Tahrir Square ya Tanzania

Tahrir Square ya Tanzania

Kama kuna mtu anafikiri kapinda basi sizonje kapinda zaidi yake...!

Sina wazo la kuandamana maana sidhani kama muda wa kuandamana umefika na sioni right cause ya Mimi kuandamana Dada yetu katangulia mbele ya haki..namwachia Mungu but sizonje navyomjua anaweza hata na yeye kuja battle ground atembeze virungu na njugu mawe kwa wale wafuata upepo wa kuandamana.
 
Hahahaaa kweli kabisa aisee!

She is all over the place utadhani anasumbuliwa na Attention Deficit Disorder.
Mkuu;

Sio kwamba utadhani. Ndivyo ilivyo.

Huyo kama ulivyosema anasumbuliwa na Attention Deficit Disorder.

Mtu anayenunua ugomvi wa watu wengine na kuufanya kuwa ugomvi wake!

Ukichunguza unaweza kukuta alikosa malezi mazuri kwa mzazi wake au wazazi wake huku wadogo/mdogo wake au wakubwa/mkubwa wake akipata malezi mazuri katika familia.
 
DAR ES SALAAM wakitokea watu laiki 3 kuandamana hii inatosha kabisa...dont undermine the power of the people
Tatizo unaongelea hoja za kinadharia wakati mimi ninaongelea uhalisia.

Hao watu laki tatu utawatoa wapi katika Tanzania?

Ninaamini hata wewe tu unajua kutoka rohoni mwako huwezi kwenda kwenye hayo maandamano halafu hapo hapo unadhani kuna wengine watajitokeza!
 
Sasa kama wakiume mnashindwa kutetea wake, watoto, na familia zenu japo hata kwa maandamano ya amani ni heri mkaa kimya kuliko kulia lia mitandaoni.
Wanaume wa dar mnamatatizo sana.
 
Waliokuwepo Mwembechai mwaka 1998 watakuhadithia nini maana ya manung'uniko ya chinchini. Kilichotokea pale kilikuwa ni katika square ya mraba ndogo tu, kuanzia magomeni mapipa, mwembechai hadi Manzese!, Lakini pamoja na hali hiyo kutokea katika eneo dogi iliwachukua Polisi kuendesha operesheni ya Masaa mengi kutuliza hali iliyofuatiwa na baadhi ya measures za serikali kuaddress hisia mbaya dhidi yake. Kwa Tanzania bara haijawahi kutokea kama ile ya Mwembechai tangu uhuru Ya raia kupambana waziwazi na polisi kwa kiwango cha kuogofya!

Point yangu ni kwamba hatutakiwi kutake for granted amani tuliyonayo, inabidi tuadress manung'uniko ya watu kabla hatujafikia point of no return

Manung'uniko yanaweza kuwa ya kisiasa, kidini, kiuchumi, kijamii au kitu chochote ambacho jamii inakipa uzito

Tuombee amani ndugu zangu, tukipoteza amani, gharama ya kuirudisha ni kubwa mno
 
Libya walifanikiwa kwa kua nyuma ya maandamano alikuwepo mzungu anasapoti,bila mkoloni sahau
 
hivi kabisa inamaana hujaona wizi wa kura katika uchaguzi huu uliopira juzi? hujaona makada wa ccm wakisimamia uchaguzi? hujaona watu wakipogwa na wengine kuuwawa? shame be upon you.
Mtulia kura 30,000
Mwalimu kura 12,000

Unataka kusema hilo sanduku moja lilikwenda jazwa kura zaidi ya 18,000? Tuoneshwe matokeo ya kile kituo kama kulikuwa na kura 18,000 za ziada.

Aliyesababisha vurugu kupelekea watu kujeruhiwa na kuuawa ni Mbowe kwa kuanzisha maandamano yasiyo na kibali baada ya saa 12 jioni. Ulitaka maandamano yaruhsiwe mpaka usiku ili watu waporwe mali na biashara zao?
 
Kwahiyo uchaguzi halali ni ule unaopelekea upinzani kushinda tu. CCM wakishinda wanakuwa wameiba kura.

Nyie ndio great thinkers wa CDM?
 
Kwa hiyo uchaguzi halali ni ule unaopelekea upinzani kushinda tu. CCM wakishinda wanakuwa wameiba kura.

Nyie ndio great thinkers wa CDM?
Hivi umeelewa nilichokiandika? umefuatilia kasoro za uchaguzi wa kinondoni? ulikuwa unaangalia ITV? hii mijitu ya ccm mwili mkubwa akili kijiko. wewe mpaka masanduku ya kura yanaibiwa na kurudishwa bado unahoji uhalali wa uchaguzi wa kinondoni? utakuwa unaumwa wewe wahi hosptali.
 
Watu Wapo busy kulijenga Taifa ukiwaambia habari za maandamano wanabaki kukushangaa.
 
Kuna minong’ono nong’ono ishaanza kusikika toka kwa baadhi ya watu juu ya maandamano ya kupinga yaliyotokea kipindi cha chaguzi maalumu zilizomalizika wiki jana.

Niwajuavyo Watanzania, sidhani kama kutakuwepo na hayo maandamano. Wataishia kusema sema tu mitandaoni, basi. Mwishowe watasahau na wayalalamikiayo yatapita tu kama upepo.

Ila, tuseme na sisi tunakuwa na maandamano kama yale ya ‘Arab spring’, ni sehemu ipi hapa Dar ambapo panafaa kukusanyikia?

Mnazi Mmoja? Viwanja vya Leader’s? Kawe kule Tanganyika packers?
Wewe ni mkenya??? "Niwajuavyo watanzania...."
 
Back
Top Bottom