a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,993
- 2,246
.we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!
.we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!
Ni watu wachache hadi sasa kumbe tumenotice ile account imeuzwa, na hata location yake kwa sasa haisomi UK tena bali Tanzania anachokisema Chahali hatujatofautiana sana ila ile account mimi naona iliuzwa kwa mtoto wa fisadi la Msoga kwanini nasema hivyo. Kuna pattern za uandishi zinazokuwepo katika account ila huwa anazileta hadi humu na ni mara kadha wa kadha nimekua nikiona mfanano huo.View attachment 3563826
Huu ni ushahidi kuwa hawa washenzi wanakulana wenyewe ndani ya CCM na serikali yao haramu
Na bado. Watamalizana wao kwa wao na watasemana tu nani alifanya nina kwenye mauaji ya halaiki ya MO29
Humjui Abdu vizuri wewe.Abduli ni myth. Hana nguvu yoyote kwenye maendesho ya nchi.
punguza porojo gentleman
Huu nao uchawi.Nchi ni kama kampuni yao.
Jwtz Tiss ovyo.
Viongozi wa dini ya Kikiristo walioko kwenye mihimili kadhaa ambao ni potential kwa taifa, wanauliwa.
Job, Jensta, William.
Who is next?
Tulia Kabudi?
Huu nao uchawi.
Akina Lucuvi wamekufa kifo cha kawaida siyo kuuwawa.
Namkataa yule mwanamama waliemkabidhi hatamu kwa damu lakini hii tunamsingizia uongo tupu.
What does official report from the family of the deceased say?wow, how do you even know that? umemfanyia autopsy ? ...
Kazi umbea tuuHapo juu wanakabana koo,
Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!
Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!
Machungu sana aisee
Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana
Britanicca
Mkuu hili la debe la 2030 linalopigwa kwa nguvu kabisa mimi naona ni kama ku-brain wash wananchi wamkubali huyu muuaji na yote aliyofanya wahamishie mawazo yao 2030, yaani wakubali kuwa 2025 mpaka 2030 tayari ina rais halaliBado tunazungumzia mambo ya 2030 na kuendelea?
Naona mada za aina hii zimenizidi kimo; ni bora nizisome tu na kunyamaza!
Hata mimi hili la Lukuvi eti kauawa sitalinunua labda nipiwe sababu za maana sana. Wamuue ili iweje? Huyu alikuwa ni chawa anayechumia tumbo lake tu na hata angeweza kuamsifia shetani ili tu ale. Lukuvi hakuwa na ushawishi wowote wa kuweza kuwa hatari.What does official report from the family of the deceased say?
How do you know they have been assassinated?
Did you do the autopsy?
Mhii pazitoHapo juu wanakabana koo,
Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!
Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!
Machungu sana aisee
Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana
Britanicca