mbowe na akina Zitto kuwabeza serikali iliyowapa nafasi ya kufanya nao kazi. Hivi wewe unajua kuwa vyombo vya ulinzi na usalama they are there kwa kila mtu??? Ila ukiwazingua wanakuzingua. Upinzani ulijiua wenyewe kwa kukosa hoja
Kukichwa kutapambazukaMwenyez Mungu tumemkosea sana na hakuna anayetaka toba hali ni mbaya seriously