Tahadhari na gari toyota rav 4 T129DEZ

Tahadhari na gari toyota rav 4 T129DEZ

Tunapongeza juhud za kutoa elimu bure toka darasa la 1 mpaka form 4
 
Kesi kama iyo ukiwapelekea hao jamaa utapoteza muda wako mana hamna litakalofanyika hapo zaidi ya kupotezewa muda sjui labda awamu hii ya tano labda wanawezalichukulia serious ili jambo limetesa wengi sana
 
Mdogo wangu alitapeliwa kuuziwa gari pale Mlimani City, kesho yake wakagundua kuwa ile kadi ya gari ni magumashi, yeye na weenzie pamoja na Polisi wakaweka mtego na kuwanasa wote pamoja na gari wakapelekwa Central Police, washtakiwa walifanikiwa kuvinjari mahabusu siku chache then wakapewa dhamana wakaishia zao na gari/ushahidi waliondoka nao mpaka leo bila hata kufikishwa mahakamani
 
Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.

Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.

Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
Ungetueleza ni mkoa gan au mahal gan tukio limetokea
 
Kazi ya polisi wetu ni kuwadhibit ukawa tu basi,angalia mtukio ya ajali za barabarani kwa mwaka yanayopelekea vifo halafu angalia hatua zilizochukuliwa, zero kabisa.
 
Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.

Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.

Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
Pole
 
Pole sana. Hao jamaa ni wajanja sana wanaweza wakaweka namba za bandia pole sana
 
Huku Goba usipoibiwa ndio tunakushangaa
 
Hivi Mkuu file litapoteaje hapo kituoni hebu tuanzie hapo kwanza....
 
Hii ya polisi kutofanya kazi zao kwa usahihi.inapelekea watu kuchukua sheria mikononi kwa wahalifu.
 
Mdogo wangu alitapeliwa kuuziwa gari pale Mlimani City, kesho yake wakagundua kuwa ile kadi ya gari ni magumashi, yeye na weenzie pamoja na Polisi wakaweka mtego na kuwanasa wote pamoja na gari wakapelekwa Central Police, washtakiwa walifanikiwa kuvinjari mahabusu siku chache then wakapewa dhamana wakaishia zao na gari/ushahidi waliondoka nao mpaka leo bila hata kufikishwa mahakamani
Huyo aliamua kujitapeli mwenyewe, alinunua gari kama ananunua mkate. Iweje ununue gari kwanza kisha ndio uje uhakikishe kwamba hilo gari ni la halali? Ilitakiwa ahakikishe uhalali wa kadi pamoja na kadi ndipo alinunue. Kwa namna moja ama nyingine yeye ndio amesababisha kutapeliwa
 
Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.

Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.

Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
Asante mkuu kwa taarifa.
Unajua Polis wetu siku hizi imekuwa shida saana na ndio maana wananchi wanagoma na wao kutoa ushirikiano kwao.
Utakuta kwenye tukio ambalo wao wanashida,utasikia tunaomba ushirikiano wenu wananchi,ila likikukuta wewe mwanchi inakuwa hakuna jipya.
We kama file linapotea polisi,hii si aibu.
Mie niliwahi kupeleka kesi ya Kuibiwa kwa utapeli wa kutumia Ofisi ya fulani pale Posta,lakini mpaka leo ni mwaka na Nusu hakuna jipya.

Tatizo watu hawajui time management,kuchoma mafuta kwenda na kurudi,na utakuta kila siku unaambia njoo rudi,hadi gharama za kununua vitu vipya zinaji cover kwenye mafuta unayotumia.
Wakati kesi yenyewe simple tu,wakienda TRA watakuta jina la mmiliki wa gari.Yaani kazi nyingine hadi watu wafundishe?
Aibu sana mambo mengine aiseee
 
Tuanzisheni thread hapa jamvini inayo husu polisi na kazi zao jinsi wanavyo tuhudumia. Tueleze mabaya yote tunayo yapata toka kwao na hata mazuri. Tuweke wazi ni kituo gani, na polisi gani, jina ikiwezekana. Hili linaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwenye ngazi za juu. Na sisi wananchi tukaelimishana kujua haki zetu na pia kuelimishana pale tunapokua na makosa.
Naunga mkono hoja
 
Mdogo wangu alitapeliwa kuuziwa gari pale Mlimani City, kesho yake wakagundua kuwa ile kadi ya gari ni magumashi, yeye na weenzie pamoja na Polisi wakaweka mtego na kuwanasa wote pamoja na gari wakapelekwa Central Police, washtakiwa walifanikiwa kuvinjari mahabusu siku chache then wakapewa dhamana wakaishia zao na gari/ushahidi waliondoka nao mpaka leo bila hata kufikishwa mahakamani
Hahahah,duuu,aisee si yakucheka ila hii kali.
Hii ni kuonyesha jinsi pesa inavyozidi sheria na kununua nchi.
 
Back
Top Bottom