Taifa la Ovyo namna hii!

Taifa la Ovyo namna hii!

Hapo juu wanakabana koo,

Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!

Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!

Machungu sana aisee

Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana

Britanicca
Uongo uongo tu mnayojua
 
Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.

Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Milele amina
 
Kwa kufuatilia mataifa mengine,nimegundua kuwa Samia anaweza kudumu sana kwenye urais kwa sababu wanaomzunguka wananufaika naye.Kwa hiyo watamlinda kwa kufa na kupona ili warndelee kufaidi vya wizi.
Angalia mataifa kama Cameroon,Uganga,Congo Brazaville nk.
Kwa Afrika ikitoka madarakani umejitakia mwenyewe
 
Hapo juu wanakabana koo,

Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!

Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!

Machungu sana aisee

Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana

Britanicca
Na Kwa kasi wanayoenda nayo, tutafika hiyo 2030! nchi inathamani ya afu saba tu
 
Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.

Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Siasa na kuuwana ni 🩲🍑 huwezi kuwa mwanasiasa Top leader halafu usiue never , Ili uwe Raisi / waziri lazima uwe ambitious mtu ambaye ni ambitious Huwa yupo Tayari kufanya lolote lile ili kulinda maslahi yake/ maslahi Yao ,

Sitetei kinacho fanyika lakini huo ndio ukweli , Kuna wakati tunajilisha tu upepo lakini ukweli ni kwamba kwenye siasa kuuwana ni sawa na mtu kupiga chafya

It's either uuwe au uuliwe 🔨
 
Kwa kufuatilia mataifa mengine,nimegundua kuwa Samia anaweza kudumu sana kwenye urais kwa sababu wanaomzunguka wananufaika naye.Kwa hiyo watamlinda kwa kufa na kupona ili warndelee kufaidi vya wizi.
Angalia mataifa kama Cameroon,Uganga,Congo Brazaville nk.
Na hiyo ndio sababu hata viongozi wa tume wanakaa chini wanajitungia matokeo, mawaziri hawana kazi zaidi ya kusifia, makatibu wa wizara hawawezi kushauri nini kifanyike kwasababu hawana uhakika kama ushauri wao utapokelewa

Uzalendo wa nchi yetu siku hizi ubaki kumiliki kadi ya CCM na kuimba mapambio ya kuwapamba viongozi sio kuangalia maslahi binafsi
 
Nonsense ever! hamna mtu atakayewasikiliza sasa hivi, mipumbavu ya kutupwa.Shughuli zinaenda nyinyi bado mmebaki mnang'ang'ania Samia Samia.
Screenshot_20251122-090658~2.png
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Nonsense ever! hamna mtu atakayewasikiliza sasa hivi, mipumbavu ya kutupwa.Shughuli zinaenda nyinyi bado mmebaki mnang'ang'ania Samia Samia.
Kuna mahali nimemtaja Samia kwenye maelezo yangu?
Au unajisikia tu kuniita mpumbavu?
Unafikiri siwezi kukujibu tusi baya zaidi?
Unafikiri hoja yako itaeleweka kirahisi ukitukana unaopishana nao hoja?
 
Back
Top Bottom