Ushauri juu ya kivuko cha Mv Kigamboni

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,609
3,403
Tunapongeza kwa hatua ya ukarabati wa vivuko hivi, angalau hili Mv Magogoni baada ya kukarabatiwa angalau shida inakuja kwa hili Mv Kigamboni. Kwanza dogo unakuta wanaruhusu gari zijae mistari yote pamoja na watu.

Kinachotokea sasa ni watu kuingia kwa msusururu kama siafu huku mkipenya penya mistari ya magari na hapo hapo jua lenu mvua yenu.

Hiki kivuko kidogo angalau katika magari kungekuwa kunabaki laini moja inaingia watu lakini unakuta gari zimejaa top, halafu unasikia dada kwenye ki spika abiria ingieni haraka, haraka hio wanaingiaje ikiwa kupita kwa kupenya.

Kwanini mstari mmoja usibaki wazi ili watu waingie kwa nafasi?
 
Back
Top Bottom