Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,927
Utangulizi na Angalizo: Kuna mengi hatujayafahamu bado na kama tukiyafahamu bila maandalizi yanaweza kutuyumbisha kiimani kama tusipokuwa werevu lakini pia yanaweza kutupa maarifa mapya ambayo tulifichwa ama hatukupata kufundishwa!

---------------------------------

Kuna swali nimeulizwa mara nyingi hapa JF kama ni kila utajiri lazima uhusiane na nguvu za giza!!?
Jibu langu siku zote limekuwa hili Si kila utajiri ni lazima uambatane na nguvu za giza la hasha! Lakini kuulinda huo utajiri ama kuuongeza ni lazima kwa asilimia 100 nguvu za giza zihusike! Utajiri moja kwa moja huvutia nguvu za giza ni kama sumaku mbili zinazoshabihiana!

Mfalme Suleiman anayetajwa kama mtu tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani (kuna Mansa Musa pia) Simulizi zinasema alipata kuongea na Mungu (nadhani kupitia tahajudi) ama vinginevyo! Na kwenye mazungumzo yao inaelekea Mungu alipendezwa na mwenendo wa maisha wa mfalme Suleiman hivyo akamuuliza angetaka nini toka kwake Mungu

Kwa mawazo ya wengi na kwa haraka watu wangetaja utajiri, mali na umaarufu, lakini kwa mshangao mkubwa Mfalme Suleiman hakutaja vyote hivyo bali alimuomba Mungu ampe hekima!

Unajua ni kwanini hakuomba mali/utajiri au umaarufu bali aliomba hekima?

Kwa nafasi yake ya ufalme hakupungukiwa na vyote hivyo, pengine changamoto kubwa ilikuwa ni kuhitaji hekima kwenye himaya kubwa aliyokuwa anaiongoza!

Mwenyezi Mungu akamkubalia ombi lake lakini pia kwa sababu za wazi kabisa akamuongezea na utajiri wa kufa mtu.. Na kumuacha afurahie maisha yake.. Kwahiyo akawa na ziada ya hekima na utajiri usiopimika! Na shughuli ikaanzia hapo!

Sijui ni kukengeuka ama ni unabii lakini Mfalme Suleiman pengine akaingiwa na hofu ya kupoteza utajiri wake aliotunukiwa bila jasho..! Kwenye kitabu cha The lasser key of Solomon (Ufunguo mdogo wa Suleiman) anatajwa kumiliki mapepo 72 ya kuzimu maarufu kama Ars Goetia. Haya mapepo 72 ya kuzimu yalikuwa na nguvu kubwa kiroho na kimwili na yalikuwa yamegawanyika katika sekta mbalimbali kuanzia ulinzi na usalama, elimu, umaarufu, vita, visasi, malipizi, mapenzi, uhai, libido nknk.. Ndani ya haya mapepo 72 kila moja lilikuwa na taasisi yake kamili yenye maroho ya kila aina..! Madude yote haya yalimilikiwa na Mfalme Suleiman kutokana na utajiri wake!

Mapepo haya 72 ya Ars Goetia pia yanatufumbua fumbo kubwa tulilokosa majibu yake kwa muda mrefu kuhusu Mfalme Suleiman kumiliki wanawake 1000, 700 wake wa ndoa na 300 wakiwa ni masuria (nyumba ndogo/michepuko) na wote hao akiwapelekea moto daily na bila kuchoka!

Huyu mzee ndio alituachia haya mapepo ya ngono yanayotutesa sasa hivi maana kwa nguvu za kawaida za binadamu asingeweza kunyandua daily tena sometimes mpaka mara 5 kwa siku kuzidi dozi ya ugonjwa ya kutwa mara 3

Lakini hapa pia tunafundishwa nini?
Pen ye Mungu shetani hakosi,yuko pembeni
Penye kila baraka kuna laana
Penye kila utajiri kuna nguvu za giza
Mungu hutoa yaliyo mema na kuondoka zake, shetani huyafanyia featuring na kuitawala roho iliyobatikiwa

Mungu akishakubariki keshamaliza, upungufu wa ukamilifu wa kibinadamu humchochea mtu kupitia mapepo yale ya Goetia ya kuzimu kutimiza hamu zake za kimwili na ndio hapo shetani huchukua umiliki

Jukumu la Mungu ni kutimiza wajibu wa kubariki na kugawa vipawa.. Baada ya hapo hatahangaika nawe tena! Kwakuwa anatambua fika utatuka urukavyo lakini mwisho wa siku utakata moto! Uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarejea! Hutaishi milele

Mfalme Suleiman pamoja na kumiliki mapepo 72 yenye nguvu sana hayakuweza kumsaidia kumpa uhai wa milele!

Zaidi soma
Post in thread 'Kila baraka ina laana ndani yake' Kila baraka ina laana ndani yake

Nakala ya asili ya Goetia
 
nguvu za giza zipo kwenye utajiri.
ogopa sana mtu kukataaa kutoshiriki.
ndio maana penye riziki hapakosi fitina.we unazani izo fitina ni nini?
kama sio fitina zina beba husda,chuki,roho chafu,tamaa,shiriki na mengine.

ulipotoka kwenu kama una mizimwi au majini imara ya kukupambania uwezi toboa.ndio wengine ujikuta mwisho wa mwaka kurudi kutambika.
wengine ufata dini inavotaka ila hawa fahamu kuwa wanafata kama wengine washirikina mfano kutoa kafara ya kuchinja mifugo,sadaka
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Ila mfalme Suleiman hapo kwa wanawake alitisha Sana, Yaani wake 700 mixer michepuko 300 afu anawapelekea Moto wote🤔🤔
 
Utangulizi na Angalizo: Kuna mengi hatujayafahamu bado na kama tukiyafahamu bila maandalizi yanaweza kutuyumbisha kiimani kama tusipokuwa werevu lakini pia yanaweza kutupa maarifa mapya ambayo tulifichwa ama hatukupata kufundishwa!

---------------------------------

Kuna swali nimeulizwa mara nyingi hapa JF kama ni kila utajiri lazima uhusiane na nguvu za giza!!?
Jibu langu siku zote limekuwa hili Si kila utajiri ni lazima uambatane na nguvu za giza la hasha! Lakini kuulinda huo utajiri ama kuuongeza ni lazima kwa asilimia 100 nguvu za giza zihusike! Utajiri moja kwa moja huvutia nguvu za giza ni kama sumaku mbili zinazoshabihiana!

Mfalme Suleiman anayetajwa kama mtu tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani (kuna Mansa Musa pia) Simulizi zinasema alipata kuongea na Mungu (nadhani kupitia tahajudi) ama vinginevyo! Na kwenye mazungumzo yao inaelekea Mungu alipendezwa na mwenendo wa maisha wa mfalme Suleiman hivyo akamuuliza angetaka nini toka kwake Mungu

Kwa mawazo ya wengi na kwa haraka watu wangetaja utajiri, mali na umaarufu, lakini kwa mshangao mkubwa Mfalme Suleiman hakutaja vyote hivyo bali alimuomba Mungu ampe hekima!

Unajua ni kwanini hakuomba mali/utajiri au umaarufu bali aliomba hekima?

Kwa nafasi yake ya ufalme hakupungukiwa na vyote hivyo, pengine changamoto kubwa ilikuwa ni kuhitaji hekima kwenye himaya kubwa aliyokuwa anaiongoza!

Mwenyezi Mungu akamkubalia ombi lake lakini pia kwa sababu za wazi kabisa akamuongezea na utajiri wa kufa mtu.. Na kumuacha afurahie maisha yake.. Kwahiyo akawa na ziada ya hekima na utajiri usiopimika! Na shughuli ikaanzia hapo!

Sijui ni kukengeuka ama ni unabii lakini Mfalme Suleiman pengine akaingiwa na hofu ya kupoteza utajiri wake aliotunukiwa bila jasho..! Kwenye kitabu cha The lasser key of Solomon (Ufunguo mdogo wa Suleiman) anatajwa kumiliki mapepo 72 ya kuzimu maarufu kama Ars Goetia. Haya mapepo 72 ya kuzimu yalikuwa na nguvu kubwa kiroho na kimwili na yalikuwa yamegawanyika katika sekta mbalimbali kuanzia ulinzi na usalama, elimu, umaarufu, vita, visasi, malipizi, mapenzi, uhai, libido nknk.. Ndani ya haya mapepo 72 kila moja lilikuwa na taasisi yake kamili yenye maroho ya kila aina..! Madude yote haya yalimilikiwa na Mfalme Suleiman kutokana na utajiri wake!

Mapepo haya 72 ya Ars Goetia pia yanatufumbua fumbo kubwa tulilokosa majibu yake kwa muda mrefu kuhusu Mfalme Suleiman kumiliki wanawake 1000, 700 wake wa ndoa na 300 wakiwa ni masuria (nyumba ndogo/michepuko) na wote hao akiwapelekea moto daily na bila kuchoka!

Huyu mzee ndio alituachia haya mapepo ya ngono yanayotutesa sasa hivi maana kwa nguvu za kawaida za binadamu asingeweza kunyandua daily tena sometimes mpaka mara 5 kwa siku kuzidi dozi ya ugonjwa ya kutwa mara 3

Lakini hapa pia tunafundishwa nini?
Pen ye Mungu shetani hakosi,yuko pembeni
Penye kila baraka kuna laana
Penye kila utajiri kuna nguvu za giza
Mungu hutoa yaliyo mema na kuondoka zake, shetani huyafanyia featuring na kuitawala roho iliyobatikiwa

Mungu akishakubariki keshamaliza, upungufu wa ukamilifu wa kibinadamu humchochea mtu kupitia mapepo yale ya Goetia ya kuzimu kutimiza hamu zake za kimwili na ndio hapo shetani huchukua umiliki

Jukumu la Mungu ni kutimiza wajibu wa kubariki na kugawa vipawa.. Baada ya hapo hatahangaika nawe tena! Kwakuwa anatambua fika utatuka urukavyo lakini mwisho wa siku utakata moto! Uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarejea! Hutaishi milele

Mfalme Suleiman pamoja na kumiliki mapepo 72 yenye nguvu sana hayakuweza kumsaidia kumpa uhai wa milele!

Zaidi soma
Post in thread 'Kila baraka ina laana ndani yake' Kila baraka ina laana ndani yake

Nakala ya asili ya Goetia
Ziko Principle za Maisha!

Huhitaji Nguvu yoyote kulinda utajiri!

Isipokuwa ziko Energies ambazo zinatengeneza inflow na outflow ya pesa!

Kutoa pesa kwenye maeneo yenye UHITAJI yanasababisha INFLOW ENERGIES KUSABABISHWA!

Hata wanaopokea wanajenga kitu kinaitwa Wish Well kwa mtoaji!

Mguso wa Roho zenye uhitaji ni ulinzi wa Utajiri.

Kuhusu Mfalme Suleiman kuwa na Majini ni kwa Sababu alijichanganya kwenye kuoa!

Wanawake wa Misri walikuwa na Miungu yao..walikuwa Washirikina...lakini walikuwa pia Wazuri sana!!

Hao walimlazimisha Mfalme kutambika na kutekeleza mambo yao ya kichawi...ndo maana akaingia kwenye hizo Mambo!

By the way
Definition ya Utajiri ni ngumu kuelezea kwa Sababu utajiri ni Appreciation..

Au FURAHA PIA NI NGUMU ku-generelize!

Maria Tereza wa Calcuta ni Mwanamke Mtawa ambaye alikuwa Tajiri wa Kutoa ...

Mahitaji ya wenye Shida ilipitia mikononi mwake kwa Mabilioni...

Lakini mwisho wa yote alikuwa anagawa yote kwa Masikini!

Ni TAJIRI WA KUTOA!

KWA HIVO NI VEMA Kujifunza PRINCIPLES ZA MAISHA...

NGUVU ZA GIZA NI KIVULI CHA UONGO!

Na mwisho unajikuta kuwa Mtumwa wa Tunguri!

Dont buy that!
 
Utangulizi na Angalizo: Kuna mengi hatujayafahamu bado na kama tukiyafahamu bila maandalizi yanaweza kutuyumbisha kiimani kama tusipokuwa werevu lakini pia yanaweza kutupa maarifa mapya ambayo tulifichwa ama hatukupata kufundishwa!

Nakala ya asili ya Goetia
Hii ni kweli nimepitia huko...kila mtu anasiri zake za kujitafutia ridhiki..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom