Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,002
- 74,628
Ustaarabu unaigwa wewe mbulula! Ukishindwa kuiga ustaarabu wa wengine eti kwa sababu kila mtu anajina lake basi wewe utaitwa "mshenzi"HAmia kenya basi.Kenya na Tanzania ni nchi tofauti zenye majina tofauti na mambo tofauti.Tanzania is not a Copy cat of Kenya