TAHOSA ada yake ni Ths. ngapi? kwa anayejua anijuze


D

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
360
Likes
3
Points
0
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
360 3 0
Nawaombeni mnisaidie, nataka kujua mitihani ya TAHOSA (Tz head of school ass.) inalipiwa shilingi ngapi? Je, kuna tofauti yeyote ya malipo hayo kati ya shule na shule?
 
Mwita25

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,839
Likes
23
Points
0
Mwita25

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,839 23 0
Mimi sijui kwa kweli, ninachojua ni mipango ya CCM katika harakati za kutokomeza umaskini Tanzania
 
Gurta

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
2,249
Likes
63
Points
145
Gurta

Gurta

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
2,249 63 145
Inategemea na kanda, siyo kati ya shule na shule. Ila kwa kuwa TAHOSSA hawatoi steshenari zote kama bahasha, nk. na pia gharama za usimamizi (supervision & invigilation), baadhi ya shule huongeza senti chache kufidia.
 
HOYANGA

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
181
Likes
3
Points
35
HOYANGA

HOYANGA

Senior Member
Joined Jun 9, 2011
181 3 35
mimi sijui kwa kweli, ninachojua ni mipango ya ccm katika harakati za kutokomeza umaskini tanzania
ungenyamaza kimya nalo lingekuwa jibu sahihi zaidi!!!
 

Forum statistics

Threads 1,215,493
Members 463,205
Posts 28,550,557