Tofautisha Eagle,Hawk,Falcon,Tai vulture(Furukombe)TAI HAWAUI, WANAHIFADHI
Hawawindi
Wanasubiri kilichokufa.
Kisha wanakisafisha.
Huu ni wajibu muhimu wa mwisho wa asili. KUHIFADHI.
Mkuu mshana, Tai wanaua wanyama kama sungura, digigi na hata watoto wa mbuzi na kondoo, wakitokeza kwenye eneo wazi, hasa maeneo ya pori lenye miti mirefu na mapango ya milima na mawe. ambapo ndipo makazi ya Tai.
wengiUnao wangapi kwani
Wametuondolea mizoga akina:Kwahyo unataka kutwambia kumbe ccm( tai)wanaumuhimu wake🤒.