Taharuki KIVUKO cha kigamboni feri chataka kupinduka mida hii!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Tukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki
 
hivi hao manahodha wamesoma kweli? kwani hawajui madhara ya boti/fery/meli kupishana kwa karibu?.huwa kuna distance maalumu ......kuna siku pale watakufa watu ........
 
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi

Hata kama ni mara yake kupanda panton hii, Nafikiri kuna vitu unachanganya na kwa mtumiaji wa kivuko hiki kila siku hatoshangaa taarifa iliyotolewa na mdau Jason, ipo ile boti KilimanjaroII kila inapopita huacha wimbi kubwa na kwa panton kama kivukoni basi husukwa sana.
 
Nilikuwa ndo nimevuka toka kigamboni, tulichelewa kidogo kupisha meli kubwa ya makontena ipite, nafkiri ilikuwa kabla ya hapo..
 
Hata kama ni mara yake kupanda panton hii, Nafikiri kuna vitu unachanganya na kwa mtumiaji wa kivuko hiki kila siku hatoshangaa taarifa iliyotolewa na mdau Jason, ipo ile boti KilimanjaroII kila inapopita huacha wimbi kubwa na kwa panton kama kivukoni basi husukwa sana.

Nikweli bwana mweleze huyu mkuu ananipa uraia wa moshi wakati mie mzaramo kabisaa!
 
Back
Top Bottom