Tahadhari tusiyoizingatia

Huyu amenusurika kwa bahati tuuu
 
nmejifunza jambo.mwaka 2013 nlikua dar kwenye harusi ya mtoto wa dada angu,kabla ya harusi.yan kuamkia jmosi nlipata ajali ya daladala maeneo ya kigogo darajani, nikielekea magomeni mikumi toka mbagala,gari yetu iligongwa kwa nyuma na fuso.wale waliokua ktk fuso waliumia sana,sikukaa eneo LA ajali nliondoka pale wale watu wakiendelea kunasuliwa ktk gari maana walibanwa miguu.baada ya harusi kesho yke nlisafiri mpk Gairo,nyumbani.na nlikua na safari ya kuelekea kondoa .basi nlikaa kwa siku 2nkawataarifu wazazi juu ya safari yangu.na nlikua naunganisha mpk Mwanza,wazazi hasa mama alinisisitiza sana nipumzike zaidi kwa siku kadhaa,lkn mm nlishikilia msimamo wangu.basi akaniruhusu kwa shida kdg,usiku wa kuamkia safari nliota mdogo za kutisha sn,Mara nakimbizwa na mbwa,Mara mnyama wa kutisha nakutana nae porini.Mara MTU ananifukuza akiwa kashika kisu au panga.kiufupi ckulala vzr.kesho asbh badala ya kuamka mapema SAA kumi na mbili. nliamka SAA 3 kitu ambacho haikua kawaida yangu KBS napopanga safari.nliendelea kulazimisha safari kwenda stand basi LA kwanza likanipita,nakasubiri SNA mpk SAA 8 ndo nkapanda gari LA pili,basi kilikua na hitilafu a matengenezo ya hapa na pale tulipokua njian,na kilikua limejaa sn.tulifika eneo moja linaitwa kelema .kuna miteremko na vidaraja vingi,na ilikua usiku tyr.basi mteremkoni pale gari ilikata break ikawa vilio na sala watu wakiwa na hofu.mm mda huo nkawa a nakumbuka zile ndoto na kauli ya mzazi...gari iligonga daraja halikuanguka alifariki mwanamke mmoja na majeruhi kadhaa.toka hapo nkajifunza kuhusu hii tahadhari tusioizingatia namna inavoeza kutuepusha na hatari mbali mbali.
 
Kama walifanyiwa fitina na roho zao hazikuridhia na zikageuka mizimu , zinaweza kuja kuwa au pengine tayari roho za malipizi

Mshana ngoja niulize.. Mara nyingi mm nikimuotea mtu ndoto huwa ukweli 100%. Kuna binti mmoja nilisoma nae na kipindi tukiwa chuo alikua mjamzito. Nakumbuka usiku mmoja nikaota kuwa kajifungua mtoto wa kike na tukiwa huko ndotoni akawa ananiambia mwenzio nimejifungua mtoto wa kike. Nilipoamka asbh nikamuuliza jirani yangu tuliokua tunaishi vyumba vya karibu kama mtu fulani kajifungua? Yule jirani yangu akaniambia ndio huyo dada kajifungua usiku wa kuamkia leo na kajifungua mtoto wa kike... Nilipigwa na butwaa nikamsimulia huyu jirani yangu nimeota usiku wa leo kuwa huyu dada kajifungua na kweli usiku huohuo wakat mm naota yy alikua labour huko anajifungua. Yule jirani alishangaa akaniambia nisiwe nasema kwa watu nikiwaotea ndoto kama huwa zinatokea kweli.
 
Ilikuwa ni ndoto taarifa hutokea katika maisha kama huyo mtu mna ukaribu
 
Mmh tahadhari zote hizo ulikuwa hujui kwamba kuna kitu unaepushiwa? Lakini pia umegundua kuwa pamoja na balaa kukuandama kuna wakati kuna nguvu inakukinga na kukuepusha
 
Siku zote unapaswa kuwa mtu wa kutuliza akili na kupata utulivu ili kuweza kuwa active ktk kupata tahadhari hizi (machale).
 
Siku zote unapaswa kuwa mtu wa kutuliza akili na kupata utulivu ili kuweza kuwa active ktk kupata tahadhari hizi (machale).
Utulivu wa akili huleta ung'amuzi mwingi tuu..huleta ung'amuzi hata wa mambo ya kiroho na yale yaliyoshindikana suluhu
 
Utulivu wa akili huleta ung'amuzi mwingi tuu..huleta ung'amuzi hata wa mambo ya kiroho na yale yaliyoshindikana suluhu
Hakika.
Baadhi ya watumishi wa Mungu hupenda kujifungia majumbani kwao hata mwezi au zaidi.
Mnaweza dhani kasafiri ila baadae anaibuka akidai alikua kweny maombi.

Hapo ndipo hung'amua mambo ya pekee.
 
Ngoja nitoke kwanza kwenye huu uzi kwanza mpaka kesho maana umenikumbusha story ya mshikaji wangu ambaye hatuko nae kwa sasa[emoji32]
 
tulianza kusahau kabisa hili tukio .tumeona jina la mjomba wetu hapo tumelia sana mungu awaweke mahali pepa amina,nitawaletea habari zaidi ya tukio hili
 
Aaaamen na Asanteni sana...sifa njema ni hitaji muhimu la binadamu, na hakuna akasirikaye asifiwapo kwa uzuri...nafarijika kwa compliments zenu..!!!sitawaangusha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umekosea kutumia hilo la MWISHO, lina nasaba na sterling wetu.
 
Umekosea kutumia hilo la MWISHO, lina nasaba na sterling wetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila lina tofauti kati ya watamkaji mimi namaanisha yeye mmh [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…