- Salaam wananchi wenzangu,
kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!
- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!
- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?
- Mungu Aibariki Tanzania!
William @ NYC, USA.
- Salaam wananchi wenzangu,
kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!
- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!
- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?
- Mungu Aibariki Tanzania!
William @ NYC, USA.
- Ushauri wangu siku zote ni kwamba Dr. Kitila na Mkulu wangu Mwanakijiji wapewe nafasi huko ya kujitayarisha kushika nafasi kubwa mbele ya safari, lakini kwa sasa level ya Uwaziri Zitto, Lissu, wanafaa sana isipokuwa ninatatizwa sana na Urais kwa waliopo sasa huko CDM na ni mawazo yangu tu!, sio lazima yawe sahihi, lakini ninatatizwa sana na kwenye Urais!
- I mean CDM hamjafanya collective serious thinking ya kumtayarisha Rais wa 2015 na sitaki kuamini kwamba mnategemea mabaki kutoka CCM, mkuu hili linanitatiza sana!, kwa sababu kwa walipo sasa CDM, CCM itashinda Urais bila tatizo sana!
Willie @ NYC, USA.
- Salaam wananchi wenzangu,
kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!
- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!
- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?
- Mungu Aibariki Tanzania!
William @ NYC, USA.
Binafsi naona Slaa anafaa, kwa sababu zilizo tajwa hapo juu, kama una wengine wataje pamoja na sababu zinazo wafanya wastahili kukaa kwenye nafasi hizo, sisi tuta fanya komparizoni- Mwalimu the greatest alitusaidia kutufanya huru, lakini the rest ni debatable, naomba unishawishi zaidi kwamba Dr. Slaa anafaa kuwa Rais wa kulisaidia hili taifa zaidi ya wengine, kwa mfano unasema ndiye aliyetufunua kuhusu mafisadi ambao mpaka leo hakuna aliyefikishwa kwenye sheria, Dr. Slaa anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke kwenye sheria kwa jina la wananchi? I mean Mch. Mtikila siamini kwamba ana uwezo wa kuwa Rais, lakini kwenye hili la kwenda kwenye sheria na ushahidi anaonekana kuwa na ubavu zaidi,
- Sasa je tutaendelezwa na Rais asiyesimama kuona sheria inatendeka?
Willie @ NYC, USA.
Hivi raisi akiwa DR. Abdallah Kigoda itakuwaje,huyu jamaa ni mtaalam sana wa mipango, mie naona anaweza kutufaa maana sijasikia kashfa zake na ameshika nafasi mbalimbali za uongozi bila kukutwa na kashfa.
Kama kuna mtu anajua mapungufu yake anieleze
Tanzania kama taifa ina bahati kubwa ya hazina ya uongozi wa sasa na baadae.Wapo wanasiasa wengi wanaofaa kukamata wadhifa wa urais wa Tanzania.
[2] Dr Salim A Salimu angetufaa sana kama angechaguliwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015.Nafasi ya urais wa JMT kwa sasa haimfai tena ufaa umezidi kutanuka baina ya Tanzania bara na Zanzibar.Nafasi ya urais wa JMT ni nzito sana kushikwa na mtu toka Zanzibar Dr Salim A Salim ataonekana kama gavana wa Zanzibar anayetawala Tanzania.Siko comfortable kabisa kutawaliwa na mzanzibar tena.Dr Salim ana sifa zote za uongozi lakini uZanzibar wake na umri ni kikwazo pekee kitakachomzuia kuukwa urais wa JMT.
[3] Dr J Magufuli ana uwezo mkubwa sana hakika fitina za CCM ni kikwazo sioni akipitishwa na vikao vilivyojaa urasimu na uzandiki wa kutisha.Ni aina ya viongozi wanaohitajika kushika madaraka ili taifa lisonge mbele.Ni mwepesi kufanya maamuzi laiti angepewa nafasi ya uwaziri mkuu Lowassa asingepata nafasi ya kukosoa na kuizodoa serekali kwa kutochukua maamuzi magumu.Tanzania inahitaji kiongozi aina ya Magufuli.
.
Hayo ni mawazo yako wewe na Malaria Sugu. Kiukweli Membe amekosa hizo sifa ulizozitaja. Kitendo cha kulilia fedha ambayo anajua wezi wote wako na yeye kila siku wanakula, wanakunywa na wanakutana kwenye vikao na halilii washtakiwe atakuja kuendeleza kizazi cha MAJIZI yaliyokaa madarakani tangu enzi za Mzee Malecela tu- Mh. Ben Membe: anafaa sana kuwa Rais na Waziri Mkuu pia 2015; kwa sababu ni msomi, mfuatiliaji, mtendaji, anajali sheria, na ni mkali sana.
Willie @ NYC, USA.
Ameifilisi TTCL kwa rushwa ya kusomeshewa mtoto wake. Hafai!Edward Lowassa, Pombe Magufuli, Prof. Mwandosya, Rose Migiro na Anna Tabaijuka. Hatuwezi kuwa Taifa la majaribio sasa ni wakati wa kukataa.
@NYC hawezi kuja kuwa kiongozi kwenye nchi yenye kipindupindu, malaria, pepopunda, foleni, rushwa aache maisha yake ya raha huko aliko yaliotokana na jasho letu watanzania maskiniKwa jinsi CCM na akina baba yako mlilivyotupeleka puta kwa miaka 50 tangu tupate uhuru
Hatutaki,wala kutegemea mtoto,jamaa yoyote kutoka familia ya John Samuel Malecela kugombea nafasi yoyote.ni hatari kwa Taifa letu,UKWELI NDIYO HUO.
Nionavyo mimi ni hawa wafuatao:
Dr Salim Ahamed Salim;
Ana uzoefu wakutosha na hasa wakimataifa na ni mtu asiyependa rushwa,japo umri umekwenda kidogo lakini bado anaweza kutuongoza na kwa asili wazanzibari hawana sifa ya ufisadi.
Dr Slaa;
Ana uchukia ufisadi kwa vitendo na anasimamia anachokisema hata kama walio wengi watampinga lakini baadaye ukweli hudhihirika kuwa alichokuwa anakisema ni sahihi,Angalizo anahitajika kupunguza jaziba kwa kile anachokichukia kwani akiwa na jaziba anaweza toa amri ambayo pengine ikatugharimu baadaye,Kinachowaogopesha watu wengi hasa viongozi wanafikiri akiwa kiongozi anaweza lipiza kisasi lakini huo ni wasiwasi nafikiri hatapenda kulipiza kisasi na sifa kubwa aliyonayo huyu atasaidia kubadilisha mfumo mzima wa nchi yetu na kutuletea mfumo mpya.
Mhe Sumaye,
Huyu anauzoefu wa kutosha na anaweza kulisaidia taifa kuimarika kiuchumi ila walioko madarakani wasingependa achukue nafasi.
Dr Migiro
Anauzoefu wa kimataifa na hana doa la aina yeyote ila shida yetu ni kuwa na mfumo dume.
Mhe Lowassa,
Ni kweli amelalamikiwa sana, Ninachosema inawezekana kila binadamu ana mapungufu yake ila sifa mbili anazo hata kama tukubali ama tukatae sifa hizo ataendelea kuwa nazo; Anaweza kufanya maamuzi magumu na watendaji wote wa serikali wanamwogopa sana na hii itatuwezesha sisi wanachi wa chini kupata nafasi ya kuhudumiwa na watendaji wa serekali kwa ajili ya woga wa kumwogopa yeye. naomba nieleweke sina nia ya kumtetea au kumpigia debe na pia niwaombe radhi kwa wale watao chukia maelezo haya sina nia ya kuwaudhi kwani nawaheshimu sana.
Mhe Zitto
Kwa mawazo yangu huyu anafaa sana pengine 2020 nakuendelea kwani anahitaji muda kidogo wa kupata uzoefu wa kuwa kiongozi wa juu,
Hapa pia ni waombe radhi kwani kuna kudi fulani humu ndani wanatofautiana na zitto na chochote kinachosemwa kuhusu yeye wana kipinga kwa nguvu wa kichanganya na tofauti zao.
Kwa ufupi sifa ya pekee aliyonayo mhe zitto:
Ana kipaji cha kuzaliwa cha uongozi na kipaji hiki kimemsaidia kujijengea umaarufu hali akiwa na umri mdogo na hili mkilikataa mtakuwa mnamwonea wivu tu, Suala la kipaji ndio sifa ya ziada aliyonayo naomba tumpe muda kidogo aweze kuhama ujana ndio mtakuja kubaliana na mimi kama tutakuwa hai.
Huyu akipata nafasi ya kuwa kiongozi wa kitaifa baadaye taifa letu litaweza kutoka kwenye kundi la nchi masikini na kuelekea kwenye nchi za kati, kwa
ufupi kinachoshidikana sasa yeye anaweza kukifanya na atatuletea heshima ya taifa kama ilvyokuwa enzi ya mwalimu.
Kwa ufupi Tukitatua mambo haya nchi yetu itasonga mbele kwa haraka:
1.Tuwe na katiba mpya
2.Tuwe na tume huru ya uchaguzi
3.Tuwe na mawaziri wasio tokana na wabunge
4.Tuwe na spika wa bunge asiyetokana na chama cha siasa(awe mwenye taaluma ya sheria)
5.Baadhi ya mamlaka ya kiongizi mkuu ya punguzwe
6.Mihimili ya bunge,Takukuru na mahakama kuwa huru na kutoingiliwa na mamlaka yeyote
7.Matumizi ya rasilimali ya taifa yasimamiwe vizuri na yeyote atakayekiuka ashughulikiwe bila ya kuogopwa
endeleza.
- Mkuu heshima yako sana, vipi ukifafanua kidogo nini maana ya Dr. Slaa kuwajali wananchi wake?
Willie @ NYC, USA.