Teh teh teh. Kuangusha serikali kuna linganishwa na kuvunja ndoa au penzi. Na aje huku asaidie kuorganize maandamano. Anasemea mbali
Hatukuandamana wakat tunasaini mikataba ya kipuuzi kuwapa bure madini yetu. Tunataka kuandamana kipindi tunataka kurekebisha mapungufu Yale. Wadanganyika bwana