Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Kikombe cha al kasusuNi take away na kina mikono ya kushikiaView attachment 1332649

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna kitu hujanielewa bado,sizungumzii aina ya vikombe hasha mimi namzungumzia huyu anayetoa huduma akitumia hiki kikombe,akiwa anataka kumpimia mteja wake anavishika vyote kwa mikono yake anachomoa kimoja sasa huu mkono anaoutumia kufanya hii kazi mpaka chupa tatu ziishe na hana maji ya kujiswafi mikono yake in case akakutana na situation iliyo nje ya kazi yake ndo nilipokazia hoja yangu.

Anakutana na mtu wanaefahamiana wanasalimiana kwa kushikana mikono je huu mkono ulioongezeka hapo usafi wake uko vipi?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hapo nimekupata

Asee kama hujaoa usinywe mzee mana ni booster kubwa sana kwenye kusex. Kama ulikuwa umezoea kupiga bao 1 au 2 na kulala au uume kusinyaa ukipiga hiyo unaweza kupiga hata 5 bila kupumzika...amini nakwambia. Mpaka nahisi itakuwa na madhara tu

Sent using Jamii Forums mobile app
...🙄🙄🙄 Kweli mkuu?
 
Wanavaa kanzu kuonekana kinywaji chao kinauhakika sio watu wazuri na wengine hawasali ukimwambia auze kavaa suruali hapati wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muislamu ana nguvu za kiume kuliko mkristo.muislamu kwa kuwa ana nguvu za kiume mungu kamwambia ana ruhusa ya kuoa wanawake 4 na utaona wanawake 4 wametulia nyumbani. Haki zao za kindoa wanapata.lakini mkristo mke mmoja anamshindwa huyo mkewe ukitongoza unachukia kirahisi
Umewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo? Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo. Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya watu nimewauliza wanasema wanahisi wanachanganya na unga wa viagra ili kupata wateja.viagra imeua watu wengi sana na wengine ni wagonjwa wa moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani si nilisoma hapo mwanzo Viagra zilitmika kutibu moyo iweje sasa ziwe adui wa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tu wawawekee mana mmezidi kula vyakula vinavyomaliza nguvu zenu huku mkijiaminisha kuwa yapo madawa ambayo ndio suluhisho kwani mlianza na mavumbi ya Kongo sasa mnahamia kwenye alkasusi. lol.

Tulieni dawa iwaingie.
 
Back
Top Bottom