Tahadhari na gari toyota rav 4 T129DEZ

Tahadhari na gari toyota rav 4 T129DEZ

Tukio lilitokea maeneo gani kiongozi
Sinza mkuu, na kuhusu plate no ni yenyewe hawakua dirisha, nilifatilia hadi tra nikapata jina na no ya simu na hadi jamaa mwenye gari a napo kaa.
Cha kusikitisha askari hawana tym.pamoja na details zote
 
namna hiyo ndo maana tunashawishika kuamini police wetu wanashirikiana na majambazi na wezi...
 
Polisi wa Tanzania ni wavivu sijapata kuona. Hapo wanatafuta namna ya kukwepa kufuatilia, wanataka uchoke kufuatilia ili nao wapumzike.
Hata sijui tuna polisi wa aina gani nchi hii? Wao muda wote wako katika Kesi za michongo ya rushwa tu.
Pole sana mkuu, utafanyaje na CCM ndiko walikoifikisha nchi yetu hapo?

Ova
 
Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.

Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.

Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
Imetokea wapi?
 
mkuu uko wapi?? mwanza dar au wapi make huku kwetu Tandahimba hizo makitu ni hakunaga. rav4 wanazo wakuu wa idara tu!!😀
 
Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.

Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.

Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
kama polisi file ndani ya wiki linapotea sasa ni wapi pa kwenda?kwa maelezo yako polisi wanakatisha tamaa,BTW hizo namba kwa kuwa ni za kutengeneza wanaweza wakawa wametengeneza tu au wakawa na plate number zaidi ya moja,jambo la muhimu ni kuwa makini tu,
 
Sinza mkuu, na kuhusu plate no ni yenyewe hawakua dirisha, nilifatilia hadi tra nikapata jina na no ya simu na hadi jamaa mwenye gari a napo kaa.
Cha kusikitisha askari hawana tym.pamoja na details zote
hiyo gari kweli inapita maeneo ya sinza kama naijua hivi.
 
Polisi ni kama vile Magu ameshindwa kutumbua hilo jipu kabisa.
Tunamuona hata Majaliwa anavamia mpaka madaktari lakini Polisi kama vile hawaoni wakati huko hali ni mbaya mno!
Watuambie jee wanawaogopa?
 
Tukisema Polisi ndio wanalinda na kuwafuga wahalifu msibishe.
Polisi ndio majambazi wenyewe
Makuu
Hakika kuna mapungufu mengi ndani ya jeshi letu la polisi, yako makosa yanayotendwa na baadhi ya maaskari wasio wadilifu na hao ndo wanalolipaka uchafu jeshi hili.
Hivyo basi hawa wachache wasitufanye tukose imani na jeshi zima. Yapo mazuri wanayofanya Abu fikiri siku moja itangazwe kwamba kuanzia saa12 asubuhi mpaka saa 6 usiku hakutakuwa na polisi hali itakuwaje ?.
 
Mmmh! Malalamiko yote haya! Ni wazi polisi wameshindwa kaazi! Labda niulize hivi mafunzo ya polisi huwa ni muda gani? Je,yanafanana na mafunzo ya kijeshi? If no ,nafikiri wanajeshi wanapaswa kulinda nchi hii kwa kusambazwa vituoni na si hao wanaoitwa so called police !otherwise mafunzo yao yaangaliwe upya! Na ikiwa wameshindwa kabisa baas!wakalinde mabank na taasisi zingine na si usalama wa raia na mali zetu!very corrupt! Hopeless!!
 
haujatuambia waliiba nini haswa!!au uliwafukuza sababu walivunja kioo kidogo na kufungua boneti??
 
Mmmh! Malalamiko yote haya! Ni wazi polisi wameshindwa kaazi! Labda niulize hivi mafunzo ya polisi huwa ni muda gani? Je,yanafanana na mafunzo ya kijeshi? If no ,nafikiri wanajeshi wanapaswa kulinda nchi hii kwa kusambazwa vituoni na si hao wanaoitwa so called police !otherwise mafunzo yao yaangaliwe upya! Na ikiwa wameshindwa kabisa baas!wakalinde mabank na taasisi zingine na si usalama wa raia na mali zetu!very corrupt! Hopeless!!
ipo siku utaona umuhimu wao mbali na mapungufu mengi waliyonayo!!!hakuna idara au kazi isiyo na mapungufu au channgamoto,hata leo hii walimu wanalalamikiwa,manesi,au hata wewe kwenye shughuli zako ujue unalalamikiwa tu otherwise uwe mama wa nyumbani ndio ujue utalalamikiwa na wachache!!issue kubwa ni kuwa optimistic ukiamini mapungufu yanaweza badiilika au hayapo mara kadhaa!!!
 
Mkuu umetoa point ya muhimu sana, polisi ni tatizo kubwa sana hapa Bongo. Mwenyew yalishanifika kama ya mtoa mada. Kila njia ninayojaribu ninayoona kama itafaa kuwatia watuhumiwa wangu ndani ninakutana na vikwazo vya hao hao polisi. Kuna mda nilikua ninajiuliza mwenyewe kua, hawa watu wana matatizo gani?? sababu kuna mambo mengine ni ya kutumia akili kidogo tu., ila wao ni kama hawapo.
Polisi ni Wetu ni bure kabisa !ilishatokea kipindi fulan nina RB mkononi na nimeshamwona mwizi wangu yupo mita kama 200 toka kituon nikawaambia wakawa wanaleta vipingamiz nikawaambia sasa naenda kuleta maiti na nyinyi ndo mtawajibika maana watu wote hapa kituon wamenisikia,kuona hivyo ndo wakanyanyuka polis wawili kwenda kumshika muhalifu,mbaya zaid mtuhumiwa wangu alikutwa na bangi mfukon ikazaa kesi nyingine hapo hapo .lakin ki ujumla polisi Wetu ni wapenda rushwa sana
 
Pole sana mkuu, kwa stail hiyo hawa jamaa watakua wanakula na polis kuna uwezekano hata hilo gari linaweza kuwa ni la afisa wa polisi
 
alafu muda mwingine wanaomba ela ya mafuta wakamkamate mwizi
Exactly! Polisi wetu wanakatisha tamaa. Mimi nilivunjiwa nyumba nikaibiwa vitu vyote vya sitting room. Nikafata taratibu zote za kipolisi, wakasema wanafanya uchunguzi. Cha ajabu kila siku walikuwa wananipigia simu na Kudai Wamepata lead ktk uchunguzi, hivyo niwatumie pesa ya mafuta wawahi kuifatilia. Nilifanya kama mara mbili hivi nikaachana nao maana sikuona nia ya kunisaidia. Nimeshasahau na kusamehe. Ila, polisi na wezi wanalindana
 
post imekaa kienyeji mno,ni wapi huko??mtwara,kibaigwa,chalinze,
 
Polisi wengi wa Tanzania waop kwa ajili ya kupiga dili. Wachache sana wanafanya kazi kama inavotakiwa. Baada ya Afya na Elimu, mh Magufuli inabidi atumbue huu mjipu wa polisi. Yaani polisi ni shida sana!
 
Back
Top Bottom