Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

"Ninavyoandika usiku huu wamesambazwa maeneo yote ya pwani ili kuzuia wanaoingiza kwa magendo tokea zanzibar kwa majahazi."

Kwani hii inaruhusiwa kisheria? Magendo ni kosa kisheria?


Cc: mahondaw

Bara tukiwa na uhaba wa mafuta ya kula tunaagiza zanzibar kwa kutumia majahazi, kuna ambao walishaagiza mzigo ulikuwa majini unakuja kwa hiyo TRA wanachofanya ni kukamata mzigo wote na kwa kuwa majahazi hayana bandari maalum TRA wanachofanya ni kusambaa pwani zote kuhakikisha hakuna kinachoingia sokoni.
 
Sasa hivi ukienda dukani kupima mafuta, kipimio kilikuwa tsh mia mwezi uliopita sasa hivi 200 duu maisha yamepanda kweli kweli
Fanya kazi wewe acha kulalamika maisha no mnyororo wa kutegemeana ukiwa fundi wa baiskeli utasaidia mkulima wa alizeti kubeba mizigo yake vizuri na kufikisha mazao yake kwa wakati kwenye mashine ya kukamulia mafuta na kusaidia kupunguza upungufu wa mafuta nchini

Huo ni mfano tu
 
Mimi niliamua kufunga duka kila siku kodi mpya bora niwe boda boda ama niuze genge
 
Sasa nimeelewa wakubwa wanataka kuagiza kwa pamoja eeh?!!!
 
Nimepata taarifa muda huu kwa Dar lita 20 inauzwa kwa 680000 na hayapatikani kirahisi. Eh Mungu tunusuru.
Bila shaka Ulikuwa unamaanisha 68000 mkuu na huku kwetu 70000sh. HAPA KAZI TU
 
Alafu kuna jitu linajigamba huko iringa "tumedhibitu inflesheni". Lile zee litakua chawi sio bure
Yule msamehe bure anatress naskia analala kwa kumeza vidonge vya usingizi,mpka 2020 lazma atage mayai ya kobe
 
TRA, TBS na Mkemia bado wanavutana
TRA wanataka 25pc kama kodi, mwenye mzigo anasema kodi ni 10pc
Bandari wanataka chao kila siku
 
Hacha kulia lia lipa kodi, wewe unataka kuingiza mafuta bure?
 
Back
Top Bottom