TAHOSA ada yake ni Ths. ngapi? kwa anayejua anijuze

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Nawaombeni mnisaidie, nataka kujua mitihani ya TAHOSA (Tz head of school ass.) inalipiwa shilingi ngapi? Je, kuna tofauti yeyote ya malipo hayo kati ya shule na shule?
 
Mimi sijui kwa kweli, ninachojua ni mipango ya CCM katika harakati za kutokomeza umaskini Tanzania
 
Inategemea na kanda, siyo kati ya shule na shule. Ila kwa kuwa TAHOSSA hawatoi steshenari zote kama bahasha, nk. na pia gharama za usimamizi (supervision & invigilation), baadhi ya shule huongeza senti chache kufidia.
 
Back
Top Bottom