TAHADHARI: Muogopeni mtu huyu ni hatari

TAHADHARI: Muogopeni mtu huyu ni hatari

siku hizi matapeli wanaojifanya wanawatafutia watu kazi ni wengi! kuna vijana wengi wametapeliwa kua wamepata kazi Mtwara kampuni za Gas na wakalipa fedha kibao na mwisho wa siku hakuna kampuni km hizo mtwara na watu kuumizwa sana kifedha na kimuda! mie mwenyewe Jana nimepigiwa simu na mtu nisie mfahamu kua yeye anafanya kazi Geita TRA na ananijua so eti km nina jamaa basi nimuonganishe nae kwani kuna kazi za udereva na kaz za sekretari na mishahara akaweka....so kuweni makini sana
 
Ni kijana mzaliwa wilaya ya same kata ya suji kijiji cha tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing.

Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.

Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....

JIEPUSHENI NAE.

Kwa staili hiyo anaweza kujitapeli hata mwenyewe...
 
kwa mambo anayofanya atakua na bastola huyu jamaa. Ukimuona kaa mbali
 
Ni kweli mkuu alicho kifanya ni kutumia jina la mke wake kukopea mahela kibao kwenye taasisi moja ya fedha halafu hela yote kalamba,sasa hv dada wa watu anaugulia maumivu ya kukatwa mshahara wake,cha ajabu jamaa kachukua documents zote muhimu za kazi ya mkewe i.e vyeti,barua ya ajiraa,kuthibitishwa kazini na za kupandishwa madaraja na ameondoka na kumtelekeza mkewe jijini TANGA....naskia anamtishia mkewe kua akizingua anazichoma moto hzo documents.

HABARI ZA YEYE NA MKEWE WW UNA RIPORT KM NANI? Au Na ww mke wke?
 
nakakumbuka kale kawimbo kameimbwa na AIC kanaitwa KEKUNDU
 
Back
Top Bottom