Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 918
Asante mkuu, ila hapo kwenye kulala hapo utakuwa Sio Meditation hapo utakuwa unaitafuta astral projection.Meditation :ni kitendo cha uzingativu wa akili kuwa sehemu moja
Faida za meditation:
1.meditation ina ongeza uwezo wa akili ikiwa inafanywa kila siku
2. Meditation ina ongeza furaha na amani ndani ya nafsi
3.pia meditation endapo ikifanywa kila siku ,inafungua natural power za mtu anaye fanyaa
4. Meditation ina saidia katika mfumo wa upumuaji
5. Meditation ina kupa uwezo wa kuongea na nafsi yako
6.meditation ujianini kuongea mbele za watu ,mfano kwenye mikutano ,siasa,nk.
7. Meditation inakupa nafasi na kuheshimu kila kitu chenye uhai
Mambo ya kuzingatia wakati wa kufanya meditation
1.taafuta sehemu tulivu isiyo na makelele
2.Oga ,vaa nguo nyepesi na zisizo bana,hii inasaidia kuondoa nuwasho kwenye mwili .
3. Imani ya kuwa unaweza kufanya meditation
4. Vuta punzi ndefu na kutoa taratibu hii inakusaidia kuondoa uwoga na kuweza u bongo upate oxygen ya kutosha.
5.Kaa mfumo wa budhaa ,au lala chali,au kaa kwenye stuli hakiki haumii sehemu yoyote 5.legeza misuli na mwili kiujumla
6. Weka akili yako kwenye pumzi inayo ingia na kutoka
7. Hakikisha unafanya meditation ndani muda wa dakika 10 hadi 15
8. Hakikisha usifikilie chochote za ya punziiii
Kulala ni Astra projection kukaa ndio una-meditate