bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Kamanda Simon Siro
Wazo zuri sana hili...tuuweke uozo wao wote wa polisi na matukio yao ya rushwa na ukiukwaji maadili kwa nchi nzima..hii itasaidia sana..moderators wazo hilo hapo,.Tuanzisheni thread hapa jamvini inayo husu polisi na kazi zao jinsi wanavyo tuhudumia. Tueleze mabaya yote tunayo yapata toka kwao na hata mazuri. Tuweke wazi ni kituo gani, na polisi gani, jina ikiwezekana. Hili linaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwenye ngazi za juu. Na sisi wananchi tukaelimishana kujua haki zetu na pia kuelimishana pale tunapokua na makosa.
Wazo zuri sana hili...tuuweke uozo wao wote wa polisi na matukio yao ya rushwa na ukiukwaji maadili kwa nchi nzima..hii itasaidia sana..moderators wazo hilo hapo,.
Iwe hivyo mkuu maana hamna namna tena tumewachoka polisi wetu. Na sio eti sababu ya malipo/mshahara kidogo-HAPANA- ni hulka tu ya polisi wetu kupenda vya kunyonga.. Nimeishi majuu polisi wa kule sio kwamba eti wana mishahara mikuubwa , ni sawa tu na ya wabeba mabox wengine lakini hukuti wakidai rushwa au kupindisha maadili.Jeshi la polisi bongo linahitaji mabadiliko makubwa sana..NI JIPU SUGU.Na pia ikiwezekana hizi tread iwe kwa mikoa ili iwe rahisi zaidi kufuatilia. Kila mkoa ukiwa na thread yake labda wahusika wa juu wa mikoa wataweza kufuatilia kiurahisi na wananchi wa mikoa husika kujua kinacho endeleana.
Kwa kweli tumesha choka na hao polisi na huduma Yao mbovu.
Mkuu umetoa point ya muhimu sana, polisi ni tatizo kubwa sana hapa Bongo. Mwenyew yalishanifika kama ya mtoa mada. Kila njia ninayojaribu ninayoona kama itafaa kuwatia watuhumiwa wangu ndani ninakutana na vikwazo vya hao hao polisi. Kuna mda nilikua ninajiuliza mwenyewe kua, hawa watu wana matatizo gani?? sababu kuna mambo mengine ni ya kutumia akili kidogo tu., ila wao ni kama hawapo.Tuanzisheni thread hapa jamvini inayo husu polisi na kazi zao jinsi wanavyo tuhudumia. Tueleze mabaya yote tunayo yapata toka kwao na hata mazuri. Tuweke wazi ni kituo gani, na polisi gani, jina ikiwezekana. Hili linaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwenye ngazi za juu. Na sisi wananchi tukaelimishana kujua haki zetu na pia kuelimishana pale tunapokua na makosa.
alafu muda mwingine wanaomba ela ya mafuta wakamkamate mwizipolisi wa Tanzania hawana msaada na raia pale mtu anaporipoti tatizo lake na anahitaji msaada.
mimi nilikua na ishu ya kuibiwa nikapata hadi na namba za wezi na mpaka maeneo wanayoishi ila sikupata maaada wa kuwakamata mpaka niliamua kuingia front mwenyewe na kuwapeleka kituoni.ilikua ni polisi chang'ombe.
Polisi ni jipu..weka RB namba na kituo hapa.
Hivi polisi wanavyosumbua hivyo wanataka tuwaeleweje?Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.
Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.
Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
Mhhhhhhh!!!!????pole mkuu waliotaka kuiba ni vibaka ukaenda kutoa taharifa kwa majambazi huwezi pata msaada tunashukuru kwa taharifa.
Tuanzisheni thread hapa jamvini inayo husu polisi na kazi zao jinsi wanavyo tuhudumia. Tueleze mabaya yote tunayo yapata toka kwao na hata mazuri. Tuweke wazi ni kituo gani, na polisi gani, jina ikiwezekana. Hili linaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwenye ngazi za juu. Na sisi wananchi tukaelimishana kujua haki zetu na pia kuelimishana pale tunapokua na makosa.
kwel kabsaTuanzisheni thread hapa jamvini inayo husu polisi na kazi zao jinsi wanavyo tuhudumia. Tueleze mabaya yote tunayo yapata toka kwao na hata mazuri. Tuweke wazi ni kituo gani, na polisi gani, jina ikiwezekana. Hili linaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwenye ngazi za juu. Na sisi wananchi tukaelimishana kujua haki zetu na pia kuelimishana pale tunapokua na makosa.