Uzuri Wa bahati risasi za police wetu huwa hazina macho.tumeshajifunza waandamanaji wakianza day one polisi wanatakiwa wahakikishe hakuna atakayerudi day two kuandamana akiwa mzima au mfu
Kwa hiyo kigezo cha kujiamini hivi ni huo mshahara tu mnaowalipa? Au serikali ndiyo baba yao,mama yao na ndugu yao? Jamani tumieni akili hata hao wanaweza kukataa mishahara yenu na wakawageuka.usiongee kama umekatwa kichwajwtz ujue wapo pia naona unaota polisi tu.
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Revolution inahusika Mkuu?
Kila nchi ina namna yake wengine polisi na jeshi hawasimamii sheria kikamilifu mfano za usalama barabarani kiasi kuwa watu wakiamka tu waweza ingia tu barabarani na kuanza kuandamanaAu hizo nchi nyingine hazina sheria isipokuwa Tanzania tu
Zanzibar kule walikomdhibiti seif na wafuasi wake uchaguzi uliopita,ThubutuTz bara haitaweza kutokea Labda Zanzibar
Maadamano ya amani yanawezekana kabisa kwani ni haki ya kikatiba kufanya maandano ili watu wa wasilishe mawazo yao kwa serikali itambue kuwa kile wanacho wafanyia wananchi sio haki hata kidogo.Zanzibar kule walikomdhibiti seif na wafuasi wake uchaguzi uliopita,Thubutu
Kifungu kipi cha katiba kinachoruhusu maandamano na kimetaja maandamano?Maadamano ya amani yanawezekana kabisa kwani ni haki ya kikatiba kufanya maandano ili watu wa wasilishe mawazo yao kwa serikali itambue kuwa kile wanacho wafanyia wananchi sio haki hata kidogo.
.
Sio mimi ni maandiko.ukimaliza kufikiria kuwa tunawadharau rudi ktk bibria kuna andiko linasema mwanamke naasinene mbele ya wanaume.ukimaliza nitajie jina hata moja la nabii mwanamkeHivi makamu Wa rais Tanzania haongozi watu au yule ni mwanaume? Jamani this is too much kwanini unadharau mama zetu?
Nabii mwanamke alikuwepo mama mmoja anyeitwa DeboraSio mimi ni maandiko.ukimaliza kufikiria kuwa tunawadharau rudi ktk bibria kuna andiko linasema mwanamke naasinene mbele ya wanaume.ukimaliza nitajie jina hata moja la nabii mwanamke
Miliamu Dada yake na Musa pia alikua nabii.Nabii mwanamke alikuwepo mama mmoja anyeitwa Debora
We jitoe ufahamu tu hapa wakati Da Mange wenu amesema yeye ataandamana Washington DC sio hapa bongo. Ameshawageuza maandazi yaliyogoma hamira.Njia ya kwanza kuandamana nikijua nyumba zote za askari zilipo mnaanza kuzitia moto hizo then mnaingia kitaa. Hakuna askari atayeacha familia eti akamlinde mwasiasa.
Mngejua hata hao polisi wanatamani kweli haya yatokee ili huyu mnywa damu aondoke...
Halafu baadae utamsikia mtu kama.mayala kuwa ooh kweli huyu jamaa alikuwa hafai luwa rais n bla bla blaMaandamano huanzishwa na wachache na kisha kuungwa mkono baadae