Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Wasiliana na Ukoo wa Mushi na Munisi.
Nakubaliana na wewe hapo kwenye red tu!aisee kuwa uyaone, Mi dunia ya sahivi simuamini yoyote yule,na wala sina rafiki. Rafiki yangu yupo grosari tena ndani ya friji.
Kweli kabisa mkuu! Nina jamaa zangu wa karibu walinishirikisha mpango wa kuanzisha mradi fulani kupitia kampuni. Tukakubaliana kuchanga milioni 5 kila mmoja. Halafu eti zitunzwe kwenye akaunti ya mmoja wao. Nikawaambia NO. Nikawaambia tutayarishe katiba, tusajiri kampuni then tufungue akaunti ya kampuni ndipo tuchange pesa tuiingize kwenye akaunti hiyo. Aisee nilichoambiwa huwezi amini, nadhani walitaka kunifanya kama huyo jamaa aliyepigwa laki 8.Mjini Mipango Ndugu,Pole kwa yaliyokukuta linapokuja swala la hela usimuamini mtu hata kama dingi yako!!
aisee kuwa uyaone, Mi dunia ya sahivi simuamini yoyote yule,na wala sina rafiki. rafiki yangu yupo grosari tena ndani ya friji.
Pole sn ila nawe ungetujuza amekutapeli laki8 ilikua akusaidie nini?
Kweli kabisa mkuu! Nina jamaa zangu wa karibu walinishirikisha mpango wa kuanzisha mradi fulani kupitia kampuni. Tukakubaliana kuchanga milioni 5 kila mmoja. Halafu eti zitunzwe kwenye akaunti ya mmoja wao. Nikawaambia NO. Nikawaambia tutayarishe katiba, tusajiri kampuni then tufungue akaunti ya kampuni ndipo tuchange pesa tuiingize kwenye akaunti hiyo. Aisee nilichoambiwa huwezi amini, nadhani walitaka kunifanya kama huyo jamaa aliyepigwa laki 8.
Pole sana, vyombo vya dola umevijulisha?
c kuchafuana huku?.mbona umedai anapatikana maeneo ya airwingNi kijana mzaliwa wilaya ya same kata ya suji kijiji cha tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing.
Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.
Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....
JIEPUSHENI NAE.
Huyu jamaa amemtapeli jamaa yangu mwalimu laki 5 kwa ishu ya uhamisho kutoka huko aliko ili ahamie kibaha alipewa mkwanja mwaka jana mwezi wa nne bt mpaka leo hatujui aliko hv juzi juz tu tumepata taarifa jamaa yuko jeshini,kijijini kwao ndo ameharibu kabisa kawatapeli walimu kibao kamuachia baba ake madeni lukuki hata kukanyaga kwao hakanyagi tena inasemekana anatumia ushirikina kuji protect asikamatwe.
Ni kijana mzaliwa wilaya ya same kata ya suji kijiji cha tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing.