Tahadhari ukiwa unakuja Tarime

Naomba kujua pigo za mashoga wa tarime

Tarime kama nyumbani
Me huo ubabe sijawahi kuona
Nakula bia nyingi hapo Tarime na Surprise hadi usiku wa manane ni amani tu

Marafiki zangu akina Mwikabe, Chacha, Mwita oya nakuja tenq
Ni ngumu sana mkurya kukuletea fujo/ubabe/ukorofi bila sababu usipomchokoza, ni ngumu sana. Atakuheshim zaidi
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kuna mkuria mwenzako aliniletea ukorofi wa kishamba nikamtembezea kichapo akakimbilia nyumbani kufata panga alivyorudi nikamuonyeshea Glock 19 Gen 5 akatoka nduki tena.
Analeta vita za kizamani wakati watu wanatembea na hapa ipoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…