TAHADHARI: Muogopeni mtu huyu ni hatari

TAHADHARI: Muogopeni mtu huyu ni hatari

Kamtapeli mpaka mke wake huyu ameshindikana kabisa
 
Ni kijana mzaliwa wilaya ya same kata ya suji kijiji cha tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing.

Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.

Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....

JIEPUSHENI NAE.

Tafadhali ukipata picha yake tuwekee atakiona kilichomtoa kanga manyonya
 
Kamtapeli mpaka mke wake huyu ameshindikana kabisa

Ni kweli mkuu alicho kifanya ni kutumia jina la mke wake kukopea mahela kibao kwenye taasisi moja ya fedha halafu hela yote kalamba,sasa hv dada wa watu anaugulia maumivu ya kukatwa mshahara wake,cha ajabu jamaa kachukua documents zote muhimu za kazi ya mkewe i.e vyeti,barua ya ajiraa,kuthibitishwa kazini na za kupandishwa madaraja na ameondoka na kumtelekeza mkewe jijini TANGA....naskia anamtishia mkewe kua akizingua anazichoma moto hzo documents.
 
Mtu akikutapeli pesa au mali yako halali piga magoti omba uone kitakachomtokea, atajuta sana maishani mwake
 
c kuchafuana huku?.mbona umedai anapatikana maeneo ya airwing

Sina haja ya kumchafua mtu mkuu,jamaa ni kweli yuko jeshini airwing ila kumpata hapo ni ngumu sana nadhani hata jina itakua kabadilisha,wanao mjua wanasema wamewahi kumuona hapo airwing akiwa kavaa gwanda la jeshi,i wonder hata huko kaingiaje?
 
Jitahidi Uwe na RB, ili akipatikana popote iwe ni rahisi kupata msaada wa polisi
 
Jamaa ni hatari sana nashauri mod waurudishe huu uzi jukwaa la siasa kwa sababu suala la msingi hapa ni namna gani vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinavyohusishwa na utapeli na bado wamemuajiri hukohuko kama mtendaji wao kwenye taasisi ya jeshi.

Ni aibu sana.

Mod please ipelekeni jukwaa la siasa nina imani wakuu wa vyombo hivi hupata wasaa wa kutembelea Jf
 
Sina haja ya kumchafua mtu mkuu,jamaa ni kweli yuko jeshini airwing ila kumpata hapo ni ngumu sana nadhani hata jina itakua kabadilisha,wanao mjua wanasema wamewahi kumuona hapo airwing akiwa kavaa gwanda la jeshi,i wonder hata huko kaingiaje?

Mkuu upo sahihi, unaweza kuambiwa mtu yupo chuo kikuu dar na bado ukashindwa kumtafuta na ni taasisi kubwa kiutendaji na kieneo.

Kimsingi hata maeneo ya jeshi hapaingiliki kirahisi.
 
Jamaa ni hatari sana nashauri mod waurudishe huu uzi jukwaa la siasa kwa sababu suala la msingi hapa ni namna gani vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinavyohusishwa na utapeli na bado wamemuajiri hukohuko kama mtendaji wao kwenye taasisi ya jeshi.

Ni aibu sana.

Mod please ipelekeni jukwaa la siasa nina imani wakuu wa vyombo hivi hupata wasaa wa kutembelea Jf

.....Well Said.....

Cc Invisible.
 
Nikiangalia Orodha ya watapeliwa naona wengi wao walitaka njia za Shortcut na miteremko.eti cheti bandia? Ajira?
 
Na mtafuta sana mtu huyu nina historia nae ndefu sanaaaaa mkuu opera min nisaidie kumpata hapo airwing...
 
Hafai hata kulumangia huyo... Watu wa namna hiyo wanakuwaga smart na simu za Bei mbaya..
 
Back
Top Bottom