Taifa la Ovyo namna hii!

Taifa la Ovyo namna hii!

View attachment 3563826
Huu ni ushahidi kuwa hawa washenzi wanakulana wenyewe ndani ya CCM na serikali yao haramu

Na bado. Watamalizana wao kwa wao na watasemana tu nani alifanya nina kwenye mauaji ya halaiki ya MO29
Chezea kuua watu kama kuku...damu za watu elfu kumi zinalia kwenye ardhi, watu walikua wanakufa wanataja jina lake ama ya majitu ya ccm,,,kwanini wasimalizane..acha wamalizane kabisa ...Hadi damu zote za oktoba 29 na 30 zilipwe KUMAMAKE...wanacheza na damu subiri muone .kumamake
 
Nchi imegeuka ‘Wild West’ nadhani Tanzania ilibidi ipite hii njia kujifunza swala la kuongoza nchi nafasi za juu sio za mtu yeyote i.e raisi na maafisa wa vyombo vya usalama na ulinzi.

Yaani hovyo kweli huku TFF wanalazimisha vibali kubashiri match, huku CCTV mara inataka kibali na feees, kila mtu na lwake.

Itakuwa miaka mitano mirefu sana ya kujifunza kwa kila mtu raia na viongozi wazalendo.

Swala la kuongoza nchi sio la mzaha, imekuwa watu wakijisikia tu wanajianzishia vyanzo vyao vya mapato.

It’s chaos
Hatuna taasisi imara haya ndo matokeo yake
 
Mkuu hili la debe la 2030 linalopigwa kwa nguvu kabisa mimi naona ni kama ku-brain wash wananchi wamkubali huyu muuaji na yote aliyofanya wahamishie mawazo yao 2030, yaani wakubali kuwa 2025 mpaka 2030 tayari ina rais halali
Hii ni kampeni isiyo na kificho, na waTanzania kwa bahati mbaya sana inawazoa akili bila hata ya kusita.

Wanalazimishwa waone kila kitu kilikwenda sawasawa, na sasa hali iliyopo ni ya kawaida kabisa!

Sisi tumekuwa watu, au mifugo tu?
 
Hapo juu wanakabana koo,

Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!

Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!

Machungu sana aisee

Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana


Britanicca
:unapoandika mambo kwa mafumbo inaonesha moja kati ya mawili; uwongo au woga. Hakuna anayekulazimisha kuandika.
 
Hapo juu wanakabana koo,

Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!

Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!

Machungu sana aisee

Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana


Britanicca
Kwa kufuatilia mataifa mengine,nimegundua kuwa Samia anaweza kudumu sana kwenye urais kwa sababu wanaomzunguka wananufaika naye.Kwa hiyo watamlinda kwa kufa na kupona ili warndelee kufaidi vya wizi.
Angalia mataifa kama Cameroon,Uganga,Congo Brazaville nk.
 
Back
Top Bottom