Mikoa ya Ukanda wa Pwani kwa chumaulete hawajambo!

Elon J

JF-Expert Member
Sep 30, 2022
630
1,846
Chumaulete kwa mikoa mingi ya Ukanda wa Pwani ni kama pension kwa wazee! Sijui ni kwasababu ya uvivu, kutopenda kujishughulisha na kazi especially kwa wanzee japo kuna hata vijana nao wana hizi tabia.

Yaani usiombee ufungue biashara kwenye hii mikoa mfano Dar (pembezon mwa mji) ambapo wenyeji wa Pwani bado wapo, utalia! Nilishashuhudia Mzee mmoja kanasa kwenye genge la mtu, inaonekana yule mwenye genge aliweka zindiko kwenye biashara yke, yule Mzee aliongea yote mpaka mganga wake aliyempa huo upuunzi!

Kwa mkoa wa Tanga nako ndiko usiseme, mfano maeneo ya Handeni huku chumaulete waziwazi. Unakuta kabisa Mzee anakuja dukani mkono mmoja ankuna au kauingiza kwenye makalio😳, hapo ukichukua hela yake ukachanganya na zako imekula kwako! Yaani ni heri umpe bure anachohitaji.

Ni mara chache sana kukutana na hivi vibweka katika mikoa ya Bara. Naona shida kubwa kwenye hii mikoa ya Pwani ni uvivu, hivyo mtu akishaaza kuzeeka tu anaona chumaulete kama pension yake!
 
Hizo stori utazisikia kwa watu tuu.

Sitakaa kuziamini na naona ni kwa ajili ya watu wenye upeo mdogo.

Watu wanatumia hela rafu wengine wanadokoa hela wanasingizia chuma ulete.
 
Chumaulete Kwa MIKOA mingi ya UKANDA WA pwani ni kama pension Kwa wazee! Sijui ni kwasababu ya uvivu kutopenda kujishughulisha na kazi especially Kwa wanzee japo kuna hata vijana nao wana hizi tabia.

Yani usiombee ufungue biashara kwenye hii MIKOA mfano dar (pembezon mwa mji)ambapo wenyeji wa pwani Bado wapo Utalia.! Nilishashuhudia Mzee mmoja kanasa kwenye genge la mtu inaonekana yule mwenye genge aliweka zindiko kwenye biashara yke, yule Mzee aliongea yote mpaka mganga wake aliyempa huo upuunzi..!

Kwa mkoa wa Tanga Nako Ndiko usiseme mfano maeneo ya handeni yaani huku chumaulete waziwazi,unakuta kabisa Mzee anakuja dukani mkono mmoja akuna au kauingiza mat*koni hapo ukichukua Hela yake ukachanganya na zako imekula kwako.! Yani ni Heri umpe Bure anachohitaji.

Ni mara chache sana kukutana na hivi vibweka katika MIKOA ya bara. Naona shida kubwa kwenye hii mikoa ya pwani ni uvivu hivo mtu akishaaza kuzeeka tu anaona chumaulete kama pension yake.!
Si afadhal huko wanachukua pesa

Nilienda kulima mpunga

wakat mpunga umenoga nauvutia kasi nivune likawa linakuja lundo la ndege

Ktk eneo lile kuna mashamba mengi lkn ndege wote wakawa wanatua shamban kwangu

Ktk hekar tano Mzee mzima nikaambulia gunia 2 za mpunga tu
 
NI KWELI NI HAKIKA, NA WOTE HAWA WAUMINI WA DINI YA HAKI DUNIANI.

NIMEMALIZA!
 
Hizo stori utazisikia kwa watu tuu.

Sitakaa kuziamini na naona ni kwa ajili ya watu wenye upeo mdogo.

Watu wanatumia hela rafu wengine wanadokoa hela wanasingizia chuma ulete.
Hujakutana nayo😂
 
Si afadhal huko wanachukua pesa

Nilienda kulima mpunga

wakat mpunga umenoga nauvutia kasi nivune likawa linakuja lundo la ndege

Ktk eneo lile kuna mashamba mengi lkn ndege wote wakawa wanatua shamban kwangu

Ktk hekar tano Mzee mzima nikaambulia gunia 2 za mpunga tu
Wap hyo😂😂😂
 
Hatari sana mzee
 
Hizo stori utazisikia kwa watu tuu.

Sitakaa kuziamini na naona ni kwa ajili ya watu wenye upeo mdogo.

Watu wanatumia hela rafu wengine wanadokoa hela wanasingizia chuma ulete.
Weeee ahhh nyamaza kimya Mkuu jambo kama hulijui usibishe hiyo kitu IPO kabisa......wewe ndo una upeo mdogo tembea ongea na watu upate exposure Mkuu...chumaulete IPO.
 
Weeee ahhh nyamaza kimya Mkuu jambo kama hulijui usibishe hiyo kitu IPO kabisa......wewe ndo una upeo mdogo tembea ongea na watu upate exposure Mkuu...chumaulete IPO.
Hajawahi kufanya biashara maeneo yenye haya mambo huyo.
 
Si afadhal huko wanachukua pesa

Nilienda kulima mpunga

wakat mpunga umenoga nauvutia kasi nivune likawa linakuja lundo la ndege

Ktk eneo lile kuna mashamba mengi lkn ndege wote wakawa wanatua shamban kwangu

Ktk hekar tano Mzee mzima nikaambulia gunia 2 za mpunga tu
😅 ulivuniwa mkuu
 
watu wasio na nidhamu ya matumizi ya pesa ndio wahanga wa hiki kinachoitwa CHUMA ULETE.

Ni zaidi ya miaka 20 nafanya biashara ukanda huu wa pwani na sijawahi kukutana na hayo mambo na sitegemei kukutana nayo.
 
Weeee ahhh nyamaza kimya Mkuu jambo kama hulijui usibishe hiyo kitu IPO kabisa......wewe ndo una upeo mdogo tembea ongea na watu upate exposure Mkuu...chumaulete IPO.
Africa hatuendelei kwa kubaki na imani za kidhania.
Ili tupige hatua tunahitaji Physical sio mambo ya kiiman imani tu.

Hivyo vitisho viko sana. Eti hoo hujakutana nayo sijui omba yasikukute ila narudia tena CHUMA ULETE NI KWAAJILI YA WATU WENYE UPEO MDOGO.

Zingekuwepo tusingehangaika na haya maisha katika utafutaji, watu wengi wangegeukia upande huo.

Chaajabu wenye kuziongelea hizo mada ni watu maisha ya kawaida na ya chini sana.

Ukiona mtu anasema kapatwa na chuma ulete mshauri atumie hela zake vizuri na alinde wadokozi aliokuwa nao ndani
 
Back
Top Bottom