Opera Min
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 890
- 659
Ni kijana mzaliwa wilaya ya same kata ya suji kijiji cha tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing.
Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.
Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....
JIEPUSHENI NAE.