Wajinga hao hao wachache ndio waliomkimbiza Gaddafi.Hakuwezi kukosekana wajinga wachache. Baadhi yao sasa hivi wapo jela wakati aliyewahamasisha amejificha!
Ndio maana kuna neno “nyumbu”
Wajinga hao hao wachache ndio waliomkimbiza Gaddafi.Hakuwezi kukosekana wajinga wachache. Baadhi yao sasa hivi wapo jela wakati aliyewahamasisha amejificha!
Ndio maana kuna neno “nyumbu”
kwa hiyo umekula loss ya milioni 16 badala ya kufikiria ufanyeje ili loss ipungue unawaza maandamano? Kwa hiyo ukiandamana ndio hiyo loss itaondoka?Acha tu rebeca.unafanya kila jinsi ya kupata ela lakini the harder u try the worse it gets!yaani sumtimes natembea naona km mwili km sio wangu!unaweza kupata kichaa huu mwaka tu nimekula loss karibia mil16.acha tuuu
Mimi sitaandamana. Sitaki kabisa kupigwa virungu.
Wanaposikia mambo kama haya Serikali ya Magufuli tayari wanajitayarisha mkao wa kula, wanajua siku yao ya kunywa damu za raia wasio na hatia iko njiani. Siku hiyo si ajabu tayari wanayo orodha ya Watanzania watakaopoteza maisha na si lazima uwe kwenye hayo maandamano kama tulivyoshuhudia kwa Aquilina.Kama yeye sio mwoga aje Dar kuhamasisha. Tulishaambiwa, akili ya kuambiwa, changanya na yako.
Zaidi ya kuwaua hamna mtakaloweza kufanyaHakuna wa kuuwawa ila watajuta kujaribu kuandamana
Tumeshajifunza waandamanaji wakianza day one polisi wanatakiwa wahakikishe hakuna atakayerudi day two kuandamana akiwa mzima au mfuWaambieni viongozi wetu wajifunze kutoka Libya.
Mambo ya kuchoma kadi hahahahahaaaa.
Nyie endeleeni kubeza wakati fund raising kufanikisha maandamano inaendelea ndani na nje ya nchi.tumeshajifunza waandamanaji wakianza day one polisi wanatakiwa wahakikishe hakuna atakayerudi day two kuandamana akiwa mzima au mfu
Hata mimiSiasa ya nchi hii haiwezi kunifanya niandamane kbs
Mkuu umetishaHaliwezekani hilo jambo ..likitokea ntatembea uchi toka posta hadi kimara