Piga tena huenda alikuwa bafuni πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† Pole jikaze.

Piga tena huenda alikuwa bafuni πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† Pole jikaze.

Kuna dem kamekuja hapa nilikopanga
Tumeanza mazoea mara kanataka
Wi fi, nikakaunga, tuka exchange namba, nikajua hapa nimeshajiopolea manz, saa moja hii napishana na manz anatoka getini kwenda kukutana na jamaa sasa sielewi. Hata kutuma txt naona michosho tu.
Badilisha password ya wifi mana unaona wivu
 
Daaah tulimwambia lkn akakaza fuvu amekuja analia sana kama amechanganyikiwa
Kumbe mshenz anatumia dawa za kulevya na shisha

Alikula mbata za kufa mtu bahat yake polis walikuja chap wakamtoa
Lakn zengwe halikuisha lipo sanaa
 
Back
Top Bottom