ahaaaa...eti unazama bila nywila (password)Watu humu mnamiliki mafafu mujarab kabisa....
Yaani unazama bafuni bila nywila....
Duuuuh!!! hatariiiii
ahaaaa...eti unazama bila nywila (password)
ha ha ha ha haaaaa utaumia ukizama bila nywila!!Watu humu mnamiliki mabafu mujarab kabisa....
Yaani unazama bafuni bila nywila....
Mkuu.....ha ha ha ha haaaaa utaumia ukizama bila nywila!!
mshana jr hilo sambwanda LA shushushu VIP unateleza nalo kwenye bafu LA hoteli gani muda huu wa kazi