HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,939
- 102,696
Yule hajielewiHalafu baadae utamsikia mtu kama.mayala kuwa ooh kweli huyu jamaa alikuwa hafai luwa rais n bla bla bla
Yule hajielewiHalafu baadae utamsikia mtu kama.mayala kuwa ooh kweli huyu jamaa alikuwa hafai luwa rais n bla bla bla
Hoja sio kuandamana, hoja ya msingi ni kwa nini waandamane. Je, sababu za maandamano ni tatizo linalogusa Watanzania wengi au ni frustration tu za baadhi ya watu wanaodhani malengo yao binafsi ya kisiasa na kijamii yamezibwa.
Naona yule dada yao wa Marekani bado anaendelea kuwashikia akiri makamanda.
Alianzisha zoezi la kuchoma kadi za CCM, sijui liliishia wapi?
Kwa sasa anakuja na utumbo wa kuandamana eti ili kuiondoa serikali madarakani! Huyu anadhani kuondoa serikali madarakani ni kama kuvunja ndoa wakati wowote au kutafuta penzi kwenye mitandao!
Unajua kuna baadhi ya watu wadanganywa sana na vikoment au vi-like vya kwenye mitandao mpaka wanadhani Tanzania ni mitandao ya Kijamii.
Wanadhani hata Ikungulyabashashi kwa kina Nyani Ngabu wanaishi kwenye mitandao ya Kijamii!
Hizi kelele baada ya siku tatu zitaisha halafu wataibuka na suala jingine.
Tanzania kuna vituko!
Kwan wanaandamania siasaSiasa ya nchi hii haiwezi kunifanya niandamane kbs
Mimi nafanya tuu kazi ya ushauri wa bure.
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
P
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.MKuu that was CHADEMA na naona walikuelewa, ila hi ya sasa ni ya Waanchi naamini hawajkusikia bado, Labda pandisha uzi mwingine wakusikie na uongee nao.
Otheriwise naiona tarehe 26-4-2018 ya amani na furaha kwa waTz na wewe ukiwepo.
Vipi brake imekatika amaMsitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
Iko twitaTahrir square ya Tanzania itakuwa Chato ikiongozwa na jesika
Breki ipo mataconiVipi brake imekatika ama
Noma sana hadi ikasererekea ubeligijiBreki ipo mataconi