Asiejua maana haambiwi maanaHebu seleleka kidogo hapa kwamba wanawake wa shoka ndo mnakuaje vile
Hapana bwana, maybe kama umekutana na mtu asie sahihi ila mbona huwa naona kama sehemu ya furaha ni kubwa kuliko shida!!Hivi ni kwanini mkuu?
Huwa najiuliza nikadhani pekeyangu! Yaan kupata raha/furaha ni kiduuchu mnoo to compare na shida
Quattroporte...Asiejua maana haambiwi maana
Kuna mdada pale africasana kanyongwa guest na mkaka waliyekutana FB!Kauli nyingine zinashangaza sana. Ni kama mtu anasema ukikutana nae mtandaoni anakuwa wa hovyo ila ukikutana nae mtaani anabadilika na kuwa binadamu wa maana! Otherwise labda walioko mitandaoni hawapo huko mitaani na maisha ya ndoa ya waliokutana mtaani hayana kasoro!
basi sawaNi kweli hana raha lakini ajaribu kuongea naye.Ana watoto wawili wa baba mwingine na hujui inawezekana wa baba wengine,then ana mimba akifika huko kwingine atapachikwa mwingine je atakuwa amepata faida gani?
Kila la heri ila ogopa kabisa wanaume wa jf ...lazima mrejesho uwe hasi.. Ila ukipata "kavulana" ndo utafurahia.Yaani likinikuta la kunikuta nakuja na id hii hii kutoa ushuhuda. Usijali nitakutag.
Hata Heaven Sent amesema hatishiki. Sijui anaplan kumove in wapi huko[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nilikuwa nakupigia mahesabu ila michango yako humu imenikatisha tamaa!Kuna mdada pale africasana kanyongwa guest na mkaka waliyekutana FB!
Hivi unajua hii ni ratiba ya kila siku!!! Hivi unaizoeaje kwamfano!! Alafu na kuombwa ndio ile mtindo wa wasukuma wa "hebu njoo niku...... "!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Ha ha ha ha ha ha ha ha unajidai hujazoea! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Cc:espyKuna mdada pale africasana kanyongwa guest na mkaka waliyekutana FB!
Labda a lime lami.ayanda hebu kuja uweke sawa hii ratiba.
Ila hata kama ni kimoja tu ila mara tatu kwa siku ni balaa hilo. Amtafutie hata shamba akalime awe busy.
Mi nasema tena...wanaume wa mitandaoni ni majanga!Mitandaoni rate ni kubwa zaidi bwana we!!
Hahahaaa!! Basi kama ndio hivyo humu kumejaa 'wavulana' tu maana sio kwa mirejesho ninayosomaga humu.Kila la heri ila ogopa kabisa wanaume wa jf ...lazima mrejesho uwe hasi.. Ila ukipata "kavulana" ndo utafurahia.
Asubuhi na usiku kuna ubaya gani?!! Mtuvumilie tu wengine mnavutia sana!Hivi unajua hii ni ratiba ya kila siku!!! Hivi unaizoeaje kwamfano!! Alafu na kuombwa ndio ile mtindo wa wasukuma wa "hebu njoo niku...... "!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Labda kina Gwaji.Hv hao viongoz wa dini mnaowasema nyie ni wapi hao?
Blue na wahida wamekutana bar?Hapana si rahisi mimi sipo kwenye mambo ya mtandao na mtaani, nazungumzia maisha kwa ujumla waweza mpata hata bar na tabia zikaendana ukavuta ndani maisha yakawa na furaha na amani.
Ref: Mr. Blue na Wahida.
Mwanamke wa kivipi? Bi dada Hasemi ukweli, mwaka mzima, alivumilia ndo ashindwe Sasa hivi? Au kamchoka mshkaji.Mbona mm mwanamke wa hivi simpati