google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Kwa kweli ni mtambuka
Jinsi ulivyopokea tu maandishi yangu. Hakuna hata ukali hapo. 😂😂[emoji23][emoji23]
Mbona harsh hivyo
Ila Dsm, ukisikia kitu kinaongeza nguvu bhasi lazma kiuze tofauti kabisaa na mikoani.
Labda Al kasus Mpya ila Kasus I know Ni dawa Ya tumbo, Nilikuwa nasumbuliwa Na tumbo Kujaa Gas, Uchovu, Rafiki Yangu mwarabu Akaniambia niwe natumia , Ni mda mrefu natumia Sijawahi ona effect zake Huku down , Labda hiyo mpya wanayochanganya na Viagra kama Mtoa mada alivodai 🙏![]()
Ooh. Hakuna shida Mkuu. Lakini kama mimi kote ninakoona hili jina wanasema ni dawa ya nguvu za kiume.Labda Al kasus Mpya ila Kasus I know Ni dawa Ya tumbo, Nilikuwa nasumbuliwa Na tumbo Kujaa Gas, Uchovu, Rafiki Yangu mwarabu Akaniambia niwe natumia , Ni mda mrefu natumia Sijawahi ona effect zake Huku down , Labda hiyo mpya wanayochanganya na Viagra kama Mtoa mada alivodai 🙏
Kweli kabisa ni muda wa kurudi maabara asemkuu kila kiancho anzishwa kuzalishwa lazima kuhusishwe na nguvu za kiume huoni fursa hapo
Itakuwa mixed Siyo pure hiyo.Ooh. Hakuna shida Mkuu. Lakini kama mimi kote ninakoona hili jina wanasema ni dawa ya nguvu za kiume.
![]()
Nauza Unga wa Alkasusu
Karibu ujipatie unga wa ALKASUSU Kwa bei ya 8000 Kwa pakiti ya gramu 250. Napatikana Dar es Salaam Mawasiliano 0767941735www.jamiiforums.com
Ndio maana biashara ya pweza haitokaa iishiwe soko DSM. Hata alkasusu ni upepo, utapita tuuJinsi ulivyopokea tu maandishi yangu. Hakuna hata ukali hapo. [emoji23][emoji23]
Yaani. Na ndio sababu ukipita baadhi ya maeneo kuna mabango kibao ya wafanyabiashara wakitangaza dawa zao.
Sawa mkuu
...🙄🙄🙄 hii ni zaidi ya hatari.Jihadharini.kuna baadhi ya watu nimewauliza wanasema wanahisi wanachanganya na unga wa viagra ili kupata wateja. Viagra imeua watu wengi sana na wengine ni wagonjwa wa moyo.
Umeonae. Hatari sana ndugu.Pole yao
Katika kutatua matatizo ya wanadamu wengi wako bize kutibu bila kutafuta chanzo cha tatizo
Kwa mfano nguvu za kiume huwa hazitibiwi na hizo wanazo ita dawa ila zinatibiwa kwa kujua kwanin huna nguvu hizo
Oooh. Sawa Mkuu.Itakuwa mixed Siyo pure hiyo ,
Hakika!! Ila tutafika tu Mkuu wangu.Ndio maana biashara ya pweza haitokaa iishiwe soko DSM. Hata alkasusu ni upepo, utapita tuu
ila ndio dunia na majabu yakeUmeonae. Hatari sana ndugu.
Yah na kila penye fursa lazima pachangamkiwe ndugu.ila ndio dunia na majabu yake
Ni kweli najua nawe utakuja na bidhaa ya kibunifu kuchangamkia hii fursaYah na kila penye fursa lazima pachangamkiwe ndugu.
Hahaha. Lol. Ngoja siku zisogee sogee 😜nitakutafuta ndugu yangu tuunde Kamati ya namna tunaeza kuja na kumpindua huyu kasusu.Ni kweli najua nawe utakuja na bidhaa ya kibunifu kuchangamkia hii fursa
Hahahah mi nitakuwa meneja mauzo na manunuzi maana najua we utakuwa mkurugeziHahaha. Lol. Ngoja siku zisogee sogee [emoji12]nitakutafuta ndugu yangu tuunde Kamati ya namna tunaeza kuja na kumpindua huyu kasusu.
Unajua tena wanasemaga tuchangamke fursa.