Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Tukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki
KIVUKO cha kigamboni feri ilisababishwa na boti ndogoo kupita kwa kasi na kuleta mawimbi mazito!wapi sasa??kivuko cha wapi??
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda MoshiTukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
Hata kama ni mara yake kupanda panton hii, Nafikiri kuna vitu unachanganya na kwa mtumiaji wa kivuko hiki kila siku hatoshangaa taarifa iliyotolewa na mdau Jason, ipo ile boti KilimanjaroII kila inapopita huacha wimbi kubwa na kwa panton kama kivukoni basi husukwa sana.
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
Ulifikiri katika feri trafiki husafiha njia kama wanavyowafanyia katika msafara ya mkulu?KIVUKO cha kigamboni feri ilisababishwa na boti ndogoo kupita kwa kasi na kuleta mawimbi mazito!
wewe umeiba avatar yangu bila ruhusa. Mods tazama hii kitu.Pole!!!mie mwoga sana
na hivi ninakumbuka
spice islandes ningeruka
ccm ni pumba kweliItakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
Teheeteheee teheee nilijisahau banaUlifikiri katika feri trafiki husafiha njia kama wanavyowafanyia katika msafara ya mkulu?